kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,745
Habari zenu?
Kwa wale waliowahi kupitia programs za uhasibu, sio wageni sana kwenye hili somo tajwa. binafsi ni mwanafunzi katika chuo kimoja katika program ya uhasibu ngazi ya shahada.
Sasa basi matokeo ya semister iliyopita yametoka na kati ya masomo 6 niliyoyasoma kwa semister ile ya kwanza masomo matano nimefaulu vizuri tu ila hili somo la intermediate accounting nimepata C.
Kuna jamaa zangu wao mpaka wamesupp hili somo,nimejaribu kufuatilia historia ya ufaulu wa hili somo pale udbs inaonekana ni somo linalowasumbua sana wanafunzi wa shahada ya uhasibu.
Sasa nilikuwa naomba kuwauliza wakuu, hili somo ni kwa nini linakua jiwe namna hii na kufelisha watu sana?