Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,730
- 155,414
Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
Ni mkumbo tu bt sio lazima.. Hebu wewe jaribu kutoka kivingine kwenye harusi yako uone kama hawatakuiga... Daaah ila kuazima suti ya harusi ni noma!.. Jikune unapofikia, sio lazima kufanana na fulani...mbona kila nimuoaye anavaa suti? Tena wakikosa uwezo wa kununua, wanaenda kuzima?
Kama kuna mwana JF ambaye siku ya harusi yake hakuvaa suti, naomba atutumie picha, nataka niige style, nimechoshwa na mambo ya suti
Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
<br /><font size="3">suti sio lazima unaeza vaa BUKTA na VEST then madhabahuni </font>
bujibuji, sio lazima kuvaa suti, ila tu ni mazoea. Wengi huchukulia kuwa suti ni vazi la kiheshima zaidi(#japokuwa mimi sipendi suti na sijawahi kununua na sitegemei kununua)