Kwanini simu za vijana wengi walio kwenye NDOA zina pasword?

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Nimegundua vijana wengi sana walio kwenye ndoa (wanaume) asilimia kubwa zimu zao zina pasword?
Kama huamini mchunguze rafiki yako hapo ulipo! Tatizo ni nini hasa?
 
Mimi ni mwanamke; siko kwenye ndoa na Simu yangu iko kwenye password!

My fone is like a small computer; so password ni njia ya kuprotect data/info zangu!
 
Ngoja waje,maana ndoa ni kizunguzungu ambacho waliomo wanabisha na walio nje wanakubali!
 
Mimi ni mwanamke; siko kwenye ndoa na Simu yangu iko kwenye password!

My fone is like a small computer; so password ni njia ya kuprotect data/info zangu!
Point ndo hii sasa,nyongeza ni kwamba its mobile phone so its private...
 
Nimegundua vijana wengi sana walio kwenye ndoa (wanaume) asilimia kubwa zimu zao zina pasword?
Kama huamini mchunguze rafiki yako hapo ulipo! Tatizo ni nini hasa?
Mkuu hii kwa huku nilipo sio kweli hata kidogo. You have been too general without strong evidence. Labda utuambie huo utafiti wako umecover wenye ndoa wa maeneo yapi.
 
Nimegundua vijana wengi sana walio kwenye ndoa (wanaume) asilimia kubwa zimu zao zina pasword?
Kama huamini mchunguze rafiki yako hapo ulipo! Tatizo ni nini hasa?

Mimi nipo katika ndoa na tunapendana sana na mke wangu lakini simu yangu ina password.

Sababu ni za kiusalama zaidi maana kunatabia ukiacha simu kuna watu wanajitia wanataka kuishangaa simu yako halafu wanacheki message zako jambo ambalo ni kuwapa faida watu wakujue tu bila sababu.

Halafu kutongoza kwa message mbona kulishapitwa? Nakupenda nakupigia simu na tunaongea. Kwa hiyo simu kuwa na password siyo dalili ya kuwa fisimaji bali ni kiusalama zaidi.
 
Sipo kwenye ndoa lakini kwa uzoefu wa kawaida kuweka password kwenye simu ni njia ya kuficha mambo!lazima kutakua na jambo ambalo hataki mkewe/mpenziwe ajue..binafsi hua sipendi watu wenye tabia za kuficha ficha mambo..
 
Mtu anayeweka cm passward ni muovu tu. Kuna mambo ya ajabu anaficha. Hata kama mtu hajaoa cm in passward, what are u hiding? What are secret in the 4n?
 
wadau waliocomment hapo juu kuwa wanaweka password kwa sbb za kiusalama. bas hzo password muwape pia wapenz wenu na wake zenu wazifahamu. inaweza ikatokea shda ukashndwa kutumia cm ikamlazimu mkeo/mpenzio kutumia cm yako mfn.umeumwa ghafla na cm yako ina pswd atakusaidiae?
 
Hilo ndiyo neno, security code aifahamu mke wako. Nakubaliana na wewe.
 
Mtoa mada swali lako nalifananisha na swali hili ;
Kwa nini nyumba nyingi zina milango?
Utajijibu kazi ya mlango upo ktk nyumba kwa option mbili,
ama kuufunga ama kuufungua !
Hata hivyo ipo milango isiyofungwaga mf. Mlango wa central police hutouona umefungwa hata siku 1 ! Iwe usiku wama8 ! Iwe sikukuu yeyote ile.
 
wadau waliocomment hapo juu kuwa wanaweka password kwa sbb za kiusalama. bas hzo password muwape pia wapenz wenu na wake zenu wazifahamu. inaweza ikatokea shda ukashndwa kutumia cm ikamlazimu mkeo/mpenzio kutumia cm yako mfn.umeumwa ghafla na cm yako ina pswd atakusaidiae?

Kwani lazima cm yangu si anayo ya kwake!! Alaaaaaaaa
 
Mimi nipo katika ndoa na tunapendana sana na mke wangu lakini simu yangu ina password.

Sababu ni za kiusalama zaidi maana kunatabia ukiacha simu kuna watu wanajitia wanataka kuishangaa simu yako halafu wanacheki message zako jambo ambalo ni kuwapa faida watu wakujue tu bila sababu.

Halafu kutongoza kwa message mbona kulishapitwa? Nakupenda nakupigia simu na tunaongea. Kwa hiyo simu kuwa na password siyo dalili ya kuwa fisimaji bali ni kiusalama zaidi.

Usalama eh??mkeo anajua hiyo password yako??
 
Sipo kwenye ndoa lakini kwa uzoefu wa kawaida kuweka password kwenye simu ni njia ya kuficha mambo!lazima kutakua na jambo ambalo hataki mkewe/mpenziwe ajue..binafsi hua sipendi watu wenye tabia za kuficha ficha mambo..

Well said purple..well said!
 
Back
Top Bottom