Kwanini siku hizi watu wengi wanaoa bi harusi akiwa mjamzito?

Mpwa mbona leo topic nyingi sana kwema? huko sasa huko Mpwa mbali bhana, wewe umejuaje kuwa wanaoa wakiwa wajawazito? haha Mpwa acha uchokozi huwa tunaangalia kama shamba lina mazao wakati huo huo shamba nalo likiangalia kama mbegu zina uwezo wa kuoteshwa.....
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
 
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu

Ni ili kuhalalisha, atakapozaliwa mtoto asije akaitwa Mtoto Haramu.........., si unajua hizi Dini zetu za mapokeo na misamiati yao...
Eti kuna mtoto Haramu na Mtoto halali
 
hali inakuwaje kakizaliwa katotot kachotara ka KIHINDI?
Si mnajua tena sekta ya ajira ilivyo kamatwa na wadosi
 
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu

Kuhakikisha kuwa hujauziwa mbuzi kweney gunia badala ya mbuzi ukakutana na mbwa
Maana matatizo ni mengi sana siku hizi tena pande zote mbili
Yaani ukihakikisha wewe mwanaume uko fit na mwanamke yuko fit hapo sasa naweza tangaza ndoa
 
Kuhakikisha kuwa hujauziwa mbuzi kweney gunia badala ya mbuzi ukakutana na mbwa <br />
Maana matatizo ni mengi sana siku hizi tena pande zote mbili <br />
Yaani ukihakikisha wewe mwanaume uko fit na mwanamke yuko fit hapo sasa naweza tangaza ndoa
Mr. Rocky, kwani utra sound inasoma vinasaba au jinsia?
 
Mmmh ulilifanyia research hili suala lako? what was your research title? hahaaaaa, umenikumbusha enzi hizo Prof alikua anatueleza jinsi jamaa alivyokuwa anafanya research jinsi akina dada powa wanavyobargain bei na wateja wao....sasa na wewe tueleze umejuaje? haya jioni njema nahamia kwene simu sasa baada ya kumaliza kitimoto yangu hapa
 
Sasa mkuu ulitaka majaribio tuyafanyie kwenye honeymoon! mambo siku hizi ni mapema kuangalia kama kila mmoja anammudu mwenzake
 
Testing, testing. One, two, three....
Jamani mnanisikia huko nyuma oneeee, twooo

Najaribisha ka hii maki inafanya kazi....
 
Testing, testing. One, two, three....
Jamani mnanisikia huko nyuma oneeee, twooo

Najaribisha ka hii maki inafanya kazi....

mhhhhhhhhhhh!...ndio maana hakuna mambo ya kusubiri pingu za maisha halaf ndio muanze ku_ do the needfull,....testing ndio mpango mzima bana,...naunga mkono hoja kwa 100%
 
Kuhakikisha kuwa hujauziwa mbuzi kweney gunia badala ya mbuzi ukakutana na mbwa
Maana matatizo ni mengi sana siku hizi tena pande zote mbili
Yaani ukihakikisha wewe mwanaume uko fit na mwanamke yuko fit hapo sasa naweza tangaza ndoa
Kwa mwanamke anaweza kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa yuko fit, lakini kwa mwanaume inaweza kuwa majaliwa au bahati na sibu tu, maana anaweza kuwa amepewa msaada na Bujibuji au mwanaume mwingine yeyote.
 
wengi wanaanza ngono zembe mapema .. na wengine hubeba mimba kuharakisha ndoa
 
Mr. Rocky, kwani utra sound inasoma vinasaba au jinsia?

Mkuu hapo ni akili kumkichwa
Unakubaliana na maelezo kuwa hii mimba ni yako hayo mengine ya kuja kuproove kuwa ni yako au siyo yako ni huko mtoto atakapozaliwa
 
hahaha,this is true.
Ila ndoa hizi sijui zinafikia wapi maana wanakua
wameoana kwasababu wamepeana mimba.
Sidhani kama wanakua wameamua kweli kuishi pamoja.
 
Kwa mwanamke anaweza kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa yuko fit, lakini kwa mwanaume inaweza kuwa majaliwa au bahati na sibu tu, maana anaweza kuwa amepewa msaada na Bujibuji au mwanaume mwingine yeyote.

Yote ni majibu inawezekana maana uhakika ni mpaka kiumbe azaliwe

Mkuu wanaume nao siku hizi tuna wasi wasi maana unaweza ukawa uko fiti ila vile vijitu vile vikawa havina nguvu ya kuogelea kulifikia yai hapo unakuwa soo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom