Kwanini siku mtu anapokosa hela, njaa inauma haraka sana kuliko kawaida?

Mimi ninapokosa Hela / Pesa ndiyo nakuwa na ' Nyege ' sana halafu kila ' nikitongoza ' sikataliwi ila huwa nakosa ' Mtonyo ' wa Kulipia Gesti / Loji nabaki Kusikitika na Kununa tu.
Sasa Mbona wadada wa JF huwatongozi Mkuu?
Acha kuwabania wakati hela Unazo na U handsome pia!
 
Boy reffer to pavlov theory siyo njaa tu kuna kitu kinaitwa desire of what you could have but at moment you don't have it

1. Wanaoharisha anaweza kutembea vema barabarani akielekea chooni, lakin mbaya zaid akute mtu chooni anaweza jichafua huku kavumilia kwa dakika kama 10 kufuata choo kilipo, Ila kucheleweshwa ameshafika pale hata kwa dakika moja ni hatari,

2. Chakula, mtu unaweza vumilia masaa manne bila kula lakin ukifika mezani wakasema tunamsubiri fulani afike unahisi mucus zinapanda sana kama umecheleweshwa

3. Vile vile usipokuwa na hela psychology inakutuma kuwaza kwamba muda huu ningekuwa na kula hiki au kile, hapo una release homone muhimu za ku digest chakula , japo chakula inakuwa hakipo maana yanakuwa mate tu yanayokuwa released kwenda tumboni na hapo hapo enzymes zinareceive na kudigest hewa kama chakula hata ka chakula kidogo kinachokuwapo tumboni ndo kinakuwa digested chote na njaa kukukabili
 
Kawimbo kanasema " maradhi yote ugua ila usiombe kuchacha " kwa hiyo kuchacha ni zaidi ya kuugua . Jumlisha na kutoa utapata jibu
 
Na usiombe siku hiyo ambayo hauna kitu mfukoni ukutane na totoz ambalo umelikomalia kitambo linaringa ringa lakini siku hiyo linataka ukalinunulie tu chakula. Dah!!
Hapo ndipo Wasukuma wanakwambiaga "Bhalya abha mino." yaani wanakula wenye meno.
Ngosha hiiiiiiii en'gwashi
 
Dah awamu hii tutaona kila rangi unajua nini jiwe na huyo dr mpango wake wametuharibia uchumi kitaa kila sehemu hapa shikiki
 
Kwasababu unatumia akili kufikiri kupita kiasi
View attachment 892972

Wadau amani iwe kwenu.
Kwa wanaume ambao tunafanya shughuli za hapa na pale za kujipatia kipato, tumezoea kuwa na hela muda wote mfukoni. Hata hivyo, inapotokea siku umekosa kabisa fedha mfukoni na hauna njia ya haraka ya kuipata, njaa itaanza kukuuma hata mida ya saa 1 asubuhi.
Cha ajabu ni kuwa, hata ukifanikiwa kunywa chai muda wa saa 4 asubuhi, walahi hautatoboa saa 6 kwani njaa kali itakukamata balaa. Halafu mbaya, muda wa kwenda kunywa chai ama chakula cha mchana ukikaribia, unakosa kabisa amani na kushindwa kufanya kazi vyema.
Cha kushangaza ni kuwa, siku hela ikikutembelea, unaweza usiwe umekula chochote kuanzia asubuhi hadi jioni lakini still hauta-feel njaa kabisa.

Wadau sijui kama hali hii inanipata mimi tu ama inatupata wote.
 
Boy reffer to pavlov theory siyo njaa tu kuna kitu kinaitwa desire of what you could have but at moment you don't have it

1. Wanaoharisha anaweza kutembea vema barabarani akielekea chooni, lakin mbaya zaid akute mtu chooni anaweza jichafua huku kavumilia kwa dakika kama 10 kufuata choo kilipo, Ila kucheleweshwa ameshafika pale hata kwa dakika moja ni hatari,

2. Chakula, mtu unaweza vumilia masaa manne bila kula lakin ukifika mezani wakasema tunamsubiri fulani afike unahisi mucus zinapanda sana kama umecheleweshwa

3. Vile vile usipokuwa na hela psychology inakutuma kuwaza kwamba muda huu ningekuwa na kula hiki au kile, hapo una release homone muhimu za ku digest chakula , japo chakula inakuwa hakipo maana yanakuwa mate tu yanayokuwa released kwenda tumboni na hapo hapo enzymes zinareceive na kudigest hewa kama chakula hata ka chakula kidogo kinachokuwapo tumboni ndo kinakuwa digested chote na njaa kukukabili
Dah!! Nimekukubali mzee. Ufafanuzi wako murua, umetusuuza vya kutosha sana.
 
Hii ya kweli mkuu. Unapokosa money hakika njaa inauma balaa. Tunapopata pesa tusitumie kwa pupa tukumbuke na kesho pia
 
Ahahahhah..!! ni kweli 100% kwa sisi tunao hustle kuna kipindi kama hicho unakutana nacho huna hata mia..daadeki...!! ukiwa na hela unaweza kula hata mlo mmoja na ukawa fresh tu kosa hela hapo ndipo utaipata fresh..hahaha
 
Hii ni tofauti na kwangu,SNA pesa afu nihic njaa ovyoovyo tu huwa najihis mjinga..ila nkiwanazo alfajr tu tumbo linadai supu
 
Vile vile unapokuwa huna hela ndo vitu vya matumizi vya nyumbani huisha kwa pamoja au vitu/vifaa vya nyumbani hu haribika kwa mkupuo.
 
Sasa Mbona wadada wa JF huwatongozi Mkuu?
Acha kuwabania wakati hela Unazo na U handsome pia!

Aliyekuambia kuwa GENTAMYCINE nina Hela ( Tajiri ) halafu ni ' Handsome ' nadhani atakuwa amekudanganya Kimataifa Mkuu ila vice versa ndiyo ukweli wenyewe tena wa 100%.
 
Aliyekuambia kuwa GENTAMYCINE nina Hela ( Tajiri ) halafu ni ' Handsome ' nadhani atakuwa amekudanganya Kimataifa Mkuu ila vice versa ndiyo ukweli wenyewe tena wa 100%.
Nimeshajua Kitu gani unaogopa....ndo maana hutaki kuitwa tajiri....hahahaha
Natania tuu Mkuu!
 
Back
Top Bottom