Kwanini SMZ hawamu cherish Hayati Karume kama Wenzao wa Bara wanavyofanya kwa Hayati Nyerere?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
5,036
Points
2,000

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
5,036 2,000
Kule Bara sio tu kuna hotuba lukuki na vipindi vya redio na runinga vinavyoenzi kumbukumbu ya Mwalim Nyerere, bali pia kuna majengo na miundo mbinu kibao inayopewa Jina lake (Nyerere).

Vipi kwa Zanzibar hali hiyo haipo. Maana huko habari za kumuenzi Muasisi wa Taifa hilo Hayati Karume utazikia tu mwanzoni mwa januari ya kila mwaka kuelelea siku ya Mapinduzi tarehe 12 Januari na kidogo pia siku ya Muungano tarehe 26 April.

Zanzibar mnakwama wapi? Hamjifunzi kwa wenzenu wa bara au hata kuwaonea gere?
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,855
Points
2,000

kigogo warioba

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,855 2,000
Kule Bara sio tu kuna hotuba lukuki na vipindi vya redio na runinga vinavyoenzi kumbukumbu ya Mwalim Nyerere, bali pia kuna majengo na miundo mbinu kibao inayopewa Jina lake (Nyerere).

Vipi kwa Zanzibar hali hiyo haipo. Maana huko habari za kumuenzi Muasisi wa Taifa hilo Hayati Karume utazikia tu mwanzoni mwa januari ya kila mwaka kuelelea siku ya Mapinduzi tarehe 12 Januari na kidogo pia siku ya Muungano tarehe 26 April.

Zanzibar mnakwama wapi? Hamjifunzi kwa wenzenu wa bara au hata kuwaonea gere?
Hivi ka Zanzibar kalivyo kadogo hivyo unataka kila mtaa uitwe karume si katajaa fasta tu, huku bara ni eneo kubwa, wapewe na watu wengine ili usawa upatikane, kwani ni yeye pekee ndio hayati? Si kuna wengine!?
 
jnhiggins

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,624
Points
2,000

jnhiggins

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,624 2,000
Kule Bara sio tu kuna hotuba lukuki na vipindi vya redio na runinga vinavyoenzi kumbukumbu ya Mwalim Nyerere, bali pia kuna majengo na miundo mbinu kibao inayopewa Jina lake (Nyerere).

Vipi kwa Zanzibar hali hiyo haipo. Maana huko habari za kumuenzi Muasisi wa Taifa hilo Hayati Karume utazikia tu mwanzoni mwa januari ya kila mwaka kuelelea siku ya Mapinduzi tarehe 12 Januari na kidogo pia siku ya Muungano tarehe 26 April.

Zanzibar mnakwama wapi? Hamjifunzi kwa wenzenu wa bara au hata kuwaonea gere?
Unashangaa Zanzibar mbona hushangai mataifa mengine kama Kenya, Ghana, Nigeria, Marekani au Ujerumani?
 
Dharra

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2017
Messages
1,520
Points
2,000

Dharra

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2017
1,520 2,000
Uwanja wa ndege wa kimataifa Zanzibar unaitwa Abeid Aman Karume Int. Airport. Lakini historia pia itamhukumu kwa baadhi ya matendo yake alivyokuwa anayafanya ambayo kimtazamo hayakupendeza, mkuu kule hawana kawaida ya ku praise kitu sana hata kama ulifanya nini. Nakumbuka siku moja tupo kule tulipishana na Thiery Henry forodhani garden na hakuna hata mtu mmoja aliemfata walau kuomba saini yake ama selfie. Ndivyo walivyo kule.
 
The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,215
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,215 2,000
Zanzibar 98 percent ni waislam...sio sehemu ya utamaduni kuwakuza sana marehem...
sio Zanzibar tu nchi zenye waislam wengi viongozi wakishakufa hakuna sana 'kuwasujudia'
 
Forum statistics

Threads 1,381,186
Members 525,998
Posts 33,791,638
Top