Kwanini sio rahisi kusikia mganga wa kienyeji kutoka moshi?

Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka moshi,vipi hili lina uhusiano gani na maendeleo na changamoto zima la maendeleo ya kiuchumi kielimu na mambo mengine. Vipi kuna ukweli hapo au ni mt
azamo wa watu??au tuelewe nini kuhusu hizo sehemu watokapo hao waganga??

Kwa sababu wao ndio wateja. Stupid
 
Kweli mkuu, waganga wa kienyeji Mkoa wa Kagera ni nadra sana kuwaona; sababu moja wapo ni mtizamo wa imani kwamba dini zilienezwa mapema kule aidha factor nyingine ni elimu.

we ni ndyetabula ama patience mwngne?
 
Wa moshi wawe waganga afu kupika vitimoto na wizi afanye nani? Huo ni mgawanyo wa majukumu. Ni kama wapare walivyo washona viatu na mafundi cherehani, wa iringa mahaousigeli, ...

hahahahahahaaaaa!!!!!
Aseeee....hii anaitwa uchokozi ambao ugomvi wake ni kombeo tu.
 
matafute mganga mashuhuri mahali ulipo halafu muulize wateja wake kumi muhimu utakuta asilimia tisini ya hao ni wachaga
 
hakuna ukweli penye uchawi na ushirikina hakuna maendeleo
wachaga wanajiendeleza kiuchumi kwa juhudi zao na pia kuinuana hasa kielimu
watu wakisoma na kuelimika mda wa kufanya ya kijinga hakuna
well n' good hakuna waganga wa matangazo ila kule uchagani ni washirikina sana tena sana wakuteketeza ndugu na mali, akina mangi watanikubalia kwa hilo!
 
Kila kabilla na uovu wake! wachagga wamechagua pombe na wizi! Kagera Uesherati!
 
Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka moshi,vipi hili lina uhusiano gani na maendeleo na changamoto zima la maendeleo ya kiuchumi kielimu na mambo mengine. Vipi kuna ukweli hapo au ni mtazamo wa watu??au tuelewe nini kuhusu hizo sehemu watokapo hao waganga??

Ukitaja unatoka Moshi hapo hupati mteja kabisa itaonekana wazi kuwa unazichanga
 
'Mganga wa Kienyeji Kutoka Ufipa, Rukwa, Sumbawanga, Kigoma' kwa sasa ni trade name. Maana wanajua ukisema mganga wa kienyeji kutoka rombo....hupati wateja.

Fanya research utakuta hata hao wanaojiita wanatoka huko si makabila ya huko rukwa ua kigoma
 
hata Bukoba hamna waganga wa kienyeji sahihisha ili uweze kupata wachangiaji wengi

Kweli mtani, hata nyinyi wanawaonea tu kwenu wanatoka 'dada poa tu' sio walozi. Kama ambavyo Tarime inatoka 'Mushe' tu (bangi) na sio dada poa wala walozi mwitu.
 
utafiti unahitajika khs suala hili maana kwamtazamo tu haitoshi.Acha wenyeji wa huko waje waseme au mtu ambaye analijua hili kwa kina.
 
wachaga hawahitaji wagaga wa kienyeji coz wao ni wachawi sana wapenda mali, wanajificha kwa maovu yao wanayoyafanya kwa kusafiri umbali kubwa kuufuata utajiri kama kigoma kule, sumbawanga, tanga wanafanya hivyo ili waonekane ni wasafi


True that Hawa jamaa ni ni ma-econoFinancial and Entrepreneur "WIZZARDS" kwa kweli... popote huwakosi.
 
well n' good hakuna waganga wa matangazo ila kule uchagani ni washirikina sana tena sana wakuteketeza ndugu na mali, akina mangi watanikubalia kwa hilo!

Mr huu ndo utumbo wako wa kuanzia mwaka afu nahisi kama unatoa ka harufu
 
wachaga hawahitaji wagaga wa kienyeji coz wao ni wachawi sana wapenda mali, wanajificha kwa maovu yao wanayoyafanya kwa kusafiri umbali kubwa kuufuata utajiri kama kigoma kule, sumbawanga, tanga wanafanya hivyo ili waonekane ni wasafi
Umeanza kwa fact mistari miwili ya mwanzo ila sijui nini kilitokea baadaye ukaanza
kuharisha toa utumbo huo fasta!
 
Uchawi wa moshi ni kutafuta shekeli...

Well said mkuu unajua hawa pimbi wakiona kidogo life inakunyookea mawazo yao haraka yanarudi kwenye chungu wanajua ni uchawi tuuuuuu. Jibu hapo ni rahisi sana Moshi hakuna waganga mwitu hao kwa sbb wenyeji hawawahitaji na hii inatokana na kutumia vizuri kaelimu kao japo kadogo kujiletea maendeleo tazama sehemu zenye hao viumbe kwa wingi maendeleo hakuna.
 
Nimemuelewa sana tu thats y nimesema watu wa moshi wanajificha hawataki kuonekana kama ni washirikina

Kuficha upumbavu ni hekima iliyo kuu na njia bora ya kuuficha ni kutofanya upumbavu huo kama wanavyo fanya hawa jamaa Big Up kwao halafu naona kama mwaka huu watan`gara kwelikweli manake siku hizi ndo wamekuwa maua ya JF
 
Back
Top Bottom