Kwanini sisi Wanaume ni waongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini sisi Wanaume ni waongo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Nov 26, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Najua nitapingwa ila kuna ukweli wapwaaz!

  Mara nyingi mazungumzo ya wanaume ni kujisifu kwa Ngono na Ulevi. Unaweza kaa kijiweni na washikaji utasikia oooh mimi nimelala karibu na wanawake wote wa ofisini kwetu na hata mtaani nimechapa sana (anasema haya huku akijua ni uwongo kabisa). Ama mwingine atadakia nimelala jana tu na Khadija na sasa nina miadi na Roselyn (ukifatilia ni uwongo). Hili ni kundi la watu wenye kipato kidogo yaaani wa uswazi.

  Ukienda kwa wale wasomi nao ni hivyo nilienda seminar na Ms Rebecca Kule Johannesburg, kwa kweli tulikuwa chumba kimoja ili kusave ila tumerudi hapa bongo tunakaushiana. Mwingine naye atakupa issue Mke wa Fidel ni mtamu sana lile ta.ko acha tu nilikuwa naye Ngurdoto kwenye seminar elekezi si pole pole huu ni uwongo pia. Msomi Mwingine utasikia nina Mademu wawili nimewapata JF week end hii nauwa mmojawapo lol

  Pombe

  Wengine utasikia mimi kwa pombe ni balaa jana nimekunywa crate la konyagi na konyagi za kopo. Mwingine atachangia acha hizo mimi jana nimepata za kutosha hadi nikafunga bar. Huyu hawa jamaa ukienda nao bar ya ukweli ni beer mbili anaangusha gari ukimuuliza utasikia oooh jana niliwaka sana

  Hivi wazee uanaume ni lazima Ngono na Ulevi

  Mch wenu Masa
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  SIFA ZA KIJINGA
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwanini tunapenda sifa za kijinga?
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mimi sijawahi kusema uongo hata kidogo, japo nimewasikia wengi wakisema ninayoyajua ni uongo mtupu....! Hivyo, sio wanume wote ni waongo, maana mimi ni mkweli kabisa....!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Inawezeka wewe ni ongo la kutupwa! kuna mdada huniambia its a men thing.....
   
 6. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mtume mwanamke yeyote umwaminiaye aje kwangu kama nitamdanganya....! Japo, kuna uwezekano mkubwa sana nikampata kama nimekuwa interested....!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ngoja nimtume Mama Mchungaji na Mdogo wake, naogopa asijepeke yake maana anaweza pigwa uwongo wa kufa mtu
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  zinaongeza konfidensi kwenye mapombe huko!
  zinaongeza level ya ULIJALI kwenye ma-infideliti huko
   
 9. B

  Bongemzito Senior Member

  #9
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wengine ukikaa nao wanapenda pia kujifagilia,sasa unajisifia mbele ya mwanaume mwenzio unataka akufanyie nini.....mimi nina mshkaji wangu mmoja yaani nikikaa nae ni kujisifia tu,tatizo lake ni moja akikueleza kitu leo siku nyinigine anakueleza vingine kitu kilekile story mbili tofauti...ananiboaga..
   
 10. B

  Bongemzito Senior Member

  #10
  Nov 26, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu ubongo wa vijana wengi wa siku izi una ma-gape
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hata JF wapo hapa
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii tabia kwa kweli ipo sana tu..............lakini sijajua ni kwa nini!!!
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hii maneno ni kweli kabisa nimewahi kukutana na watu ambao kujisifu ni sehemu ya maisha yao ilihali hawana uwezo wa mlo kamili kwa siku moja tu.Utashangaa unakutana na mtu anajisifu jinsi alivyotumia fedha nyingi na kimwana xyz mwisho wa story yake anaomba 5,000/= ?.
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimecheka sana mkuu! Ni kweli kabisa tena ukimpa 10.000 akatafute chenji anakuomba niachie hata hii hii ndugu yangu nimeuwawa sana
   
 15. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  I warmly welcome all of them, and I am very sure that by being open and faith, I will win the most beautiful among them....! Si kazi rahisi kujijengea tabia ya ukweli, lakini ukishaweza na ukaonja matunda yake ni basi tuuuu, wala asikuambie mtu....! Suppose unakutana na mwanamke huku ukiwa baba watoto, halafu ungependa kumtumia bila kumfanya akuwekee mategemeo ya mbali, then akakubali, hiyo raha ukiwa naye huwezi kupima....! Hivyo, waje kabisa tena bila kuchelewa....!
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Kwa mtaji huu kweli hao wanaume wa kanisa lako ni waongo.
   
 17. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Si vidume wote.... kwanza nikishakula tunda.... nijisifu ili iweje...?
  kama nikiulizwana masela mwingine anaetangaza nia kwa kidosho amabae 'tutachachuana'... sirembi... ntampa ukweli wa mambo... maamuzi yake atajua mwenywe mbelekwambele!!
   
 18. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mchungaji huo ni ukweli kabisa. kwa lugha fupi inaitwa "Kutom..a midomo" (samahani kwa atakaekwazika ila hamna jinsi)

  Binti unaweza kumzoea mwanaume, hakawii kuwaambia washikaji zake kuwa amekulamba.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  si kweli kabisa rev. sijui ww huwa unakaa na nani hao?
   
 20. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Uongo hauna mwenyewe, kuna wanaume waongo kama kulivyo na waongo wa kike.

  Kwa nini watu (hasa wanaume) wakisutwa humabiwa "muongo/mmbeya kama mwanamke"?
   
Loading...