Kwanini somo la Civics ndilo pekee ambalo haliundiwi combination "A" level katika masomo saba ya msingi Kidato cha Nne?

Hata ndalichako amekusikia

NI wazo zuri lakini taaluma zote wanahitaji kufahamu Hilo somo kwa sababu tunafamya kazi zetu chini ya Sheria za nchi
Unawwza kuw mtanzania ukaenda Kenya kufanya kazi
Mbona somo la computer linasomwa na wanafunzi wote wa chuoni lakini wale wa ICT wanalisoma kwa undani zaidi?
 
Pia kuna wengi wanalifeli. Inaonekana wewe ulipaswa kuwa wanasiasa au wanadiplomasia
Mwalimu aliyekuwa anafundisha hilo somo alikuwa akianza kusimulia hutasahau,na mimi navyopenda mistori sasa,akiuliza maswali kwenye mitihani yake nashusha kama nilivyomnukuu,hadi necta nayo nashukuru ni moja ya masomo lililonipa grade nzuri
 

Jean Yves Ollivier Discusses Diplomacy of Influence | Part 1 of 3


Jean Yves Ollivier talks being self taught and passion for settling conflicts and bringing about peace.

Jean Yves Ollivier, Secretary General of The Brazzaville Foundation for Peace and Conservation sat down with AFKInsider to discuss business and politics.
Source: AFKInsider
 
Published on 24 Jun 2013

Jean-Yves Ollivier: Mandela's liberation (CNN)


A report from CNN about the new documentary Plot for Peace and the secret contribution of French businessman Jean-Yves Ollivier in Nelson Mandela's liberation.
Source : WorldNews333
 
Shule ya msingi - Uraia
O level - Civics
A level - General studies
University - Development studies.


Huoni ni somo lililopendelewa kwa kuwa compulsory kuanzia msingi mpaka chuo?
Na ukifeli somo hilo unaharibu ufaulu wa masomo mengine. Yani unaweza kuwa na three point three. A 3 za olevel na F ya GS we ni failure.
 
Back
Top Bottom