Kwanini siku hizi CHADEMA hawaleti yanayojiri kwenye kurasa za Barrick/Acacia?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Igwe wana JF!

Kwa wale wenyeji wa jukwaa hili watakubaliana na mimi kwamba katika kipindi cha takribani miezi mitatu iliyopita kulikuwa na mfululizo wa machapisho yaliyoaminika kutoka katika wavuti za Acacia zikiwa na muelekeo wa kupinga malipo na kwahakika zilipata wachangiaji wengi amabao kimsingi walizifurahia huku wakipongezana.

Ni jammbo gani limewakumba manguli hawa wa ramli na fikra potofu hadi wamesusa kutembelea kurasa za Acacia ama Barrick ili kutujuza zile kauli maarufu ''Acacia is considering different options....''. Nini kimewaudhi?

Karibuni
 
Ungetuacha Mkuu hili la barrick na serikali tumeshapoteza uelekeo tunaangalia habari gani nyingine tupate kiki sio kila tunachopinga lzm tufanikiwe mengine tukichemka tunaacha kama ilivyokuwa vita ya ufisadi baada ya fisadi Mkuu kuhamia kwetu tumeachana nayo,na hiyo ya barrick tumeacha tutapata tu nyingine Mkuu c unajua sisi ni wapinga maendeleo ya kila kitu nchini
 
Muwakilishi wa acacia anatamani hata aruke kitandani huko Nairobi aje afungue domo..Mungu kaamua kumuacha ili ashuhudie Tanzania Mpya chini ya jpm
 
Ungetuacha Mkuu hili la barrick na serikali tumeshapoteza uelekeo tunaangalia habari gani nyingine tupate kiki sio kila tunachopinga lzm tufanikiwe mengine tukichemka tunaacha kama ilivyokuwa vita ya ufisadi baada ya fisadi Mkuu kuhamia kwetu tumeachana nayo,na hiyo ya barrick tumeacha tutapata tu nyingine Mkuu c unajua sisi ni wapinga maendeleo ya kila kitu nchini
 
Ungetuacha Mkuu hili la barrick na serikali tumeshapoteza uelekeo tunaangalia habari gani nyingine tupate kiki sio kila tunachopinga lzm tufanikiwe mengine tukichemka tunaacha kama ilivyokuwa vita ya ufisadi baada ya fisadi Mkuu kuhamia kwetu tumeachana nayo,na hiyo ya barrick tumeacha tutapata tu nyingine Mkuu c unajua sisi ni wapinga maendeleo ya kila kitu nchini
Kuna ukweli hapa, hongera kwa uwazi
 
Maendeleo gani yanayopingwa??? Hivi Tanzania ni nchi iliyoendelea? Muwe mnafikiri kwa upana ,kwa rasilimali na idadi ya watu tuliyonayo sisi ni wa kuchekwa. Ukiwa kama mzazi mwanao ana uwezo wa kupata asilimia zaidi ya tisini kwenye mitihani lakini kila siku anapata 12 ,13, 7 tano ukimkumbusha unaambiwa unapinga kila kitu!Mnatawaliwa na maadui watatu mpaka leo ujinga umaskini na maradhi!
 
Update???
Ya nini wakati mambo ni kama hivi?
1d4a67e5112cf78a0ef208342eece540.jpg
 
Tumeshuka from Noah to Balimi & Migebuka wa tatu tu.Na mission failed sababu wahusika ni wale wale MAJANGILI wa RASLIMALI za Umma
 
Wahuni namba moja wa serikali hii ni CHADEMA
yani hawa jamaa unaweza kuwachukulia kama wahasi wa nchi, hawatetei watanzania tena, na bado kuna wajingawajinga wanainchi wanaowassaport, Tanzania inashida sana asee yaani watu wamekaa kitumwatumwa tu. Hawawezi kureason wenyewe wanasubiria kusaidiwa kufikiri
 
Tumeshuka from Noah to Balimi & Migebuka wa tatu tu.Na mission failed sababu wahusika ni wale wale MAJANGILI wa RASLIMALI za Umma
Jielekeze kwenye hoja, mmejikuta aibu tupu. Nguvu za shetani zimeshindwa na Tanzania imesimama tena. Kudos JPM!
 
Back
Top Bottom