prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,080
- 3,106
Mtu wa pcm hashindwi kozi yoyote dunianiKwa hiyo mleta mada kasoma PCM? Unawasemeaje wale watu walio soma hiyo ECA yako lakini bado wana sup masomo ya uhasibu na wengine ku disco kabisa?
Mkuu physics ni ngumu sana Uhasibu mtu yoyote anasoma kwa kigezo cha D ya B.maths
sasa si ungeendelea mkuu?Hamna ugumu hapo, mi japo. Sikuendelea na accounting ila wengi walikuwa wanalia na Intermediate
Uwezo wako ni mdogo, nimegundua vijana wengi wanao soma accounting siku hizi wana uwezo mdogo, pia kwao hesabu ni tatizo sana. Mimi accounting nimejisomea mwenyewe
Masomo yote yanayoitwa 'intermediate', yaogope kama ukoma.. Intermediate Micro and Macro economics ndio nomer zaidi!
ilikuwaje, ebu tushirikishe mkuu?Hii mada adi meno yameuma sitaki kukumbukia msoto wa accounting mimi
am better here
Yes ni kweli ,Hilo linataka kuelewa Ni Kama vile physics , hila Ni SoMo tamu sanakuna jamaa aliniambia katika uhasibu somo gumu ni managerial accounting.
Pcb anaweza kushindwaMtu wa pcm hashindwi kozi yoyote duniani
Swali rahisi mbonaMkuu kuna ka swali hapa
Problem Set 1
Use of the Balance Sheet Equation to record transactions and for the preparation of
financial statements
On July 1, 2000, TIM, Inc. started as a business entity. A summary of transactions through
December 31, 2000 is presented below.
1. Stockholders invested $50,000 in cash in Bank Boston in the name of the business.
2. New computer equipment is purchased for $6,000 in cash. Equipment will be used for 3
years.
3. Office rent for half a year is paid in advance, $8,000.
4. Dividends of $500 paid to existing shareholders.
5. Paid $10,000 to employees for services provided.
6. Paid utility bills, $2000.
7. Provided (and completed) design services on account to customers, $30,000.
8. Collected cash of $2,000 for services billed in 7.
Required:
a) Prepare a tabular analysis of the transactions using the Balance Sheet Equation (BSE) through
December 31, 2000. Be sure to label your transactions.
b) Prepare the balance sheet as of December 31, 2000. From what part of the BSE table did you
get the information to prepare the balance sheet?
c) Prepare the income statement for the period from July 1, 2000 through December 31, 2000.
From what part of the BSE table did you get the information to prepare the income statement?
d) How much cash flowed in and out of TIM, Inc. in the period from July 1, 2000 through
December 31, 2000? How much of this cash inflow or outflow do you consider relevant to TIM,
Inc.’s operations?
e) Compare the net cash flow that is considered relevant to operations (from (d) above) and TIM,
Inc.’s profits in the same period. What transactions and events account for the difference?
f) Which of the accounts you created in the BSE table are considered “temporary”, and which
ones are considered “permanent”? Briefly explain the difference.