Kwa hiyo mabinti zaidi ya Milioni hapa Dar wanabikiriwa na baba zao?Jua tu ni wengi mno mkuu.. videmu vingi siku hizi vinabikiriwa na baba zao yan
Wazungu huwa hawana mahusiano ya kingono na watoto wao. Wazungu wanajiheshimu kuliko waafrica wenye tabia chafu na kukosa utuSijaliona hilo lakini sababu kubwa ni Utamaduni wa kizungu. Uzungu mwingi.
Wewe una kisa chochote Cha ukweli ambacho kimetokea bongo ?Alichokosea mtoa mada nikutumia neno "SHAMIRI" wakati shamiri ni kitu chenye kutokea kwa kuongezeka kila muda unavosonga, kukua kwa haraka. hii tabia ipo lakini bado haijashamiri ipo kwenye familia za uzungu uzungu wanaiga. LIKUD
Unaweza ukakuta wewe pia ni miongoni mwa wababa wanao tembea na binti zao. I trust my intuition.Kwa hiyo mabinti zaidi ya Milioni hapa Dar wanabikiriwa na baba zao?
Kama hauna fact usiandike mada jamii forum.
Kipo lakini siwezi kueleza hapa.Wewe una kisa chochote Cha ukweli ambacho kimetokea bongo ?
Huwezi kueleza kwa sababu hakipo. Hizo ni story za kwenye moviekipo lakini siwezi kueleza hapa.
Acha uongo mkuu nyie mnao jifanya kusema hamjawahi ndio mnakuwaga wahusika wakuuMimi sijawahi kushuhudia wala kusikia...
Hebu tupe mfano dhahiri
Ukifikiria kama binti anaweza kusex na babaake basi fikiria kama wewe unaweza kusex na mamaako then jiulize inawezekana?. Msilete story za kufikirika mradi kufurahisha njozi zenu kwa wengine. Jirikirie wewe unaweza kusex na mamaako kwanza?Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe.
Tatizo Ni Nini wakuu? Ni tamaa za kingono au Kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
Kiingeleza ni kitu gani? Swali rahisi kwako wewe, kama kuandika kiswahili unashindwa, Je? kuongea kiswahili.Kuna mtu amekuambia kuandika Kiingeleza ndiyo kujibu swali.
Dar kuna watu zaidi ya milioni sita, asilimia 30 ya milioni sita ni 1.8, Unataka kusema wababa milioni moja na laki nane Dar wanafanya mapenzi na mabinti zao?
Au unaongea ongea tu.
Udhaifu wa wazungu uko hapo kutembea kufanya conjugal relation na ndg zao labda kama hujawahi kukaa nao.Wazungu huwa hawana mahusiano ya kingono na watoto wao. Wazungu wanajiheshimu kuliko waafrica wenye tabia chafu na kukosa utu
wewe umeelewa mada, wengine ni bendera fuataMtoto ukiniruhusu tu akuite Daddy matatizo yanaanzia hapo Yani, kwasababu neno, "baba" linabba dhana nzima ya heshima. Naam heshima kubwa ambayo mtoto hawezi kengeuka kwa namna moja ama nyingine.
Neno, "Baba" linaibeba heshima ya Mwafrika halisi ikiwa pamoja na mavazi, lugha na tabia kiujumla. Mtoto anakuwa na staha akitamka Baba kwanza anakuwa na Hofu,ujingaujinga hakuna tena Sasa huu uzungu wa daddy sijui Nini ndo kulana huko heshima Hakuna hata kidogo.
Wazungu huwa hawana mahusiano ya kingono na watoto wao. Wazungu wanajiheshimu kuliko waafrica wenye tabia chafu na kukosa utu
Wapi huko?
Huku kwetu ni mwendo wa wamama na bodaboda tu