Kwanini Sweden (Sida) hawakutupa pesa FY2020|21 na badala yake wametupa FY2021|22 mwaka mmoja baadaye?

Misaada ya masharti!

Wao wanakuwa mabosi kukuelekeza Nini ufanye kisa tu wanakupa misaada

Bushit!
Hutaki masharti nenda china kupata vya bwerere alafu waganda,Zambia na Kenya watakueleza vizuri kama kuna masharti au hakuna.

Unataka usipewe masharti Ili ukafanye ufujaji alafu tulipe sisi sio? Acha ujinga..Bwana wenu mwendazake alijitoa kwenye open governance wakamnyima akaanza kilio ooh mabeberu na upuuzi kama huo .

Vipi na hapa kuna masharti gani?👇

Screenshot_20211027-081711.png

Screenshot_20211029-091011.png

Screenshot_20211112-134152.png
 
EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa?​

==============

Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria nchini Rais Samia Suluhu Hassan apokea msaada wa Tshs 196bl kutoka nchi ya Sweden ( SIDA ) kwaajili mradi wa Education Programme for Results phase two ( EPforR II),

FY2014|15 Rais Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne alipokea Tshs 208bl toka hukohuko Sweden kwaajili ya mradi wa elimu wa Education Programme for Result Phase One (EPforR I) ambao ulikuwa ni mkataba wa miaka mitano mitano yaani FY2014|15 hadi FY2020|21,

Swali langu kwenu,kwanini Swedeni (Sida) hawakutupa pesa hizi FY2020|21 kama mkataba ulivyoonesha na badala yake wametupa Leo FY2021|22 yaani mwaka mmoja baadae? Je, nikweli sasa dunia imekubali mapigo ya Rais Samia Suluhu juu ya Ujenzi mpya wa diplomasia kimataifa na ongezeko la nafasi kwa Watanzania kwenye Uhuru wa kujieleza, Uhuru wa habari na vyombo vya habari,Utawala wa sheria pamoja na demokrasi?

Je,Vipi kuhusu hawa mabwana watatu yaani Yule bwana wa Singida,Yule bwana wa Arusha na Yule bwana wa Bukoba|Kagera unadhani wazungu kwa kumpa Rais Samia hizi Tshs 196bl wameamua kutuma ujumbe gani kwao baada ya wao kuwazuia mwaka jana? Je,tusubiri wafukuzwe kama mbwa au tuwashauri warudi nyumbani kwa hiari yao kwakuwa Tanzania ya Sasa ni salama zaidi na wahisani wametambua yakuwa Tanzania kwa sasa ni salama pengine kuliko wakati wowote wa uhai wake,

Kama hawa jamaa walishavunja mkataba kwa sababu walizozijua wao, Je bila diplomasia ya Rais Samia Tanzania ingepata hizi pesa leo? "Tunaposema hakuna kama Samia lazima mtuelewe pesa hii ya msaada inaweza kujenga madarasa elfu 10 mapya kwaajili ya watoto hawa wa masikini, Watanzania je hili ni jambo baya?"

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1966359
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
============== Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria nchini Rais Samia Suluhu Hassan apokea msaada wa Tshs 196bl kutoka nchi ya Sweden ( SIDA ) kwaajili mradi wa Education Programme for Results phase two ( EPforR II), FY2014|15 Rais Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne alipokea Tshs 208bl toka hukohuko Sweden kwaajili ya mradi wa elimu wa Education Programme for Result Phase One (EPforR I) ambao ulikuwa ni mkataba wa miaka mitano mitano yaani FY2014|15 hadi FY2020|21, Swali langu kwenu,kwanini Swedeni (Sida) hawakutupa pesa hizi FY2020|21 kama mkataba ulivyoonesha na badala yake wametupa Leo FY2021|22 yaani mwaka mmoja baadae? Je, nikweli sasa dunia imekubali mapigo ya Rais Samia Suluhu juu ya Ujenzi mpya wa diplomasia kimataifa na ongezeko la nafasi kwa Watanzania kwenye Uhuru wa kujieleza, Uhuru wa habari na vyombo vya habari,Utawala wa sheria pamoja na demokrasi? Je,Vipi kuhusu hawa mabwana watatu yaani Yule bwana wa Singida,Yule bwana wa Arusha na Yule bwana wa Bukoba|Kagera unadhani wazungu kwa kumpa Rais Samia hizi Tshs 196bl wameamua kutuma ujumbe gani kwao baada ya wao kuwazuia mwaka jana? Je,tusubiri wafukuzwe kama mbwa au tuwashauri warudi nyumbani kwa hiari yao kwakuwa Tanzania ya Sasa ni salama zaidi na wahisani wametambua yakuwa Tanzania kwa sasa ni salama pengine kuliko wakati wowote wa uhai wake, Kama hawa jamaa walishavunja mkataba kwa sababu walizozijua wao, Je bila diplomasia ya Rais Samia Tanzania ingepata hizi pesa leo? "Tunaposema hakuna kama Samia lazima mtuelewe pesa hii ya msaada inaweza kujenga madarasa elfu 10 mapya kwaajili ya watoto hawa wa masikini, Watanzania je hili ni jambo baya?" #KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA View attachment 1966359

Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
EPforR I ilitoa TZS 208b kwa JK mwaka FY2014|15 to 2020|21, why EPforR II imetoa TZS 196b kwa Rais Samia FY2021|22 mwaka mmoja baadaye,Je waligoma au hawakuwa na pesa?​

==============

Katika kile kinachotajwa kama Kuimarika kwa diplomasia ya Uchumi na ukuaji wa demokrasi na Utawala wa sheria nchini Rais Samia Suluhu Hassan apokea msaada wa Tshs 196bl kutoka nchi ya Sweden ( SIDA ) kwaajili mradi wa Education Programme for Results phase two ( EPforR II),

FY2014|15 Rais Jakaya Mrisho Kikwete rais wa awamu ya nne alipokea Tshs 208bl toka hukohuko Sweden kwaajili ya mradi wa elimu wa Education Programme for Result Phase One (EPforR I) ambao ulikuwa ni mkataba wa miaka mitano mitano yaani FY2014|15 hadi FY2020|21,

Swali langu kwenu,kwanini Swedeni (Sida) hawakutupa pesa hizi FY2020|21 kama mkataba ulivyoonesha na badala yake wametupa Leo FY2021|22 yaani mwaka mmoja baadae? Je, nikweli sasa dunia imekubali mapigo ya Rais Samia Suluhu juu ya Ujenzi mpya wa diplomasia kimataifa na ongezeko la nafasi kwa Watanzania kwenye Uhuru wa kujieleza, Uhuru wa habari na vyombo vya habari,Utawala wa sheria pamoja na demokrasi?

Je,Vipi kuhusu hawa mabwana watatu yaani Yule bwana wa Singida,Yule bwana wa Arusha na Yule bwana wa Bukoba|Kagera unadhani wazungu kwa kumpa Rais Samia hizi Tshs 196bl wameamua kutuma ujumbe gani kwao baada ya wao kuwazuia mwaka jana? Je,tusubiri wafukuzwe kama mbwa au tuwashauri warudi nyumbani kwa hiari yao kwakuwa Tanzania ya Sasa ni salama zaidi na wahisani wametambua yakuwa Tanzania kwa sasa ni salama pengine kuliko wakati wowote wa uhai wake,

Kama hawa jamaa walishavunja mkataba kwa sababu walizozijua wao, Je bila diplomasia ya Rais Samia Tanzania ingepata hizi pesa leo? "Tunaposema hakuna kama Samia lazima mtuelewe pesa hii ya msaada inaweza kujenga madarasa elfu 10 mapya kwaajili ya watoto hawa wa masikini, Watanzania je hili ni jambo baya?"

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1966359
Tanzania imerudi kama za
Nchi ni tajiri kwelikweli,

Nani alikwambia tajiri hasaidiwi?

Kama Marekani mpaka leo inasaidiwa sebuse Tanzania?
 
Kazi inafanyika ni kweli,
 
Back
Top Bottom