Kwanini Sisi Wakurya Ni Matajiri

Zakumi

JF-Expert Member
Sep 24, 2008
5,063
2,471
Ndio sisi ni matajiri kwa sababu magari yanayotumika na jeshi ni ya James Wambura. Hata yale matreni ni ya kwetu pia. Matreni yakikimbia yaria CHACHA MARWA, CHACHA MARWA, CHACHA MARWA, CHACHA MARWA. Na yakipiga honi yanaria WAMBURAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Ndio sisi ni matajiri kwa sababu magari yanayotumika na jeshi ni ya James Wambura. Hata yale matreni ni ya kwetu pia. Matreni yakikimbia yaria CHACHA MARWA, CHACHA MARWA, CHACHA MARWA, CHACHA MARWA. Na yakipiga hodi yanaria WAMBURAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

ha ha ha haaaaa!

kaaaaazi kweli kweli.

arrrrroooo nitakuarrrrest!
 
Hawa jamaa ni matairii kwa sababu bila kuchacharika ktk utafutaji hawezi oa wake wengi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom