Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Hutaki masharti nenda china kupata vya bwerere alafu waganda,Zambia na Kenya watakueleza vizuri kama kuna masharti au hakuna.Misaada ya masharti!
Wao wanakuwa mabosi kukuelekeza Nini ufanye kisa tu wanakupa misaada
Bushit!
Unataka usipewe masharti Ili ukafanye ufujaji alafu tulipe sisi sio? Acha ujinga..Bwana wenu mwendazake alijitoa kwenye open governance wakamnyima akaanza kilio ooh mabeberu na upuuzi kama huo .
Vipi na hapa kuna masharti gani?👇