Kule Bara sio tu kuna hotuba lukuki na vipindi vya redio na runinga vinavyoenzi kumbukumbu ya Mwalim Nyerere, bali pia kuna majengo na miundo mbinu kibao inayopewa Jina lake (Nyerere).
Vipi kwa Zanzibar hali hiyo haipo. Maana huko habari za kumuenzi Muasisi wa Taifa hilo Hayati Karume utazikia tu mwanzoni mwa januari ya kila mwaka kuelelea siku ya Mapinduzi tarehe 12 Januari na kidogo pia siku ya Muungano tarehe 26 April.
Zanzibar mnakwama wapi? Hamjifunzi kwa wenzenu wa bara au hata kuwaonea gere?