Kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii, tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine?

Nadharia ya mageuzi(Evolution) inaweza kuwa mada rahisi au ngumu kuielewa. Leo nitajaribu kuifanya iwe nyepese, nitatoa mifano mirahisi sana. Kabla sijakujibu swali lako kuhusu rangi ya mwafrika, nitaanza kuelezea maana ya nadharia ya mageuzi(Evolution/evolution theory), uteuzi wa asilia(natural selection) baadae ntakuja asili ya mwanadamu na mwafrika na kujibu maswali yako ya ustaarabu(civilization) japo itakuwa subjective zaidi.

Nini maana ya Nadharia ya mageuzi(Evolution)? kwa lugha raisi ni maendeleo ya maisha hapa duniani, evolution ndio inayoongoza uwepo wa maisha hapa ulimwenguni zaidi ya miaka 3.5 billion iliyopita. Maisha yalianza kama bacteria na hao bacteria wakagundua sex(kujamiiana) wakaanza kufanya mabadiliko mpaka dunia kukatokea binadamu , samaki, bacteria ,mijusi ,vyura na nk. Kuelewe zaidi kuhusu evolution tutachukulia mfano wa wanyama ila ntatumia mfano wa ndege na baadae mbwa(nikizungumzia artifical selection).

Kwa wanyama evulution inaanzia pale kwenye mbegu za kiume(sperm cell) and yai la kike(egg) cell hizo huwa zinapata mutation kwasababu ya kimazingira au kwa bahati mbaya tuu (kumbuka hii ni bahati tu hamna cell inaamua ipate mutation) . Baada ya hii mutation kinachofuata ni kuunganisha hizi seli mbili na kutengeneza mtoto. Watoto wote wanaozaliwa japo wana fanana na wazazi wao ila kila mmoja ni wakipekee, pia viumbe wanapenda kuzaa watoto wengi kwasababu ya kuongeza nafasi ya jamii yao kuishi, maana watoto wengi wa viumbe hufa wakiwa watoto. Nikitolea mfano hili jambo la upekee wa watoto ni pale watoto wa wazaa mmoja wanakuwa wengine warefu, wengine wafupi, wengine wananguvu wengine wanyonge na hizi tabia zao zinachangia katika natural selection.

Sasa tuje kwenye natural selection hapa ndio utaelewa nini maana ya evolution vizuri. Tuanze na mfano aliotumia darwins.
Katika kisiwa flani x kuna ndege walipeperushwa na kibunga kutoka bara la amerika wakatua kwenye hiko kisiwa x. Hiko kisiwa kilikua na vyakula ya kutosha na hakukuwa na maadui ambao walikuwa wanawau . Ndege wakazaliana sana (kumbuka kuwa kiumbe chochote hapa duniani kinakazi tatu amabazo ni kujistiri asife, kutafuta chakula akishashiba anatafuta kiumbe mwenzake na kuzaa nae) kama unakumbuka hapo juu kuwa mzazi mmoja anazaa watoto wenye tabia na muonekano tofauti japa wanafanana na wazazi wao na wao wenyewe kwa asilimia fulani. Kwahiyo jamii ikaongezeka na chakula kiaanza kupungua , hapo ndio vurugu linapoanza . Kwahiyo katika utofauti wao, kuna ndege walipata midomo ya kupasua mbegu , wengine kula wadudu na wengine kula vitu vingine ila kuna wengine hawakuzaliwa na sifa za kama hao ndege wengine kwa hiyo wao kupata chakula ikawashida wakafa njaa na DNA zao hazikupitishwa kwa vizazi vingine. Tukirudi kwa walioweza kuishi wakawa wanajitenga kutokana na sehemu zao za kula, kwahiyo wapasua mbegu wakawa wanakaa kivyao na wala wadudu wakawa wanakaa kivyao(kizungu wanaita Niche).

Hii ikapelekea ndege kwenye niche moja kuzaliana na kurithisa tabia na muonekana wa kupasua mbegu na vilevile wale wala wadudu walifanya hivyo hivyo. Ikumbuke kila kizazi kinazidi kutofautiana na kizazi kilichopita kwahiyo kutokana na ushindani wale viumbe waliokuwa wanaweza kupambana ndio walioweza kuishia na kuzaliana (hii inaitwa population pressure which bring survival of the fit enough) ikapita miaka zaidi ya mamilion japo walikuja ndege wa iaina moja kwenye kisiwa baadae wakawa tofauti kabisa kufika hatua wakawa aina ya ndege tofauti(specie) kiasi kwamba hawawezi tena kuzaa (wapasua mbegu walikua hawawezi tena kuzaa na walala wadudu).
View attachment 2059776
hapo juu ndio ndege niliowazungumzia.

Kwa mfano huo wa juu nadhania umeanza kuelewa maana ya evolution. Ikumbukwe evolution haipangi kuwa hii kitokee huwa anatokea kwa bahati ila natural selection ndio inamalizia kazi ya kuchukua wale ambao wameweza kuhimili mazingira. Kwa kuongezea tuu evolution pia haiweizi tokea kwa kitu ambacho hakipo mfano pundamilia hana mabawa kama ndege hii itampasa pundamilia arudi hatua nyingi nyuma za kievolution afikie ile hatua ambapo zebra na ndege walishare mzee wao mmoja(so evolution has no reverse).

Mfano wengine ni kati ya mwanaume na mwanamke wanaume hawahitaji maziwa ila yapo hii inatokana na gharama ya kutengeneza gene inayoondoa maziwa kwa mwanaume kuwa kubwa sana na vilevile jinsi ya ovary zinabadilika kuwa pumbu na kinembe kuwa uume (Nimetumia mfano wa mwanaume kutokea kwa mwanamke , kwasababu binadamu wa kwanza kinadharia na kiushahidi alikua mwanamke).
Kwahiyo cha kuchukua kutoka hapo juu kabla hatujaendelea mbele ni evolution hutokea kwa bahati(bila mpangilio) ila inapangwa vizuri na natural selection, pia evolution hairudi nyuma(kama yanga nyuma mwiko😂🤣😂) .

Mpaka sasa nahisi utakuwa umeshanielewa mambo ya kuhusu evolution na natural selection sasa tunaweza kuikabili nadharia ya asili ya mwanadamua. Kabla hatujaenda mbali nataka kukusihi ufute ile picha uliyosoma sekindari na shule ya msingi kama sisi tumetokana na sokwe na evolution of a man/evolution ni kama mstari mmoja
View attachment 2059780
Hii picha ya juu imetumika kuchanganya watu wengi ulimwenguni japo ilitumika kurahisia maelezo . Kwahiyo chukulia asili ya binadamu na mabadiliko yake kama picha hapo chini.
View attachment 2059783
Binadamu anatoka na genus Homo na specie Sapiens, japo sisi ndio specie iliyobaki kwenye genus homo na sisi ni wamisho kufika hapa duniani. Sitoelezea sana jinsi ya sisi imekuwaje tumeweza simama na kuwa na akili hii ianhitaji uzi wake maalumu.
Tuje sasa kwenye mada yenyewe kwanini mwafrika ni mweusi na wengine ni weupe na kwanini nchi zinazoitwa zina joto hazina watu weusi.

Naomba nikukumbushe tuu kuhusu mutation niliyoelezea hapo kuwa kila kiumbe kanapitia mutation na hizo mutation kama zikitokea kwenye mbegu za uzazi basi sitarithishwa kwa vizazi vijavyo. Binadamu wa kwanza alikuwa mweusi na mpaka sasa mwafrika ni mweusi inatokana na gene moja inayoitwa melanin(gene ni kipande kwenye DNA ambayo ndio inataarifu kiwanda cha kutengeneza protini(ribosome)) hii melanine ndio inatupa dark pigmentation lakini inatumika kuzuia seli za binadamu za ngozi zisiuliwe na UV kutoka kwenye jua , maana miale ya UV huwa zina haribu cell DNA ambayo inaleta leta cancer ndio maana albino huwa wanapata cancer za ngozi kwasababu hawana/haifunguki hii gene ya melanin. Ila pia miale ya jua inatusaidia kutengeneza vitamini D(kwa ajili ya mifupa na meno) kwasababu sisi binadamu hatuna uwezo wakutengeneza vitamini yeyote( sina uhahika labda kuna chache tunaweza tengeneza).

kwahiyo baada ya kungundua umuhimu wa melanin na umuhimu wa vitamini D tuanze sasa safari ya binadamu kubadilika rangi, Kama inavyojulikana binadamu wa kale alikua mtu wa kutangatanga kwahiyo kundi la bindadamu liliondoka huku tanzania(Afrika mashariki) miaka kati ya (10000 - 10000) hiko kipindi bado dunia ilikua na baridi hao watu walipofika bara la ulaya tena hapo caucasus walifanya makazi wengine walisambaa kwenda asia wengine waliingia amerika ya kusini. Ila tutajadili ya hawa wa ulaya kufanya uzi uwe mfupi.

Kama nilivyokwisha kueleza mambo ya evolution na natural selection, tuanze angalia sababu ya kwanza ni uchache wa miale ya jua kwahiyo binadamu wa enzi hizo wakaanza pata tabu kutengeneza vitamini D3 kwaajili ya meno na mifupa nadhani mnajua mtu akiwa na mifupa milaini hawezi kimbia kwahiyo kutafuta chakula kwakwe inakuwa shida (nakukumbusha kiumbe chochote kina kazi tatu kwa mtirirko kuishi kula na kuzaa) kwahiyo watu wenye mifupa milaini walikufa mapema bila kuzaa na vizazi vyao vilipata vurugu lile lile na kwenye meno kama unameno mabovu kupata magonjwa na kushambuliwa na bacteria,virus na vidudu vingine ni rahisi kwahiyo nao walikufa mapema na ikumbukwe kibogoyo hali nyama (enzi hizo binadamu alikua hajagundua kilimo so chakula ni nyama au matunda).

Ikumbukwe evolution haisimami kwahiyo katika wale waliofika ulaya wakazaa watoto ambao ni weupe wao ikawa rahisi kutumia miale hafifu ya jua la ulaya kutengeza mifupa yenye nguvu kwahiyo waliweza kupata chakula na wao wakazaa watoto walirithisha hizo mitutation za melanin D so baada ya vizazi vingi watu weusi walipotea na wakabaki wazungu hapo tunaona natural selection watu wote unaowaona ni weupe asili yao jua ni hapo Caucasus.

Nikijibu swali la kwanini waarabu hawawi weusi tena , ninakujibu kwa nadharia mbili ya kwanza nilishasema kuwa evolution huwa hairudi nyuma kwasababu ya gharama na yapili inaitwa collective learning hii imesaidia binadamu asibadilike bali aishi na kuyaongoza mazingira yake. Mwarabu mweupe (Ikumbukwe uarabu ni tamaduni na sio race) yupo hapo jangwani si zaidi ya miaka 6000 hii haiwezi mpelekea abadilike haraka na hivyo pia kipindi mwarabu mweupe anaanza tawala hapo mashariki ya kati kilimo kilishagunduliwa na nguo pia zilishagundulia kwahiyo jua halikuweza kumchoma kama vile wazee wake walivyotoka afrika wanatembea uchi. uwezo huu wa jamii kujifunza maarifa kutoka kwa vizazi vilivyopita ndio inaitwa collective learning hii ndio imasaidia binadamu kuweza kupambana na natural selection kwa kiasi kikubwa.

Tuje kwenye civilization hilo ni somo lingine kubwa nimeona nisilijibu kwasasa ila ntabainisha vitu vya kusoma ili uweye elewa . tatufa za sababu kwanini mageuzi ya kiviwanda yalitokea UK na sio china( wakati china ilikua inachimba makaa ya mawe na chuma zamani kukilo uingereza)
NB: Mimi sio mtaalamu wa maswali ya evolution, nimejifunza yote haya kwa kuwa ni udadisi wangu kwahiyo kama kuna taarifa hapo nimeandika sio sahii naruhusu kurekebishwa na kama kuna kitu kinahitaji ufananuzi zaidi naruhusu pia kujaziwa. Elimu ni bahari sayansi haina mwisho hamna kitu sahii milele kwenye sayansi bali sayansi ipo kufichua uongo wa nadharia za huu ulimwengu.
Mimi ni mfuasi wa evolution na natural selection , nameandika hii ili msomaji wangu usipate maswali kuhusu niliyoongea kama nayaamini au nafundisha nisichoamini pia siamini katika mambo ya dini,mizimu,uchawi ,mungu na mashetani yake.
chamwisho kabisa mimi sio mwandishi mzuri nimejitahidi kuandika kwa kiswahili hizi mada ngumu naoma tuvumiliane kwa makosa ya kisafuri na kisanifu.
asante kwa ufafanuzi wako, japo nimepata swali la kuanzisha uzi mwingne kutokana na ufafanuz wako
 
😂😂 duh kwahiyo bacteria ndio baba wa viumbe vyote hapa duniani?

Sayansi muda mwingine ina majibu mepesi sana, ok kwahiyo hiyo sio continuous process au? Ingekuwa tumetokana na bacteria kweli kwanini hatuoni matokeo mapya baada ya hao bacteria kujamiiana? Au ndio kama kawaida yenu jibu ni walishapotea kwenye uso wa dunia!

Bora niendelee kubaki kwenye dini ambayo inaniambia binadamu na viumbe wote waliumbwa, nikaonekana mjinga kuliko kuamini kuku,punda na binadamu wametokana na bacteria.
 
duh kwahiyo bacteria ndio baba wa viumbe vyote hapa duniani?

Sayansi muda mwingine ina majibu mepesi sana, ok kwahiyo hiyo sio continuous process au? Ingekuwa tumetokana na bacteria kweli kwanini hatuoni matokeo mapya baada ya hao bacteria kujamiiana? Au ndio kama kawaida yenu jibu ni walishapotea kwenye uso wa dunia!

Bora niendelee kubaki kwenye dini ambayo inaniambia binadamu na viumbe wote waliumbwa, nikaonekana mjinga kuliko kuamini kuku,punda na binadamu wametokana na bacteria.
naona hapo swala la evolution na natural selection umesoma hujaelewa kabisa yani umetoka mweupe
kweli kazi ipo
mfano mdogo mtu akikuambia wazungu wa marekani wametokana na wazungu wa ulaya unakuja uliza tena mbona wazungu wa ulaya hawajabadilika kuwa wazungu wa marekani.

pia bacteria hajizalishi kwa njia ya sex , hapo kuna stage nyingi nimeruka kutoka bacteria mpaka hizi sell tulizonazo kuna vitu vingi tulianza kuelezea ningekuwa nimetoka nje ya maada . Sayansi ina majibu ya maana kuliko kusema mtu ameumbwa na udongo siku ya sita
 
naona hapo swala la evolution na natural selection umesoma hujaelewa kabisa yani umetoka mweupe
kweli kazi ipo
mfano mdogo mtu akikuambia wazungu wa marekani wametokana na wazungu wa ulaya unakuja uliza tena mbona wazungu wa ulaya hawajabadilika kuwa wazungu wa marekani.
Hilo linaeleweka wazungu wa Marekani sababu zilizowapeleka pale hazitofautiani na sababu za Afro-American kuwa pale lakini 😂😂😂 bado kama sisi ni chimbuko la bacteria siwezi amini mkuu, wabongo wanasema kila mtu ashinde mechi zake
 
siwezi kulazimisha ukubali ukweli maana umekubali kubaki kwenye ujinga ambo wewe unaita kushinda mechi
 
Yaap hiyo ndio historia sahihi mzungu Ni mchanganyiko wa malaika waasi na mwafrika. Na Jambo hili Ni kubwa na gumu Sana Ni Vita iliyoanza baada ya kuumbwa Adam, shetani aliapa kukiharibu na kukipoteza kiumbe kilichoitwa mwanadamu na ndio Vita yake na MUNGU.
 
Tuanze na historia ya ubaguzi. Tuonze na waarabu then tuje kwa wazungu.
Waarabu walianza kubagua waafrika kwasababu waliamini hawamjui mungu wao allah na wakatumia vitabu vyao vya dini kuwa kumchukua mtu yeyote utumwani kama sio muislamu. Kutokana na maagizo ya vitabu vyao na mazoea ya kuchukua waafrika utumwani wakajijengea mazoea ya kudharau waafrika mpaka leo mpaka siku mwafrika atapoachana na ushamba dhidi ya dini yao na ushamba dhidi ya uarabu wao.
2. Mzungu ndio kinara wa ubaguzi yeye ndio alifanya ubaguzi dhidi ya waafrika uzagae ulimwengu mzima kupitia biashara ya utumwa, ukoloni then dini na vipindi vya video, vitabu, michoro , vibonzo na vinginevyo. Mzungu ndio aliyeweka ubaguzi wa kimkakati(systematic and institutional racism)
tuanza na papa wa vatican kuandika barua ya kuruhusu wazungu kuchukua waafrika utumwani kwasababu ya rangi yao .
wareno, wahispania , wafaransa na waingereza kupitisha sheria kandamizi za kibaguzi dhidi ya watumwa wa kiafrika
waingereza ndio walikua vinara ila kwasasa wamarekani ndio wafalme wa ubaguzi.
NB: waafrika hatuna rafiki zaidi ya sisi wenyewe ni vile tuu tumeamua kumuachi mustakabali wa maisha yetu kitu kinachosadikika ni mungu . Ambay kwenye vitabu hivuo tunavyovifuata huyo mungu alikua anahamasisha watu wachukuliwe utumwani
ushahidi kutoka hivyo vitabu please
 
Yaap hiyo ndio historia sahihi mzungu Ni mchanganyiko wa malaika waasi na mwafrika. Na Jambo hili Ni kubwa na gumu Sana Ni Vita iliyoanza baada ya kuumbwa Adam, shetani aliapa kukiharibu na kukipoteza kiumbe kilichoitwa mwanadamu na ndio Vita yake na MUNGU.
ushahidi please
 
Nenda kamuulize aliyekupa rangi nyeusi ya ngozi na sio rangi nyeupe ya hao Bwana zako unaowahusudu.

Ungeumbwa funza wa chooni anayekula kinyesi ingekuwa bora kwani usingeuliza such nonsense of yours.

Unauliza upumbavu wa kujidhalilisha halafu unajiona eti nawewe umeuliza!!?
Mbona umekuwa mkali hivyo?
 
Wakuu marry chrismass.

Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.

kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii,
tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine, mfano ulaya ni weupe,asia ni weupe,australia ni weupe,america kaskazini na kusini ni weupe (isipokuwa black americans tu ambao nao pia wanatokana na mababu zetu waliopelekwa utumwani kule).
so najiuliza kwanini only africans are the black people ? Kwa majujibu wa takwimu za population, dunia mpaka sasa ina watu bilion 7.8, na africa pekee ina watu bilion 1.3 tukijumlisha na yale masalia ya america na carribean labda tunakuwa 1.4 au 1.5 billion ndo watu pekee weusi duniani, maana ake kati ya watu bilion 7.8 weusi ni 1.5 bilion pekee,wengine wote wanaobaki ni weupe, kwanini yani weupe mbona wengi sana, je imekuwaje weusi wakawa wachache alafu wametengewa bara lao, maana mabara yote 6 yenye watu matano ni weupe isipokuwa bara moja tu la africa ndo weusi tii why mbona sipati majibu sahihi ? Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.

Kitu cha pili, kwanini sisi watu weusi tunaonekana tuko nyuma kwa karibu kila kitu, kuanzia ustaarabu watuletea watu weupe, teknolojia nyingi zimetoka kwao (asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ? Kwanini sifa ya mwafrica ni ya umaskini na ujinga tu why this ? Walitutawala kwa karne karibu 4, wakatutumikisha kwenye ardhi yetu wenyewe na kutufanya watumwa na sisi tukakubaliana na hali, why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ? Tuna rasimali kibao ila tumeshindwa kuzitumia zituboreshee maisha badala yake bado tumkabidhi mtu mweupe, kwanini sisi watu weusi tuna nini ebu nipeni majibu !

Cha mwisho, kwanini ngozi nyeusi inabaguliwa (racisim) na kuonekana duni, nadhani tunashuhudia wenzetu walioko ng'ambo jinsi wanavyobaguliwa na kuitwa nyani, ina maana sisi weusi duniani tulikuja bahati mbaya au ni vipi yani !...niki mnukuu mwarabu moja mweupe pale libya ambaye aliwateka waafrica wakiwa wanatorokea ulaya kupitia mediterania aliwaambia hivi "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa ninyi"....unaweza kuona ni jinsi gani sisi watu weusi tunavyochukuliwa na watu weupe, sasa kwanini sisi waafrica tukaumbwa weusi (rangi ya kudharaulika,duni) alafu tukawa wachache na bado haitoshi tukapewa bara la peke yetu weusi (bara la africa) wakati weupe wao wakaumbwa wengi alafu wakasambazwa kwenye mabara matano tofauti na pia wakapewa upeo wa uelewa kuliko sisi ? Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?

Nb : sijaudharau uafrica wangu ila najiuliza tu kwanini mweusi anadharauliwa na kudunishwa wakati mweupe yupo mbele yetu kwa karibu kila kitu ?
India wapo watu weusi kama wanubi
 
Wewe ni mweusi??!!, kama umweusi je umelaanika kwa kuwa kwako mweusi??!, hayo ndio maswali anayouliza huyo jamaa.
Mimi ni Mwafrika mweusi na wala sijalaanika kwa kuwa mweusi. Ila kwa nilivyomsoma ni kwamba yuko misinformed na ni wajibu kwa sisi kumuelewesha.

Ukanda mzima wa tropics (north and south of the equator kwenda tropic of capricorn mpaka tropic of cancer) unao watu weusi. Kwa hivyo wapo wahindi weusi tiii hata kuliko waafrika, hata na wale aborigines wa Australia ni weusi tii. Na wako baadhi ya makabila ya Afrika yanayo watu weupe (southern africa).

Labda angeulizia kwa nini sisi waafrika tuna nywele ngumu na wenzetu wote wana nywele laini hata kama ni weusi. Lakini kwa imani yetu ni kwamba Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na ardhi ndivyo alivyoamua.
 
umezingua kama ni hali ya hewa inasbabisha tuwe we usi mbona kuna black america wako miaka na miaka hawabadiliki kuwa weusi
Kuna mtu alijibu huko juu, evolution haifanyiki ndani ya miaka 100, yanatokea kwa kiwango Cha taratibu sana.
 
Mimi ni Mwafrika mweusi na wala sijalaanika kwa kuwa mweusi. Ila kwa nilivyomsoma ni kwamba yuko misinformed na ni wajibu kwa sisi kumuelewesha.

Ukanda mzima wa tropics (north and south of the equator kwenda tropic of capricorn mpaka tropic of cancer) unao watu weusi. Kwa hivyo wapo wahindi weusi tiii hata kuliko waafrika, hata na wale aborigines wa Australia ni weusi tii. Na wako baadhi ya makabila ya Afrika yanayo watu weupe (southern africa).

Labda angeulizia kwa nini sisi waafrika tuna nywele ngumu na wenzetu wote wana nywele laini hata kama ni weusi. Lakini kwa imani yetu ni kwamba Mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na ardhi ndivyo alivyoamua.

Yupo miss informed ??!!----- huyo ni unmannered person ndio maana hajui namna ya kuuliza maswali, huwezi kuuliza swali unalojitusi wewe mwenyewe na waulizwaji kwa ujumla na hapo hapo unatukuza jamii nyingine against jamii yako kwa msingi wa rangi kana kwamba hiyo jamii nyingine ni angels na sisi ni satans.

Martin Luther king jr, alipata kusema katika moja ya hotuba yake ya kihistoria; " I have a dream my four little childrens will one day live in a nation where they will not be judged by colour of their skin but by the contents of their characters"

The guy have to know It is the content of our characters which matters and not colours of our skins.
 
Wakuu marry chrismass.

Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.

kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii,
tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine, mfano ulaya ni weupe,asia ni weupe,australia ni weupe,america kaskazini na kusini ni weupe (isipokuwa black americans tu ambao nao pia wanatokana na mababu zetu waliopelekwa utumwani kule).
so najiuliza kwanini only africans are the black people ? Kwa majujibu wa takwimu za population, dunia mpaka sasa ina watu bilion 7.8, na africa pekee ina watu bilion 1.3 tukijumlisha na yale masalia ya america na carribean labda tunakuwa 1.4 au 1.5 billion ndo watu pekee weusi duniani, maana ake kati ya watu bilion 7.8 weusi ni 1.5 bilion pekee,wengine wote wanaobaki ni weupe, kwanini yani weupe mbona wengi sana, je imekuwaje weusi wakawa wachache alafu wametengewa bara lao, maana mabara yote 6 yenye watu matano ni weupe isipokuwa bara moja tu la africa ndo weusi tii why mbona sipati majibu sahihi ? Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.

Kitu cha pili, kwanini sisi watu weusi tunaonekana tuko nyuma kwa karibu kila kitu, kuanzia ustaarabu watuletea watu weupe, teknolojia nyingi zimetoka kwao (asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ? Kwanini sifa ya mwafrica ni ya umaskini na ujinga tu why this ? Walitutawala kwa karne karibu 4, wakatutumikisha kwenye ardhi yetu wenyewe na kutufanya watumwa na sisi tukakubaliana na hali, why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ? Tuna rasimali kibao ila tumeshindwa kuzitumia zituboreshee maisha badala yake bado tumkabidhi mtu mweupe, kwanini sisi watu weusi tuna nini ebu nipeni majibu !

Cha mwisho, kwanini ngozi nyeusi inabaguliwa (racisim) na kuonekana duni, nadhani tunashuhudia wenzetu walioko ng'ambo jinsi wanavyobaguliwa na kuitwa nyani, ina maana sisi weusi duniani tulikuja bahati mbaya au ni vipi yani !...niki mnukuu mwarabu moja mweupe pale libya ambaye aliwateka waafrica wakiwa wanatorokea ulaya kupitia mediterania aliwaambia hivi "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa ninyi"....unaweza kuona ni jinsi gani sisi watu weusi tunavyochukuliwa na watu weupe, sasa kwanini sisi waafrica tukaumbwa weusi (rangi ya kudharaulika,duni) alafu tukawa wachache na bado haitoshi tukapewa bara la peke yetu weusi (bara la africa) wakati weupe wao wakaumbwa wengi alafu wakasambazwa kwenye mabara matano tofauti na pia wakapewa upeo wa uelewa kuliko sisi ? Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?

Nb : sijaudharau uafrica wangu ila najiuliza tu kwanini mweusi anadharauliwa na kudunishwa wakati mweupe yupo mbele yetu kwa karibu kila kitu ?
Brown rangi ya udongo ndio binadamu original .weusi wa kuzidi umesababishwa na eneo tunalo ishi jua Kali 😃😃😃
 
Si Waafrika tu wenye ngozi nyeusi, isipokuwa sisi ni baba wa watu wenye ngozi nyeusi...

Hizi races zilizopo duniani, zina wanadamu wenye asili ya awali kuliko wengine na kuna races ambazo ni mchanganyiko wa aina mbili au zaidi ya races za awali...

Melanesians (hawa wanapatikana visiwa vile vidogo vidogo vilivyo ndani ya bahari ya Pacific)...

Indigenous Australians 'Aboriginal' (hawa ni watu ambao ndio asili ya mwanadamu aliyekuwa akiishi Australia kabla ya uvamizi wa wazungu)...

Blasians, Siddi, Negritos n.k n.k zote hizi ni jamii za watu weusi waliopo Asia na visiwa vyake, yaani hawa ni weusi tii, ukiwaleta Afrika wala hutawashangaa...
Wazungu kwao wapi? Au ndio alien ?
 
Wakuu marry chrismass.

Nimekaa nimewaza na kufikiri naona kama kuna kitu hakiko sawa kuhusu sisi waafrica.

kitu cha kwanza ni kwanini sisi waafrika pekee tuna rangi nyeusi tii,
tofauti kabisa na binadamu wa mabara mengine, mfano ulaya ni weupe,asia ni weupe,australia ni weupe,america kaskazini na kusini ni weupe (isipokuwa black americans tu ambao nao pia wanatokana na mababu zetu waliopelekwa utumwani kule).
so najiuliza kwanini only africans are the black people ? Kwa majujibu wa takwimu za population, dunia mpaka sasa ina watu bilion 7.8, na africa pekee ina watu bilion 1.3 tukijumlisha na yale masalia ya america na carribean labda tunakuwa 1.4 au 1.5 billion ndo watu pekee weusi duniani, maana ake kati ya watu bilion 7.8 weusi ni 1.5 bilion pekee,wengine wote wanaobaki ni weupe, kwanini yani weupe mbona wengi sana, je imekuwaje weusi wakawa wachache alafu wametengewa bara lao, maana mabara yote 6 yenye watu matano ni weupe isipokuwa bara moja tu la africa ndo weusi tii why mbona sipati majibu sahihi ? Sijichukii kwa sababu mimi mweusi ila najiuliza tu kwanini waafrica pekee ndo weusi ? Alafu pia wakawa wachache kuliko weupe ? Kuna laana gani ilipita hapa ebu nambieni wadau.

Kitu cha pili, kwanini sisi watu weusi tunaonekana tuko nyuma kwa karibu kila kitu, kuanzia ustaarabu watuletea watu weupe, teknolojia nyingi zimetoka kwao (asilimia karibu 90 ya kila tunachotumia waafrica kilianza kwanza kugunduliwa na mweupe), kwanini mweusi akawa nyuma sana ? Kuna laana gani hapa ? Kwanini sifa ya mwafrica ni ya umaskini na ujinga tu why this ? Walitutawala kwa karne karibu 4, wakatutumikisha kwenye ardhi yetu wenyewe na kutufanya watumwa na sisi tukakubaliana na hali, why only africans we became very stupid ? Mbona sisi hatukuanza kuwatawala ila wao weupe wakaanza ? Tuna rasimali kibao ila tumeshindwa kuzitumia zituboreshee maisha badala yake bado tumkabidhi mtu mweupe, kwanini sisi watu weusi tuna nini ebu nipeni majibu !

Cha mwisho, kwanini ngozi nyeusi inabaguliwa (racisim) na kuonekana duni, nadhani tunashuhudia wenzetu walioko ng'ambo jinsi wanavyobaguliwa na kuitwa nyani, ina maana sisi weusi duniani tulikuja bahati mbaya au ni vipi yani !...niki mnukuu mwarabu moja mweupe pale libya ambaye aliwateka waafrica wakiwa wanatorokea ulaya kupitia mediterania aliwaambia hivi "mnaenda wapi nyie watu weusi kutoka kuzimu watumwa mliolaaniwa ninyi"....unaweza kuona ni jinsi gani sisi watu weusi tunavyochukuliwa na watu weupe, sasa kwanini sisi waafrica tukaumbwa weusi (rangi ya kudharaulika,duni) alafu tukawa wachache na bado haitoshi tukapewa bara la peke yetu weusi (bara la africa) wakati weupe wao wakaumbwa wengi alafu wakasambazwa kwenye mabara matano tofauti na pia wakapewa upeo wa uelewa kuliko sisi ? Au ni kweli mungu alitulaani nini sisi weusi ? Au sisi weusi ni uzao wa shetani kama wanavoamini baadhi ya weupe ?

Nb : sijaudharau uafrica wangu ila najiuliza tu kwanini mweusi anadharauliwa na kudunishwa wakati mweupe yupo mbele yetu kwa karibu kila kitu ?
Si kweli mkuu,wapo weusi in Australia,the Aborigines;the so called untouchables of India and the indigenous people of the Oceania. Inaelekea Geography huna mkuu.
 
UKWELI MCHUNGU

Ukwel uko wazi ni kuwa ukitaka kuelezea asili ya mtu/mwanadamu kuna theory za kisayansi na kiiimani znazojarbu kueleza asili hiyo pamoja na mgawanyiko wa races dunian.

hao viumbe wa rangi zngne yaan wanadamu weupe hawatak ukwel ujulkane ni kuhusu asili ORIGINAL ya maisha ya dunia.

Duni hii ina historia ndefu sana ambayo imeanza tangu zamani sana, kwahiyo hata maisha yalianza zamani sana kabla hata ya hizo dini na theory za uongo hazijaanza.

Mwanzo kabisa kiumbe wa kwanza alikuwa ni Mtu na mtu mwenyewe alikuwa mweus na aliishi ktk bara moja(kabla ya mgawanyiko wa mabara)

Mabara hayo yoote yalkuwa yameungana na afrika, mtu huyo kiumbe aliumbwa kuendana na nature ya mazingira kwa ngozi na DNA yamtu mweusi ili aweze kuishi bila mateso kwa kuvumilia shida za joto,na maradhi mbalimbali.

Baada ya ongezeko la watu dunian, kuliibuka jamii ya Alien tokea mbinguni(fallen Angeles) hawa ndio walishuka na kubadiri maumbo yao kwa tamaa zao ili waonekane kama watu, na baadae walifanikiwa kuanza kuzaa na wanawake weusi ambapo baadae ikachipuka races ya viumbe wa kisasa ama machotara ambao walkuwa na Nusu DNA za mtu mweus na hao alien(malaika).

Mionekano yao na rangi zao zilibeba asili ya laana ya hao wageni tokea anga za juu, ambapo ndyo hao waitwao nephilims ama metis ambao nao walianza kuzaana wao kwa wao na kuleta jamii hiz tuzionazo leo.

Ukwel huu hawapend ujulkane, kumbuka kipind icho dunia ilikuwa sehem yenye ardhi ya bara moja.

Sasa hao wanefil ama unaweza waita wanadamu, lkn sio watu, mtu ni yule mwenye DNA original na mweusi tuu, sasa hao wanadamu kwakuwa Hawakuwa na utu, walianzisha maovu mengi sana, ikiwepo ushoga,usagaji, kuabudu mashetan na vurugu za kila aina, ambapo baadae ndpo kultokea tetemeko lililopelekea mgawanyiko wa mabara,

Na hao watu weupe walikuwa na nia ya kutokomeza kizaz cha mtu mweusi tangu zamani kupitia vita na utumwa, ambapo baadae baada ya falme za wanadamu(watu weupe) kukuwa, walkuwa wakiivami afrika ili kuitetekeza na kuiba mali za afrika.

Hawakuweza kufaulu kwa muda mfupi, mpka pale falme kubwa za afrika kama misri ya watu weusi, ethiopia/kushi, Babilon ama east afrika na wazulu na wa sudan walipokosa nguvu kwa kushindwa kuhimili vita namapigano yaliyodumu kwa miaka mingi na kupelekea afrika kutawalika.

Mnachotakiwa kujuwa ni kuwa afrika ilianza kuvamiwa hata kabla ya hizo historia zenu znavyowadanganya kuwa wakolon walkuja ktk karne ya 14 huo ni uongo.

Maana ktk karne ya14 tyr afrika ilkuwa imeshabomolea miji yake yoote ambayo ilikuwa mikubwa kulko jiji lolote ulijualo ktk kipind cha leo, technologies zilizokuwepo zlkuwa zmeshachakachuliwa sana mpka kufikia karne ya 14, hapa ndiomaana hata historia zenu za uongo znasema wakolon waliikuta afrika ikiwa na watu wakaa uchi na wanaoshinda maporini wasiojua lolote, hiyo ni kwel sababu jamii nyingi zlitawanyila na kukimbia vita il kujikinga na kifo, hiyo ikapelekea hata maendeleo ya kuijenga afria kufa.

Afrika imefanikiwa kutawalika baada ya falme zote kuharibiwa sana na kila kitu kubadilishwa na hapo ndipo ushetan ukaingia ambao ndyo hizo elimu,dini na utandawazi unao waharibu waafrika kila siku.

Ukoloni,vita,njaa na magonjwa hayawez kuisha mpka pale kizazi cha mtu mweupe kipotee chote ama watu weusi dunia nzima watakapoungana na kuifanya afrika kuwa moja na ndipo Ule mwisho utakapo kuja.

Mwisho wa dunia ni kwel upo na hauwezi kuja mpka mwafrika atakapofanikiwa kuijua asili yake na kuurudisha ukuu wake, apo ndipo hata MUUMBA wa kwel ataruhusu mapigo yawashukie hawa wanefili na watesi wetu ambao hushirikiana na baazi ya weusi wenzetu kutuhujumu.

Tafuteni sana elimu, dunia si salama, mtu mweupe si ndugu yako.View attachment 2057050
Kwa hyo mkuu Africa ilitawaliwa na nani? Katika Karne ya 14
 
Back
Top Bottom