Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Hii ni hali ya kushangaza kwa shirikisho letu la mpira Tanzania, Timu za Simba na Azam hazikuwa na.michuano yoyote ya kimataifa wala kitaifa tofauti na ligi kuu ya vodacom lakini wanaviporo vya mechi wakati round ya 1 inaisha sasa Azam inacheza leo na Mtibwa huku Simba itakipiga na Ndanda Fc mkoani Mtwara, sasa naomba kujua nini kiliperekea mpaka timu hizi ziwe na michezo mkononi…????