Kwanini sipati kadi ya uanachama wa CCM?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Kwa muda sasa nimekua naunga juhudi za serikali hii, na nimefurahishwa na jinsi ambavyo serikali inajali maslahi ya Watanzania.

Pia nimezidi kupata furaha sana hata katika mapambano haya ya ugonjwa ya COVID 19, jinsi serikali chini ya Mhe Rais, J.P Magufuli kua mstari wa mbele bila kuyumbishwa na mabeberu katika mapambano haya ambayo tumeyashinda.

Ila nadhani kwa sapoti hii ni haki yangu kua mwanachama HAI kabisa, ila kwa muda sasa nimeshaomba maombi zaidi ya mara 3 mikoa tofauti ila sijawahi kufanikiwa kupata kadi ya uanachama wa CCM. Natakiwa niwe mwanachama hai na sio mwanachama jina.

Kama kuna mtu kwenye system anaweza nisaidia ntashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja

(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote

(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

(10) Nitakuwa mtii kwa Raisi na serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Note: Kariri namba 8,9 & 10 alafu nenda ofisi yoyote ya CCM iliyo karibu nawe utapata kadi!
 
Duu umenikumbusha darasa la tat mwaka 1985 kile kitabu kina mzee mweta na nondo mla watu.

wakongwe wenzangu gonga like hapo 👇
 
Rais, J.P Magufuli kua mstari wa mbele bila kuyumbishwa na mabeberu katika mapambano haya ambayo tumeyashinda.
Hakuna watu wajinga duniani kama masikini yaani utasikia
1 Mafisadi
2 Mabeberu
3 Masultani
4 Wakwepa kodi
5 Majangili
Lakini hao wote huwaoni kupelekwa mahakamani kwa kuhujumu uchumi au nchi. Mwisho wa siku mabeberu ndio wanao changia asilimia kubwa ya bajeti yetu.
UKIONA WANANCHI WANALALAMIKA JUU YA MAISHA DUNI WAAMBIE MATAJIRI NDIO WANAO KUFANYENI MUWE MASIKINI HAPO HAWATA ILALAMIKIA SERIKALI. (ZUZU LIZUZUWE TU)

NDUKIIIII 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
NDUKIIIII
hahahah punguza jazba mkuu nimetaka kadi tu hayo mengine nenda kaanzishe mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda sasa nimekua naunga juhudi za serikali hii, na nimefurahishwa na jinsi ambavyo serikali inajali maslahi ya Watanzania.

Pia nimezidi kupata furaha sana hata katika mapambano haya ya ugonjwa ya COVID 19, jinsi serikali chini ya Mhe Rais, J.P Magufuli kua mstari wa mbele bila kuyumbishwa na mabeberu katika mapambano haya ambayo tumeyashinda.

Ila nadhani kwa sapoti hii ni haki yangu kua mwanachama HAI kabisa, ila kwa muda sasa nimeshaomba maombi zaidi ya mara 3 mikoa tofauti ila sijawahi kufanikiwa kupata kadi ya uanachama wa CCM. Natakiwa niwe mwanachama hai na sio mwanachama jina.

Kama kuna mtu kwenye system anaweza nisaidia ntashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa mjumbe wako wa shina mkuu,
 
Back
Top Bottom