Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Hapana kaka.. sina uoga kwenye kutongoza ila sifanikiwi kung'oa

Mkuu ulichoandika ni Ukweli 100%
Wengi wamepitia huko haswa waliosoma seminari na walio na mageti makali!
Pia waliozoea kupiga Punyeto!
Hebu jaribu kutembea mkoa wa mbali katongkze wakikukataa huna nomaa unarudi Dar kama unakaa dar,Jaribu jwenda viwanja vigeni!
Hata mimi niko kama wewe mkuu kuwaogopa hawa viumbe!
Haswa kupigwa chini,Hawa viumbe hawapendi Papara wala haraka!
Cha Msingi we mwambie tuu unampenda ungependa awe rafiki yako,anzia hapo kwanzaomba number then mnakuwa mnawassiliana,
Na katika maingezi yenu ya wali tafiti au jitahidi kujua anapenda story zipi!ili asiwe bored na wewe!
Wengine hawapendi kutoa number kabisa mwanzoni,
Kama kweli umempenda mpe number zako mwambie wewe unapatikana wapi!
Atajua namna ya kukutafuta hata kama amekunyima siku hiyo..
Ila hakikisha siku hiyo kuna kitu amekifurahia cha kuweka alama toka kwako ktk maongezi,
Lazima una kitu unique...Wanawake wengi wanapenda story ila usizidishe!
Mnunulie chochote,kulingana na wakati,
Mwalike kwa Lunch akipata nafasi!
Msifie umependa nini kwake!
Haswa vitu vya nje!
 
Hili swala linatesa mkuu,hasa sisi madomo zege na tuna give up mapema.Nakushauri kwa umri huo kuwa siliasi na mmoja ,oa mkuu .La sivyo utakufa kwa Magonjwa Mana anaweza akajirahisisha mmbovu,kwa tamaa ya kutoswa ukapita nae.ukapiga mechi za vurugu mwisho wa siku ni noma
 
tatizo sio kupata! TATIZO NI KUPATA UNAE MTAKAA!
Mm binafsi huyu ,mara nying nashobokewa na mademu wabovu wabovu tu na kuwapata ni sawa na bure lakin kupata zile pisi ambazo zimekidhi viwango na itifaki ikiwa imezingatiwa kama tako, lips,highwing nyonyo, reflecting colour, poz muondoko na flexibility kwenye maeneo mbali mbali ya mwili kwa kwel ni Ngumu nahis shetani ana nitrick na wivu mpuuzi sana
 
Sas pianitakupa namba za ndugu yangu nasikiaga Ni mcharuko huyo akikukatah bas nenda kwa mwamposatu 0789085513
 
Unakata tamaa mapema sana kaka, alafu usiogope kukataliwa unapotongoza yaani usione aibu.

Fanya mpango ukamate pisi ikiwezekana uoe maana umri haurudi nyuma huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom