Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

Upo shamba unakula mihogo na viazi asubuhi unashushia na maji ya kisimani
Mchana ugali wa mhogo na matembele. Kwako haina faida
Kwanza masukari ni hatari kwa afya hata bei ikifika 7000 kwa sisi tunaojali afya sawa tu. Achaneni na masukari
 
Usiwe na wasiwasi kuna meli ya sukari banadarini pale inashusha tani 25 elfu
 
Kwanza masukari ni hatari kwa afya hata bei ikifika 7000 kwa sisi tunaojali afya sawa tu. Achaneni na masukari
Sasa kama wewe yanakuharibia afya wengine hayawaharibii afya Bali yanawapa glucose ya mwili hasa watoto lazima wapate sukari kwa kiwango kinachotakiwa hivyo acheni tupambane sukari ishuke bei Ili tunywe chai ya sukari kwa kiasi nyie muliotumia sukari kuzidi viwango ikawaumiza msitujumlishe.
 
Mie hiyo sumu nanunua Unguja1 kg kwa sh 2000/-. Inamaana hata Zanzibar wanaweza kutupatia kiasi flani cha sukari lakini na yenyewe inapigwa pini.
Sukari siyo sumu kunywa kwanini kiwango kinachotakiwa kwa siku haitakuwa sumu kwako.
 
Kuna kitu ambacho watanzania walio wengi wana kitu hicho nacho ni ubinafsi,, ubinafsi umetawala roho za watanzania karibu wote,,,, sukari ikipanda Bei wanasema Mimi na wanangu tunatumia kilo moja kwa siku tano hata nikinunua elfu 3 bado sio hasara kwangu watajua wenyewe bila kujua hiyo ni mbegu ameipanda mazao yatakuwa mengi kuliko mbegu!! Kwa mfano mafuta Kama petroleum na jamii zake ikipanda anasema mimi Sina gari nauli yangu inanifikisha nienfako billa kujua kuwa kitu chochote kinachopandishwa Bei na matajiri mwisho wa siku mlaji wa mwisho ndiye mlipaji mkuu,, nataka niwakumbushe watanzania wenzangu kuwa Ukiona tajiri anamiliki mabasi ya abiria jua kabisa sisi abiria ndiyo tumenunua ile gari Kama tusingekuwa tume msupport Wala asingeweza kuyanunua hayo mabasi hivyo Bei za mafuta na vipuri kupanda Bei haimuathiri tajiri athari zinakuja kwetu abiria na wateja,, maana atakachofanya ili aweze kumudu gharama za uendeshaji inamlazimu apandishe Bei ya nauli ili aweze kununua mafuta na vipuri hivyo tusitegemee hata siku moja tajiri kutoka ndani eti aandamane ili mafuta yasipande au sukari isipande tutachakaa sisi katika hili
Tatizo hawana Upendo wa Mungu utadhani wote ni makaini wanatamani mabaya kwa wengine, itabidi wabadilike waache ubinafsi Ili washushiwe baraka za kula mpaka kubakiza na kupata Mali mpaka akiba siyo dhambi.
 
Sukari inayohitajika mwilini ataipata kupitia kula mihogo, viazi vitamu, ugali wa Dona etc. Sukari ya kuongeza kwenye uji na chai haina faida yoyote mwilini.....
Hivyo ulivyotaja havina sukari inayotakiwa kwenda kwenye insulin na kuendesha mwili au kuupa mwili nguvu, sukari kwa kiwango kinachoruhusiwa mwilini ni salama tatizo litakuwepo kama unatumia nyingi kupita viwango vinavyoruhusiwa.
 
Wenye viwanda majibu yao ktk hili ni

Operation cost NI kubwa ndio Maana Wana uza Bei Hali kidogo
 
Hivyo ulivyotaja havina sukari inayotakiwa kwenda kwenye insulin na kuendesha mwili au kuupa mwili nguvu, sukari kwa kiwango kinachoruhusiwa mwilini ni salama tatizo litakuwepo kama unatumia nyingi kupita viwango vinavyoruhusiwa.
Sidhani kama nimeelewa ulichoandika.
 
109_20211209_194633.jpg
 
Back
Top Bottom