The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,895
- 19,069
Wakuu nadhani mnakumbuka Mheshimiwa Rais alikua akitutangazia yeye mwenyewe makusanyo au asilimia ya makusanyo ya kodi kila mwezi kwa miezi miwili au mitatu ya mwanzo ya utawala wake.
Naomba kujua kwa nini siku hizi rais hafanyi hivyo badala yake wanafanya watu wa TRA.
Naomba kujua kwa nini siku hizi rais hafanyi hivyo badala yake wanafanya watu wa TRA.