Kwanini siku mtu anapokosa hela, njaa inauma haraka sana kuliko kawaida?

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_9171.JPG

Wadau amani iwe kwenu.
Kwa wanaume ambao tunafanya shughuli za hapa na pale za kujipatia kipato, tumezoea kuwa na hela muda wote mfukoni. Hata hivyo, inapotokea siku umekosa kabisa fedha mfukoni na hauna njia ya haraka ya kuipata, njaa itaanza kukuuma hata mida ya saa 1 asubuhi.
Cha ajabu ni kuwa, hata ukifanikiwa kunywa chai muda wa saa 4 asubuhi, walahi hautatoboa saa 6 kwani njaa kali itakukamata balaa. Halafu mbaya, muda wa kwenda kunywa chai ama chakula cha mchana ukikaribia, unakosa kabisa amani na kushindwa kufanya kazi vyema.
Cha kushangaza ni kuwa, siku hela ikikutembelea, unaweza usiwe umekula chochote kuanzia asubuhi hadi jioni lakini still hauta-feel njaa kabisa.

Wadau sijui kama hali hii inanipata mimi tu ama inatupata wote.
 
View attachment 892972

sio ww peke yako mm pia
 
Na usiombe siku hiyo ambayo hauna kitu mfukoni ukutane na totoz ambalo umelikomalia kitambo linaringa ringa lakini siku hiyo linataka ukalinunulie tu chakula. Dah!!
Hapo ndipo Wasukuma wanakwambiaga "Bhalya abha mino." yaani wanakula wenye meno.
 
Mimi ninapokosa Hela / Pesa ndiyo nakuwa na ' Nyege ' sana halafu kila ' nikitongoza ' sikataliwi ila huwa nakosa ' Mtonyo ' wa Kulipia Gesti / Loji nabaki Kusikitika na Kununa tu.
 
Kwanini mlevi/mnywaji ama mvutaji akipata hela koo linawasha washa,kupata kiu na kukauka kwa mate?
 
Hela ni sabuni ya roho.
Ukiwa hauna hela.utatembea kwenye jua.
Ila unahisi kivuli kimekufunika.
 
Mimi ninapokosa Hela / Pesa ndiyo nakuwa na ' Nyege ' sana halafu kila ' nikitongoza ' sikataliwi ila huwa nakosa ' Mtonyo ' wa Kulipia Gesti / Loji nabaki Kusikitika na Kununa tu.
Kama ina ukweli fulani hivi?
Hata hivyo, GENTAMYCINE nadhani unamaanisha unapokuwa huna hela wale mademu uliokuwa unawapenda unaona kama wanajisogeza karibu yako.
Kumbuka kama wote ni watumishi serikalini, ni wazi kuanzia tarehe 15 kuitafuta tarehe ya mshahara huwa ni ngumu sana coz mnakuwa mmeishiwa hela. So, kwa mademu ofisini ni rahisi kukupenda coz hawana kitu.
Vivyo hivyo wakati wa boom kwa wanachuo, mademu huwa wagumu sana lakini baada ya mwezi tu kupita huanza kulgea wenyewe na ndio boom likichelewa, weee!! Nakumbuka nikiwa UD, nilipendelea sana kuishi Mabibo Hostel. Kipindi boom limeisha, mabinti zetu walikuwa wananyakuliwa sana na wenye nazo na hasa mitaani tena kwa hela kidogo sana.
 
Na usiombe siku hiyo ambayo hauna kitu mfukoni ukutane na totoz ambalo umelikomalia kitambo linaringa ringa lakini siku hiyo linataka ukalinunulie tu chakula. Dah!!
Hapo ndipo Wasukuma wanakwambiaga "Bhalya abha mino." yaani wanakula wenye meno.
😀😀😀 hii kitu nadhani wengi imetukuta Sana.
Ukisikia watu wanaiba ndio hapa.
 
Wataalamu wanasema kuwa...mwanadamu anapokuwa katika hali ya wasi wasi na msongo wa mawazo cell metabolism inakuwa high sana.......

Kukosa fedha mfukoni ni changamoto kwa kuwa ni nyenzo kuu ya kukupatia mahitaji hasa kwa watu wa mijini!!....so kutokuwa na uhakika wa kupata mahitaji yako kwa wakati kunaleta hali ya wasi wasi mwili mwako!!...hasa kama ikiwa hukuzoea hali hiyo.....hivyo hupelekea kuwa na njaa kila wakati......

Don’t worry,take it easy!!.....
 
View attachment 892972

Wadau amani iwe kwenu.
Kwa wanaume ambao tunafanya shughuli za hapa na pale za kujipatia kipato, tumezoea kuwa na hela muda wote mfukoni. Hata hivyo, inapotokea siku umekosa kabisa fedha mfukoni na hauna njia ya haraka ya kuipata, njaa itaanza kukuuma hata mida ya saa 1 asubuhi.
Cha ajabu ni kuwa, hata ukifanikiwa kunywa chai muda wa saa 4 asubuhi, walahi hautatoboa saa 6 kwani njaa kali itakukamata balaa. Halafu mbaya, muda wa kwenda kunywa chai ama chakula cha mchana ukikaribia, unakosa kabisa amani na kushindwa kufanya kazi vyema.
Cha kushangaza ni kuwa, siku hela ikikutembelea, unaweza usiwe umekula chochote kuanzia asubuhi hadi jioni lakini still hauta-feel njaa kabisa.

Wadau sijui kama hali hii inanipata mimi tu ama inatupata wote.
Na siku ukiwa na hela, njaa hata haiumi
 
Njaa ni psychological harm..!

Hapo kuna muunganiko wa stress, mipango migumu/deal ya jinsi utapata pesa haraka na njaa inaunga humu sasa hapo issues.
 
Back
Top Bottom