Kwanini siumizwi na mapenzi..? Fatana nami uelewe

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,849
Nimechoka kufatwafatwa pm watu wakiniuliza kuwa nawezaje kuishi bila mapenzi!,Sasa nimeamua nije nijibu swali hili hadharani kwa manufaa ya wote.

Mapenzi yamekuwa ni mwiba kwa baadhi ya watu tena wengine wameachwa na madonda makubwa sana huku baadhi ya jamaa zetu wakifa kwa wivu wa mapenzi n.k
Leo nitawapa mbinu kadhaa za kuweza kutulia na kutoumizwa na mapenzi ili muache kulilia mara mtu azile kula!.

1.CHAGUA MTU MAKINI.
katika kitu watu wengi wasichokijua ni ktk uchaguzi wa mpenzi,ukifeli hapa na umependa basi jua umejiwekea kaa la moto kwenye utosi.
Hakikisha unamtu mnaelandana,muelewa,anaejua unachotaka na usichotaka pia ambae hajifunzi tena kuishi bali anaishi maisha halisi!. Sio unaenda kuokota mtu huko lakini unakuta bado akili haijakuwa na nimwepesi kurubunika!. My brothers & sisters tafuteni watu wanaojielewa.

2.PENDA KWA AKILI NA HISIA.
hivi vitu viwili lazima viende kwa pamoja,ukipenda kwa hisia ukaacha akili nyuma lazima uume lami!,na pia ukipenda kwa akili ukaacha hisia jua logics zinaenda kuangamiza!.
Kwanini viende pamoja..?
Hivi vitu vitafanya maamuzi pale ambapo kimoja wapo kinapihitajika sana namaanisha hata ktk uchaguzi wa mpenzi wako lazima utachagua kilichobora!.

Sasa wewe shiba zako huko peremende kapende peremende nyengine hovyo ikakuperemende, hapo ndo utaelewa wewe ni the jkgfsvmende.

3.MSOME MPENZI WAKO.
Sisi ni binadamu na tunaakili ya ufahamu hivyo chochote ambacho kitakuwa mbele yako lazima ukijue maana akili zetu nizakichunguzi.. basi hivyohivyo ujue kumjua mpenzi wako ni muda upi umpe muda gani umnyime!,muda upi umdunde na muda upi umbembeleze!.
Kwa mabaharia wenzangu mwanamke asije kukudanganya ati yeye anapenda mapenzi yaliyotulia tu! Nawe utulie haloo ndugu yangu huko ni kujidanganya na utapigwa za uso mpaka uone nyotanyota!.. wanawake wanapenda hivi vyote viwili vurugu na amani so ukimnyima kimoja jua ataenda kukitafuta na utaumia akienda nje.

4.HAKIKISHA UNA HELA.
Narudia tena hakikisha una hela.. hela sio kwa maana mbaya hapana hela pia sio lazima ziwe nyingi hata ikiwa zikiwa chache kwani maana ya hela kwenye mapenzi ni kutimiza mahitaji yenu..
Sasa we mlishe mihogo kila siku huyo mke au mume kama hajakuuma mbavu! Yani kiufupi kila mmoja atimize mahitaji ya mwenzake kiasi kwamba mwenzako hawezi kuwa hata na msamiati kukuumiza!.

5.CHAGUA MPENZI ANAEKUPENDA.
Mi siumii kwasababu ninae anaenipenda nami nampenda na sote tumeshajifahamu kuwa ni sahihi.
Akikupenda hawezi kutamani uumie,ulie,uabike n.k
Sasa wewe kaibue huko yule samaki aliemmeza yona siku tatu ndo utaelewa kwanini ni kwanini Petro alimkana yesu baada ya kuona yale marungu na mafyekeo!.

6.

Hilo la sita narudi..
Mapenzi ni matamu nyinyi acheni kuyasema vibaya na huko pm naimani mtapungua Sasa.
 
we kaongo
Umeacha lini kulizwalizwa na wadada
 
Mapenzi hayana formula.tafuta pesa tuh...mengine utayakuta uko uko.acha propagandist.
Hapa ndio wengi mnaumia, mnatuma nauli na hawakuji, mwanamke katika mahusiano ana hitaji insurance tu kwanini amuache John akukubali wewe ujibu tu hilo Swali Kwa vitendo imeisha hiyoo, hela tafuta, mpe attention, mpe mapenzi(kitandani) japo sio wote wengine mapenzi ya kitandani ni Ziad tu ukiweza kwenye attention hapo na vipesa pesa basi unaweza ukawa sehemu salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom