brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Miaka ya nyuma kidogo kwenye sherehe na maadhimisho ya siku za muungano na siku ya uhuru 9 desemba tulikuwa tunaona viongozi mbalimbali wa Africa wakihudhuria
Viongozi kama uhuru kenyata kutoka Kenya
Robart Mugabe kutoka Zimbabwe
Paul Kagame kutoka Rwanda
Museven kutoka Uganda
Jacob Zuma kutoka South Africa
Na viongozi wengine mbalimbali wa Africa walikuwa wakihudhuria au hata kutuma angalau wawakilishi
Nini kimebadilika kiasi kwamba siku hizi tunaona viongozi wa kitaifa pekee?