Kwanini siku hizi watu wengi wanaoa bi harusi akiwa mjamzito?

Mi naona vijana wengi sana wana vunja mifupa ingali meno iko.
Siku hizi matatizo ya nguvu za kiume yameongezeka sana thats why vijana wana chapa mabinti mapema maana wanajua kabisa wakifikia miaka arobaini mtarimbo unakuwa mzito sana hadi unyanyuliwe na winch
 
Kila mtu anajua kwanini afanye hivyo,ki msingi ni imani potof kuwa anaweza akawa hazai,kwa hiyo anatest kabla hajajitia kitanzi.
 
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu
<br />
<br />
Yaweza kuwa moja ya xifuatazo
1: obligation (kampa mimba n it is a right thing to do)
2: kuwa na uhakika kama yuko fertile
 
Nimejiuliza sijapata jibu, naomba msaada wako mwana JF mwenzangu

Kwa sababu wanapewa shinikizo la kuoa kabla hata ya mtoto kuzaliwa kutoka kwa wazazi wa bi harusi na bi harusi mwenyewe kwani ukute walikuwa wanakula 'tizi' la malavidavi tu bila kuwa na elimu kamili ya uzazi!!
 
Mwaka huu nimehudhuria harusi 5,harusi 3 kati ya hizo mabibi-harusi walikuwa wana ujauzito tena wa kuanzia miezi 6
 
Back
Top Bottom