Kwanini signature za tusio na ukwasi zinakuwa hivi?

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,410
36,559
FB_IMG_1545690464064.jpg
 
mnakua na muda wa kuremba walati mwenzako muda huo anatumia kuhesabu miamala
 
ila wapo pia wenye ukwasi na sahihi zao ndeeeefu hii unajua ni ya nani?
images (3).jpeg
 
Na hii hapa chini Ni signature ya Franklin Delano Roosevelt. Rais wa 32 wa USA. Kwa hiyo naye alikuwa kapuku? Acheni kukariri bhana. Pesa ni pesa haiangalii signature
IMG_20181228_191311_505.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom