Kwanini siku hizi siri za serikali zinavuja kwa kasi sana mtaani ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Watumishi wengi wa umma siyo waaminifu , hawatunzi siri za vikao vyao vya kiserikali kama zamani... Mtaani watu wasio wafanyakazi wa serikali wanapata sana "updates" za kila kinachojadiliwa , kuzungumzwa au kutendeka huko kwenye maofisi ya serikali..

Unakuta mtu kijiweni kabisa anakupa profile nzima ya ofisi fulani nyeti ya serikali... Michakato ya hela , ugawaji wa kazi , dili zote za ofisi anakwambia wakati yeye hajawahi kufanya kazi hiyo ofs kabisa...

Mfano unakuta mtu anakitajia mpk mishahara ya maafisa wa serikali ofisi fulani... Hata ukikopa benki mtaani watu wa kawaida kabisa wamejua..


Shida ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri kuu za Dola zimesalia siri, vinavyo vuja ni vile vya level ya kati

Mchakato wa kupima covid kwny mapapai pengine hata Samia na Majaliwa hawakujulishwa kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom