Kwanini South Africa tamthilia zao lazima waweke mashoga?

Dk.Kum..uka...




Shoga lililokubuhu kwa baikoko..na kibao kata...
Leo hii anapewa airtime..kwenye t.v...

Na bint migomba ndio ..wanafunda wanawake...!!


Mtihani mweusi huu...

Tunawalea walimu kama hawa...tupasishe wanafunzi kama wale!
 
Haaa mkuu nililikuwa silijui hili aisee kumbe philipino ni kawaida kabisa ndo mana Tamthilia zao lazima liwepo limoja au ma2 dah kweli dunia tambala mbovu

lazima liwepo limoja au ma2

Umetumia lugha ngumu ya kumtaja kwa kweli, japo ni my mwenye kuhesabika Ni mwovu lakini bado utu wake upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu USHOGA ni moja katika jamii ya taifa leo..

Ufilipino kama hamna shoga katika familia basi inaisabika familia haijatimia..

Wamama wa filipino huwa wanafanya kila njia ili mtoto wa kiume wamgeuze msenge..

Kule Papua New Guinea kabla hujaowa,ukienda kuchumbia mkwe lazima akupige nao,ndio akupe mwanawe..

Dunia ya utandawazi aka Globalisation..
Welcome to the real World my friend..
Yaani baba anitoe marinda
 
"Kule Papua New Guinea kabla hujaowa,ukienda kuchumbia mkwe lazima akupige nao,ndio akupe mwanawe"
Yana ukweli haya? Unawezaje kuishi na mke anayejua kuwa mumewe unaliwa na babaye?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kwako wewe ni mazingaombwe katika mila za Watu wa Papua new Guinea ni kitu cha kawaida..
 
Kwasababu USHOGA ni moja katika jamii ya taifa leo..

Ufilipino kama hamna shoga katika familia basi inaisabika familia haijatimia..

Wamama wa filipino huwa wanafanya kila njia ili mtoto wa kiume wamgeuze msenge..

Kule Papua New Guinea kabla hujaowa,ukienda kuchumbia mkwe lazima akupige nao,ndio akupe mwanawe..

Dunia ya utandawazi aka Globalisation..
Welcome to the real World my friend..
Ya kweli haya?
 
Wakuu

Hivi ndio wamecopy kwa wazungu ama wingi wa makaburu umechangi? Yaani kila tamthilia ya kisauzi utakayoingalia lazima wachomekee au kuweka character ya shoga mmoja

Mbona kama wanahamasisha mambo hayo kwa jamii yao? Chanzo ni nini hasa? Ukianzia kwa isidingo ilikuwa hivo, Uzalo na yenyewe ilikuwa hivyo, Isibaya, scandal, rythim City, zote lazima waweke hivi imeshindikana kutoweka content za hao wajalaana wa kwa mpalange?

Nawasilisha
Mwandiko wako tu unaonyesha kuwa mule mule
 
Back
Top Bottom