Kwanini siku hizi mji wa Moshi ni mchafu sana?

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Tanzania mzima mji wa moshi mkoani kilimanjaro ulikuwa unaongoza kwa usafi Tanzania mzima ukifuatiliwa na iringa. ulikua ukifika kiboriloni tuu unakutana na tangazo ni marufuku kutupa takataka hata vocha ilikua hata ukitema mate chini, unakamatwa, kukojoa usiseme, ila kwa sasa mji umekua mchafu sana yaani takataka za kutosha pia mvua zinazoendelea mkoani kilimanjaro mifereji imejaa maji, mitaro, nk chamber zimeziba imelazimu maji kupita juu ya barabara ya lami maeneo ya kcmc, shanti town, pasua, njoro ndiyo balaa tatizo ni nn hasa kwa moshi ya sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom