Kwanini Simu za Xiaomi hazipatikani kwa wingi Tanzania?

Wangekuwa ni duka liko Nairobi ni sawa ila hawa ni wauzaji wa online na stores zao zipo Nairobi ndio. Hawa wauza mahindi hawajui mambo haya unaweza mtuma Note 10 Pro akaleta Note 10 maana zinafanana muundo. Kuna hatari fulani
Ok sawa ila kama kuna mtu namanga book ufanye pay after delivery apo namanga ,ila mimi nimeshazoea maumivu ya kusubir mda mref pale mjini aliexpress so sina shaka
 
Band ni hardware bila shaka sio software kiongozi,unayajua mambo ya rom? Yananinyima usingiz sana
Nikikosa band ya laini ya Tigo peke sio mbaya as long as mambo mengine ni the same. Ya EU market si MIUI yake yenye madoido tofauti ambayo ni muhimu na hayapo kwenye ile ya Indian market
 
So nikikosa band 20 sitapatikana kabisa kwa laini ya Tigo nikiwa mjini kati au sitapata internet connection. Mambo mengine ni the same naona, nikichukua hiyo si napiga custom ROM ya EU nakuwa sawa na EU version
Ujue Tigo na Zantel ni mtandao mmoja siku hizi 4g ya Zantel ilikuwa 1800 na inapatikana katikati ya jiji na Tigo nchi nzima ni 800.

Ya India haina band 800 ina maana hutapata 4g ya nchi nzima ya tigo ila ukiwa mjini Unapata.

Na hii ni kwa 4G tu, 3G mitandao yote inashika.
 
BEI imesimama, Euro 800, ni zaidi ya milioni 2.
Nimeongea na jamaa wa avechi wanasema wanatuma. 48 hrs unakua umepata mzigo

But gharama ya usafiri ni ksh 2500 .. So kutoka 585,000 Tsh ya manunuzi itakwenda mpaka 640,000 Tsh ukiweka na usafiri.

Still a fair deal lakini pia kuna jamaa hapo juu kasema kuna wadau wanauza A52 mpaka kwa 680,000 Tsh

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio ngoja nikupe kabisa namba yake au njoo kwa xiaomi users tz kwa telegram utamkuta anajiita nai store
 
Hizi simu ni nzuri lakini cha kushangaza hazipatikani Tanzania kwa urahisi, tofauti na majirani zetu Kenya.

Tatizo ni nini? Maana kwa jinsi zilizvyo adimu ukizikuta kwenye maduka machache ya kibongo bei yake ni juu!!

Kwanini hizi simu hazipatikani kwa wingi Tanzania?
Mimi mwenyewe ninahitaji MI. Lakini upatikanaji wake sasa. Sijui tumekosa nini hapa tz. Hata OPPO, hazitapakai kama kina Samsung. Hapa nataka niagize moya kwa moya Uchina. Kuna kipindi niliona OPPO f15 inauzwa 900,000 kwa Benson, Arusha wakati ukiicheki kimataifa, ilipaswa hapa bongo icheze kwenye 600,000 hadi 700,000 hivi.
 
Nimeongea na jamaa wa avechi wanasema wanatuma. 48 hrs unakua umepata mzigo

But gharama ya usafiri ni ksh 2500 .. So kutoka 585,000 Tsh ya manunuzi itakwenda mpaka 640,000 Tsh ukiweka na usafiri.

Still a fair deal lakini pia kuna jamaa hapo juu kasema kuna wadau wanauza A52 mpaka kwa 680,000 Tsh

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Yah fair deal, na A52 Hakikisha ni model ya Kimataifa yenye warranty ya miaka 2.
 
Wale wanaohitaji xiaomi kwa order chap wanicheki. stock iliyopo Redmi Note 10 series :

Xiaomi - Euro/Global Specs
Note 10 pro 6/64 Bronze/Grey
Note 10 pro 6/128 Bronze/Grey/Blue
Note 10S 6/64 Blue/white
Note 10S 6/128 White/Grey
Note 10S 8/128 White/Grey/Blue

WhatsApp/Telegram 0759110633
1627582131990.jpg
 
Wale wanaohitaji xiaomi kwa order chap wanicheki. stock iliyopo Redmi Note 10 series :

*iaomi - Euro/Global Specs
Note 10 pro 6/64 Bronze/Grey
Note 10 pro 6/128 Bronze/Grey/Blue
Note 10S 6/64 Blue/white
Note 10S 6/128 White/Grey
Note 10S 8/128 White/Grey/Blue

WhatsApp/Telegram 0759110633 View attachment 1878169
Ingependeza uweke na bei, ili utushawishi za sisi wengine, asante
 
A52 ni zaidi ya laki 7.

Unahitaji simu ambayo ni international na iwe na global software. Kwa hizi note 10 hazisomi line ya Halotel 4g na tigo 4g mikoani na smile sababu haina band 7 na 20. Ndio maana napendekeza Kenya sababu automatic version yao ni international.

540,000 si mbaya kwa 6GB version, Kenya ni around 470,000 plus usafiri pengine na posho atakayekununulia itafika hio laki 5.

Cha muhimu Angalia hizo band Mkuu, Hakikisha unaenda na halotel 4g test dukani kabla hujaondoka.
mkuu ndani ya hayo maelezo kuna mada.
 
Back
Top Bottom