Kwanini shirika la ujasusi la Marekani CIA halikugundua shambulio la Septemba 11 lililolenga majengo 2 ya New York

Mashambulizi ya Septemba 11 yameonekana kama kufeli kwa CIA

source:https://www.bbc.com/swahili/habari-49671605
inside Job hiyo mzee ilipangwa na CIA pamoja na Mossad then ikatekelezwa na Mossad wakishirikiana na Saudi Arabia Kwa lengo la kufanya kitu wanaitwa "FALSE FLAG OPERATION" yaani operation ya kujitakia ili kupata uhalali wa kufanya oparation nyingine kubwa na yenye manufaa kwa taifa,nchi nyingi sana duniani zinafanya hivyo Marekani walisharuhusu japani iwashambulie kwenye Ghuba ya "Pear Harbour " ili wapate sababu ya kuingia vitani kusudi waingie kwenye vita ya pili ya dunia kumsaidia muingereza ,Urusi imeshawahi ruhusu waasi wa chechnia kuteka lile jumba la sinema ili waivamie chechnia na kuichukua kiujumla hadi leo,ujerumani,ufaransa,uingereza na wengine weengi wanafanya hivyo
September 11 iliundwa itokee lengo lilikuwa kuipiga IRAQ,IRAN,SYRIA then LIBYA na hiyo AFGHANISTANI ilikuwa kwaajili ya kucontrol biashara ya Opium (Heroine) tu na hio yoote ni kuhakikisha marekani na washirika wake wana control nchi zoote zenye uzalishaji wa mafuta duniani pale middle east na Latin America ili waweze kucontrol uchumi wa mataifa yanayokuwa kiuchumi na kuwa tishio kwake (Urussi,China,India na Pakistan),kumbuka ukuaji wa uchumi unashawishiwa sana na energy sector (biashara ya Mafuta ghafi)
Baada ya September 11 Ilipigwa IRAQ akawekwa kibaraka wao,Ikapigwa Afghanistani kawekwa kibaraka wao then alivyoingia Obama akatekeleza Masalio yaliyobakia Ambayo ni LIBYA,akaacha choko choko SYRIA,VENEZUELA na IRAN ,baada ya kuona Hivyo Urussi na China wameingilia kati ndiomaana wameweka kambi zao Venezuela,Iran na Syria ndiomaana unaona Trump anakomaa kumpiga Syria IRAN na Venezuela mpango ni ule ule wa enzi na enzi
Advantage ya sept 11 itawapa favour wamarekani na washirika wake hasa israel kwa miaka takribani 50 mbele Fuatilia haya mambo hata google kitu inaitwa " THE GREATER ISRAEL PLAN" na tafuta kitabu cha mtu anaitwa "Zbigniew Brzezinski" kinaitwa "THE GRAND CHESS BOARD" hizi plan zoote zipo humo maraisi wa marekani/israel wanafuata tu mipango ya utekelezaji TU!
Kwa akili ya kawaida we unadhani waarabu 15 wenye visu vya kukatia mabox waliweza kuteka kweli zile ndege zoote kwa siku moja halafu wakatekeleza yale mashambulizi? bila vyoombo vyoote vya marekani kujua?? is it coming coming??
 
Walikuwa mazuzu...maana liuz lako lireeefu
Mashambulizi ya Septemba 11 yameonekana kama kufeli kwa CIA

Kufeli kwa shirika la ujasusi nchini Marekani CIA kugundua ishara na onyo la shambulio la Septemba 11 2001 , limekuwa mojawapo ya maswala tata katika historia ya huduma hiyo ya ujasusi.
Kumekuwa na tume, hakiki, uchunguzi wa ndani na zaidi. Upande mmoja kuna wale wanaosema kwamba CIA hawakuziona ishara za mapema.
Kwengine kuna wale wanaosema kwamba ni vigumu sana kugundua vitisho mapema na kwamba kitengo hicho cha ujasusi nchini Marekani kilitumia kila njia.

Je ni nini kitakachotokea iwapo pande zote mbili zina makosa?
Je inakuwaje iwapo sababu ya CIA kufeli kugundua shambulio hilo ipo wazi zaidi ya watu wanavyodhania?
Na itakuwaje iwapo nitakuambia kwamba shida hii imesambaa zaidi ya huduma za Ujasusi na inaathiri maelfu ya mashirika, serikali na makundi hii leo?

Huku uchunguzi mwingi ukiangazia kile ambacho shirika hilo lilifanya ama kushindwa kufanyia habari ilizokuwa nazo kabla ya shambulio la 9/11, watu wachache walirudi nyuma na kuchunguza jinsi shirika hilo lilivyoundwa na hususan sera yake ya kuajiri.

Na kwa mtazamo wa jadi, hawakuweza kuhimili: Wachambuzi walikabiliwa na majaribio ya kisaikolojia, ya matibabu na ya kila aina. Na bila shaka waliajiri wataalam.
"Mitihani mikuu miwili ilikuwa ile inayolinganishwa na mtu anapojiunga na chuo kikuu ambayo inabaini intelijensia ya anayeomba kazi mbali na wasifu wa kisaikolojia kuchunguza hali yake ya kiakili," anafafanua mfanya kazi wa zamani wa CIA

"Vipimo hivyo viliwaondoa watu ambao hawakuwa bora katika kesi zote mbili.
Katika mwaka niliowasilisha maombi yangu, nilikubali muomba kazi kwa kila waombaji 20,000. Wakati CIA ilisema iliajiri watu bora, ilikuwa nyongeza sawa.

Na wengi ya walioteuliwa pia walikuwa wakifanana: Wanaume, weupe, Wamarekani, watu wa dini ya Protestant.
Hili ni swala la kawaida katika kuajiri watu. Watu huajiri watu wanaojiona kuwa wenyewe.
Wakati wa Shambulio hilo wachanganuzi wenginwa CIA walikuwa na fikra sawa

Katika utafiti wao wa CIA, mtaalam wa Kiintelijensia Milo Jones na Phillipe Silberzahn waliandika: Sifa ya utambulisho wa kitengo cha CIA na utamaduni kuanzia 1947 hadi 2001 ni mchanganyiko wake wa wafanyakazi wake kutokana na rangi, jinsia, kabila na tabaka kihistoria.

Na utafiti uliofanywa na inspekta jenerali kuhusu kuajiri ulibaini kwamba 1964 , tawi la CIA , na idara za takwimu za kitaifa haikuwa na wataalama weusi , Wayahudi , wanawake na kwamba ilikuwa na wafuasi wachache wa kanisa la Katoliki.

Kufikia mwaka 1967 , kujlingana na ripoti , kulikuwa na wafanyakazi 20 wenye asili ya Wamarekani weusi kati ya wafanyakazi 20,000 huku idara hiyo ikiendelea na utamaduni wake wa kutowaajiri watu wa kundi la walio wachache kutoka 1960 hadi 1980.

Na hadi 1975, jamii ya kiintelijnsia ya Marekani , waziwazi ilipinga kuajiriwa kwa wapenzi wa jinsia moja.
Akizungumza kuhusu uzoefu wake na shirika la CIA 1980, mtu aliyekuwa na habari za ndani aliandika kwamba mchakato wa kuajiri ulisababisha kuonekana kwamba wale walioajiriwa wanafana na wale waliokuwa tayari washaajiriwa wakiwemo watu weupe, watu wa tabaka la katikati , matajiri , wale wanotoka katika vyuo vikuu.
Ulikuwa na wanawake wachache , makabila machache kutoka Ulaya. Mchanganyiko huo ulipungua zaidi baada ya vita vya dunia.

Makao makuu ya CIA langley Virginia

Afisa mmoja alinukuliwa akisema CIA ina maafisa wanaofana kama mchele. Na miezi kadhaa kabla ya shambulio la Septemba 11, jarida la kimataifa kuhusu Intelijensia liliandika: Tangu kuanzishwa kwake, jamii ya Ujasusi ilishirikisha watu weupe sio kwamba ndio lililokuwa tabaka katika uongozi bali kwa sababu walionekana kama wadhamini na walinzi wa maadili na thamani ya Wamarekani.

Lakini ni kwa nini swala hili la ajira katika kitengo hicho ni tatizo? Unapounda kikosi cha wanariadha cha mbio za kupokezana vijiti, unatazama wanariadha wenye kasi.
Kwa nini ni muhimu iwapo wana rangi ya kufanana, jinsia ama hata tabaka? Kwa sababu wakati kuna tatizo kuu hakuna mtu aliye na majibu yote, kila mtu ana dosari yake.

Na iwapo mtu ataajiri kundi la watu wanaotoka katika eneo moja kuna uwezekano mkubwa kwamba watatoa suluhu inayofanana wakati wa tatizo.

Osama Bin Laden alitangaza vita dhidi ya Marekani kutoka katika pango moja eneo la Tora Bora mnamo mwezi Februari 1996.
Picha zilimuonyesha mtu aliyekuwa na ndevu zilizokuwa zimefika chini ya kifua chake.
Alikuwa amevalia Joho ndani ya sare ya kijeshi aliyovaa. Hii leo, baada ya kujua kila kitu kilichofanyika tamko lake linaonekana kuwa la kutisha.

Lakini chanzo kutoka kwa Idara ya ujasusi ya Marekani CIA kilisema kwamba hakiamini kwamba mtu huyo alie na ndevu anaweza kuwa tishio la Marekani.
Osama bin Laden alitangaza vita dhidi ya Marekani kutoka katika pango nchini Afghanistan mnamo mwezi Okotba 1998

Upande mwengine ni kwamba hakuna uchanganuzi wowote aliodhani kwamba Bin laden anaweza kuwa tishio.
Mwengine alisema: Hawakuweza kufadhili uchunguzi wowote ili kujua zaidi kuhusu Bin Laden na Al Qaeda kwa kuwa mtu huyo alikuwa akiishi pangoni.

Kwao alikuwa mtu ambaye alipitwa na wakati.
Richard Holbroke afisa mwandamizi katika utawala wa rais Clinton alisema Inawezaje mtu anayeishi pangoni kuwashinda viongozi katika jamii ya habari? sasa fikiria mtu kutoka jamii ya Waislamu ambavyo angezichukulia picha za Osama.

Bin Laden alivalia joho sio kwa sababu alikuwa amgtu aliyepitwa na wakati asiye na fikra nzuri ama asiyejua teknolojia, bali kwa sababu alitaka kufanana na mtume Muhammad.

Alifunga siku kama zile ambazo mtume Muhammad alifunga. Mienendo yake ambayo ilionekana kama mtu aliyepitwa na wakati kwa jamii ya magharibi ilifanana na tamaduni za Kiislamu zilizotokana na mitume yao.

Kama Lawrence Wright anavyoelezea katika kitabu chake Septemba 11 ambacho kilimshindia tuzo la Pulitzer kwamba Bin laden alitekeleza Operesheni zake akitoa picha ambazo zilikuwa na maana ya ndani kwa Waislamu wengi lakini hazikueleweka miongoni mwa wale ambao hawakuwa Waislamu.
Wachanganuzi wa CIA hawakuona tishio lililokuwa likiwakabili
H
Sasa fikiria mtu anayeijua dini ya Kiislamu jinsi ambavyo angepokea picha hizo.
Kuhusu pango alilokuwa akijificha ..lina maana ya undani zaidi.
Kama vile kila Muislamu anavyojua , Mtume Muhammad alitafuta hifadhi katika pango baada ya kuwatoroka waliokuwa wakimtafuta Mecca. Kwa Waislamu pango ni eneo takatifu .

Na Bin laden alitumia maficho yake huko Tora Bora kama Hajj yake akitumia pango hilo kama propaganda.
Kama msomi mmoja wa Kiislamu alivyosema: Bin Laden hakuwa mjinga , alikuwa mtu wa mkakati. Alijua jinsi ya kutumia Quran kuwashawishi wale ambao baadaye wangekuja kuwa mashahid katika shambulio la Septemba 11.
Wachanganuzi pia walidanganywa kwamba bin Laden alikuwa akitoa taraifa zake kupitia mashairi.

Kwa wazungu wenye tabaka la katikati alionekana kama Mullah aliyepitwa na wakati kwa kuishi katika pango.
Hatahivyo kwa Waislamu ushairi una maana tofauti kwani ni njia nzuri ya kuwasilisha ujumbe na kundi kama vile Taliban limekuwa ikitumia mbinu hiyo kuwasilisha ujumbe wake.

Hatahivyo kitengo hicho cha Marekani kilikuwa kikichunguza matamshi ya Bin laden kikitumia ulinganishaji.
Bin laden alijua jinsi ya kuitumia Koran kuwachochea wale ambao wanegkuwa mshahidi katika shambulio hilo la Sepetmba 11

Kufikia mwaka 2000 ufuasi wa Bin laden ulikuwa umefikia watu 20,000 wengi wao wakiwa na elimu ya taasisi na kupendelea uhandisi.

Yazid Sufaat ambaye alikuwa mtafiti mkuu wa kundi la Al Qaeda alikuwa na shahada katika somo la kemistry . Na wengi walikuwa tayari kuuawa kwa dini yao.

Wakati huohuo , afisa mwandamizi Paul Pillar hakufikiria kwamba kuna uwezekano wa shambulio kubwa la kigaidi kufanyika.

Na dosari jingine la CIA ilikuwa kuchelewa kwake kuamini kwamba Bin laden ataanzisha mgogoro na Marekani.
Kwa nini nianze vita ambavyo sitashinda?
wakati marekani ilipogundua hatari inayotokana na Bin Laden walikuwa wamechelewa.

Wachanganuzi hawakuelewa kwamba watu wanopigana vita vya Jihad , ushindi haufai kuhakikishwa duniani bali peponi.
Ukweli ni kwamba Mpango huo wa Al-Qaeda uliitwa ''Harusi kuu''.
Na ni itikadi ya watu wanaojitoa muhanga , kwamba siku ya kifo cha muuaji pia ni siku ya harusi yake, wakati anapokelewa na mabikira mbinguni.

CIA ingeongeza ufadhili wake kulichunguza kundi la Al- Qaeda. Ningejaribu kuingia ndani ya kundi hilo. Lakini katika shirika hilo la kijasusi hawakuona sababu muhimu ya kufanya hivyo kwa haraka.
Hawakuongeza ufadhili kwa sababu hawakuona tishio.

Ukosefu wa Waislamu katika shirika hilo la CIA ni mojawapo ya mifano ya jinsi ukosefu wa watu wa jamii tofauti ulivyodhoofisha kitengo hicho cha ujasusi kinachoongoza duniani, na inatoa wazo la jinsi watu kutoka jamii tofauti wangeweza kutoa suluhu ya tishio kama hilo la al-Qaeda.

Lakini tatizo sio CIA pekee kwa kuwa unapotazama mabaraza ya mawaziri, kampuni za mawakili, uongozi wa kijeshi, na maafisa waandamizi pamoja na maafisa watendaji katika makampuni ya kiteknolijia pia tatizo hilo linapatikana.
Waajiri huwapendelea watu wanofanana nao hivyobasi tunashindwa kuona hatari kwa sababu hatujui dosari zetu.
Hatahivyo Shirika la Ujasusi la CIA limechukua hatua muhimu la kuorodhesha watu kutoka maneo tofauti miongoni mwa wafanyakazi wake tangu shambulio hilo la Septemba 11 kufanyika.Lakini tatizo hilo linaendelea kulikabilia shirika hilo na ripoti ya ndani kwa ndani ya mwaka 2015 ilitoa ukosoaji mkubwa.
Katika kundi la wafanyakazi kutoka sehemu tofauti kila mmojawao angekuwa na mchango tofauti kuhusu tishio hilo

source:https://www.bbc.com/swahili/habari-49671605
 
Wakuu.

Sio kweli kwamba CIA hawakua na taarifa, taarifa walikua nazo nawalipewa na FBI, lakini sasa katika kutunishiana misuli kati ya CIA na FBI ndio majanga yakatokea.

Kwa miaka mingi sana inasemekana FBI na CIA ni paka na panya hawa shei taarifa zao hata wakishea basi ujue kuna jambo kwelikweli.

Na shambulio la 9/11 ndio iliwaunganisha hizi idara mbili.

Regards.
 
Oppose book WORSHIP.
inside Job hiyo mzee ilipangwa na CIA pamoja na Mossad then ikatekelezwa na Mossad wakishirikiana na Saudi Arabia Kwa lengo la kufanya kitu wanaitwa "FALSE FLAG OPERATION" yaani operation ya kujitakia ili kupata uhalali wa kufanya oparation nyingine kubwa na yenye manufaa kwa taifa,nchi nyingi sana duniani zinafanya hivyo Marekani walisharuhusu japani iwashambulie kwenye Ghuba ya "Pear Harbour " ili wapate sababu ya kuingia vitani kusudi waingie kwenye vita ya pili ya dunia kumsaidia muingereza ,Urusi imeshawahi ruhusu waasi wa chechnia kuteka lile jumba la sinema ili waivamie chechnia na kuichukua kiujumla hadi leo,ujerumani,ufaransa,uingereza na wengine weengi wanafanya hivyo
September 11 iliundwa itokee lengo lilikuwa kuipiga IRAQ,IRAN,SYRIA then LIBYA na hiyo AFGHANISTANI ilikuwa kwaajili ya kucontrol biashara ya Opium (Heroine) tu na hio yoote ni kuhakikisha marekani na washirika wake wana control nchi zoote zenye uzalishaji wa mafuta duniani pale middle east na Latin America ili waweze kucontrol uchumi wa mataifa yanayokuwa kiuchumi na kuwa tishio kwake (Urussi,China,India na Pakistan),kumbuka ukuaji wa uchumi unashawishiwa sana na energy sector (biashara ya Mafuta ghafi)
Baada ya September 11 Ilipigwa IRAQ akawekwa kibaraka wao,Ikapigwa Afghanistani kawekwa kibaraka wao then alivyoingia Obama akatekeleza Masalio yaliyobakia Ambayo ni LIBYA,akaacha choko choko SYRIA,VENEZUELA na IRAN ,baada ya kuona Hivyo Urussi na China wameingilia kati ndiomaana wameweka kambi zao Venezuela,Iran na Syria ndiomaana unaona Trump anakomaa kumpiga Syria IRAN na Venezuela mpango ni ule ule wa enzi na enzi
Advantage ya sept 11 itawapa favour wamarekani na washirika wake hasa israel kwa miaka takribani 50 mbele Fuatilia haya mambo hata google kitu inaitwa " THE GREATER ISRAEL PLAN" na tafuta kitabu cha mtu anaitwa "Zbigniew Brzezinski" kinaitwa "THE GRAND CHESS BOARD" hizi plan zoote zipo humo maraisi wa marekani/israel wanafuata tu mipango ya utekelezaji TU!
Kwa akili ya kawaida we unadhani waarabu 15 wenye visu vya kukatia mabox waliweza kuteka kweli zile ndege zoote kwa siku moja halafu wakatekeleza yale mashambulizi? bila vyoombo vyoote vya marekani kujua?? is it coming coming??
 
Oppose book WORSHIP.
wazungu wanasema ukitaka kumficha kitu mwafrika basi kiweke kwenye maandishi! hatuna utaratibu wa kusoma vitabu,sasa kama kitabu cha huyo Zbigniew Brzezinski aliyaandika yoote haya na yametokea na yanatokea bado wewe ni nani ukatae kuwa ilikuwa planned??,mtu alikuwa ni National security Advisor (Lazima ni CIA) wa Rais Jimmy Carter,Lyndon B. Johnson na umakonde wangu huu kwanini nisiviamin ??
Kila kitu kilikuwa planned acha kufikiria kama MATAGA wa UVCCM
 
Siyo porojo kweli hii

Sha
wa
 
Wao CIA na Marekani ndio waliokuwa nyuma ya shambulio lote
 
Tatizo ni coded language.

Da'Vinci , Infantry Soldier, Bujibuji , njoeni msaidie.

Huu ujumbe upo wazi sana tatizo vijana hamjui kuunganisha dots hata katika maisha ya kawaida tu.

Kwa lile shambulio wenye akili tunajua kilichotokea na kinachoendelea.

Mfano, nani anayeelewa maana ya negotiation kati ya CIA, USA na Taliban?

Unajua ni kwa nini Kenya inatokwa povu na jasho kwa USA , FBI, CIA, NSA, na wote hao na hata ubalozi wa USA nchini Kenya kushindwa kutaja Al- Shabab kama kundi la Kigaidi?

Haya mambo yanahitaji akili zilizopevuka katika hii tasinia na siyo vilaza. .
 
inside Job hiyo mzee ilipangwa na CIA pamoja na Mossad then ikatekelezwa na Mossad wakishirikiana na Saudi Arabia Kwa lengo la kufanya kitu wanaitwa "FALSE FLAG OPERATION" yaani operation ya kujitakia ili kupata uhalali wa kufanya oparation nyingine kubwa na yenye manufaa kwa taifa,nchi nyingi sana duniani zinafanya hivyo Marekani walisharuhusu japani iwashambulie kwenye Ghuba ya "Pear Harbour " ili wapate sababu ya kuingia vitani kusudi waingie kwenye vita ya pili ya dunia kumsaidia muingereza ,Urusi imeshawahi ruhusu waasi wa chechnia kuteka lile jumba la sinema ili waivamie chechnia na kuichukua kiujumla hadi leo,ujerumani,ufaransa,uingereza na wengine weengi wanafanya hivyo September 11 iliundwa itokee lengo lilikuwa kuipiga IRAQ,IRAN,SYRIA then LIBYA na hiyo AFGHANISTANI ilikuwa kwaajili ya kucontrol biashara ya Opium (Heroine) tu na hio yoote ni kuhakikisha marekani na washirika wake wana control nchi zoote zenye uzalishaji wa mafuta duniani pale middle east na Latin America ili waweze kucontrol uchumi wa mataifa yanayokuwa kiuchumi na kuwa tishio kwake (Urussi,China,India na Pakistan),kumbuka ukuaji wa uchumi unashawishiwa sana na energy sector (biashara ya Mafuta ghafi) Baada ya September 11 Ilipigwa IRAQ akawekwa kibaraka wao,Ikapigwa Afghanistani kawekwa kibaraka wao then alivyoingia Obama akatekeleza Masalio yaliyobakia Ambayo ni LIBYA,akaacha choko choko SYRIA,VENEZUELA na IRAN ,baada ya kuona Hivyo Urussi na China wameingilia kati ndiomaana wameweka kambi zao Venezuela,Iran na Syria ndiomaana unaona Trump anakomaa kumpiga Syria IRAN na Venezuela mpango ni ule ule wa enzi na enzi Advantage ya sept 11 itawapa favour wamarekani na washirika wake hasa israel kwa miaka takribani 50 mbele Fuatilia haya mambo hata google kitu inaitwa " THE GREATER ISRAEL PLAN" na tafuta kitabu cha mtu anaitwa "Zbigniew Brzezinski" kinaitwa "THE GRAND CHESS BOARD" hizi plan zoote zipo humo maraisi wa marekani/israel wanafuata tu mipango ya utekelezaji TU! Kwa akili ya kawaida we unadhani waarabu 15 wenye visu vya kukatia mabox waliweza kuteka kweli zile ndege zoote kwa siku moja halafu wakatekeleza yale mashambulizi? bila vyoombo vyoote vya marekani kujua?? is it coming coming??

Mkuu hili ndlo kwel 1000% nlilijua ila nlikuwa nalitafutia ushahidi, umenisaidia sana. Thax
 
Mashambulizi ya Septemba 11 yameonekana kama kufeli kwa CIA

Kufeli kwa shirika la ujasusi nchini Marekani CIA kugundua ishara na onyo la shambulio la Septemba 11 2001 , limekuwa mojawapo ya maswala tata katika historia ya huduma hiyo ya ujasusi.
Kumekuwa na tume, hakiki, uchunguzi wa ndani na zaidi. Upande mmoja kuna wale wanaosema kwamba CIA hawakuziona ishara za mapema.
Kwengine kuna wale wanaosema kwamba ni vigumu sana kugundua vitisho mapema na kwamba kitengo hicho cha ujasusi nchini Marekani kilitumia kila njia.

Je ni nini kitakachotokea iwapo pande zote mbili zina makosa?
Je inakuwaje iwapo sababu ya CIA kufeli kugundua shambulio hilo ipo wazi zaidi ya watu wanavyodhania?
Na itakuwaje iwapo nitakuambia kwamba shida hii imesambaa zaidi ya huduma za Ujasusi na inaathiri maelfu ya mashirika, serikali na makundi hii leo?

Huku uchunguzi mwingi ukiangazia kile ambacho shirika hilo lilifanya ama kushindwa kufanyia habari ilizokuwa nazo kabla ya shambulio la 9/11, watu wachache walirudi nyuma na kuchunguza jinsi shirika hilo lilivyoundwa na hususan sera yake ya kuajiri.

Na kwa mtazamo wa jadi, hawakuweza kuhimili: Wachambuzi walikabiliwa na majaribio ya kisaikolojia, ya matibabu na ya kila aina. Na bila shaka waliajiri wataalam.
"Mitihani mikuu miwili ilikuwa ile inayolinganishwa na mtu anapojiunga na chuo kikuu ambayo inabaini intelijensia ya anayeomba kazi mbali na wasifu wa kisaikolojia kuchunguza hali yake ya kiakili," anafafanua mfanya kazi wa zamani wa CIA

"Vipimo hivyo viliwaondoa watu ambao hawakuwa bora katika kesi zote mbili.
Katika mwaka niliowasilisha maombi yangu, nilikubali muomba kazi kwa kila waombaji 20,000. Wakati CIA ilisema iliajiri watu bora, ilikuwa nyongeza sawa.

Na wengi ya walioteuliwa pia walikuwa wakifanana: Wanaume, weupe, Wamarekani, watu wa dini ya Protestant.
Hili ni swala la kawaida katika kuajiri watu. Watu huajiri watu wanaojiona kuwa wenyewe.
Wakati wa Shambulio hilo wachanganuzi wenginwa CIA walikuwa na fikra sawa

Katika utafiti wao wa CIA, mtaalam wa Kiintelijensia Milo Jones na Phillipe Silberzahn waliandika: Sifa ya utambulisho wa kitengo cha CIA na utamaduni kuanzia 1947 hadi 2001 ni mchanganyiko wake wa wafanyakazi wake kutokana na rangi, jinsia, kabila na tabaka kihistoria.

Na utafiti uliofanywa na inspekta jenerali kuhusu kuajiri ulibaini kwamba 1964 , tawi la CIA , na idara za takwimu za kitaifa haikuwa na wataalama weusi , Wayahudi , wanawake na kwamba ilikuwa na wafuasi wachache wa kanisa la Katoliki.

Kufikia mwaka 1967 , kujlingana na ripoti , kulikuwa na wafanyakazi 20 wenye asili ya Wamarekani weusi kati ya wafanyakazi 20,000 huku idara hiyo ikiendelea na utamaduni wake wa kutowaajiri watu wa kundi la walio wachache kutoka 1960 hadi 1980.

Na hadi 1975, jamii ya kiintelijnsia ya Marekani , waziwazi ilipinga kuajiriwa kwa wapenzi wa jinsia moja.
Akizungumza kuhusu uzoefu wake na shirika la CIA 1980, mtu aliyekuwa na habari za ndani aliandika kwamba mchakato wa kuajiri ulisababisha kuonekana kwamba wale walioajiriwa wanafana na wale waliokuwa tayari washaajiriwa wakiwemo watu weupe, watu wa tabaka la katikati , matajiri , wale wanotoka katika vyuo vikuu.
Ulikuwa na wanawake wachache , makabila machache kutoka Ulaya. Mchanganyiko huo ulipungua zaidi baada ya vita vya dunia.

Makao makuu ya CIA langley Virginia

Afisa mmoja alinukuliwa akisema CIA ina maafisa wanaofana kama mchele. Na miezi kadhaa kabla ya shambulio la Septemba 11, jarida la kimataifa kuhusu Intelijensia liliandika: Tangu kuanzishwa kwake, jamii ya Ujasusi ilishirikisha watu weupe sio kwamba ndio lililokuwa tabaka katika uongozi bali kwa sababu walionekana kama wadhamini na walinzi wa maadili na thamani ya Wamarekani.

Lakini ni kwa nini swala hili la ajira katika kitengo hicho ni tatizo? Unapounda kikosi cha wanariadha cha mbio za kupokezana vijiti, unatazama wanariadha wenye kasi.
Kwa nini ni muhimu iwapo wana rangi ya kufanana, jinsia ama hata tabaka? Kwa sababu wakati kuna tatizo kuu hakuna mtu aliye na majibu yote, kila mtu ana dosari yake.

Na iwapo mtu ataajiri kundi la watu wanaotoka katika eneo moja kuna uwezekano mkubwa kwamba watatoa suluhu inayofanana wakati wa tatizo.

Osama Bin Laden alitangaza vita dhidi ya Marekani kutoka katika pango moja eneo la Tora Bora mnamo mwezi Februari 1996.
Picha zilimuonyesha mtu aliyekuwa na ndevu zilizokuwa zimefika chini ya kifua chake.
Alikuwa amevalia Joho ndani ya sare ya kijeshi aliyovaa. Hii leo, baada ya kujua kila kitu kilichofanyika tamko lake linaonekana kuwa la kutisha.

Lakini chanzo kutoka kwa Idara ya ujasusi ya Marekani CIA kilisema kwamba hakiamini kwamba mtu huyo alie na ndevu anaweza kuwa tishio la Marekani.
Osama bin Laden alitangaza vita dhidi ya Marekani kutoka katika pango nchini Afghanistan mnamo mwezi Okotba 1998

Upande mwengine ni kwamba hakuna uchanganuzi wowote aliodhani kwamba Bin laden anaweza kuwa tishio.
Mwengine alisema: Hawakuweza kufadhili uchunguzi wowote ili kujua zaidi kuhusu Bin Laden na Al Qaeda kwa kuwa mtu huyo alikuwa akiishi pangoni.

Kwao alikuwa mtu ambaye alipitwa na wakati.
Richard Holbroke afisa mwandamizi katika utawala wa rais Clinton alisema Inawezaje mtu anayeishi pangoni kuwashinda viongozi katika jamii ya habari? sasa fikiria mtu kutoka jamii ya Waislamu ambavyo angezichukulia picha za Osama.

Bin Laden alivalia joho sio kwa sababu alikuwa amgtu aliyepitwa na wakati asiye na fikra nzuri ama asiyejua teknolojia, bali kwa sababu alitaka kufanana na mtume Muhammad.

Alifunga siku kama zile ambazo mtume Muhammad alifunga. Mienendo yake ambayo ilionekana kama mtu aliyepitwa na wakati kwa jamii ya magharibi ilifanana na tamaduni za Kiislamu zilizotokana na mitume yao.

Kama Lawrence Wright anavyoelezea katika kitabu chake Septemba 11 ambacho kilimshindia tuzo la Pulitzer kwamba Bin laden alitekeleza Operesheni zake akitoa picha ambazo zilikuwa na maana ya ndani kwa Waislamu wengi lakini hazikueleweka miongoni mwa wale ambao hawakuwa Waislamu.
Wachanganuzi wa CIA hawakuona tishio lililokuwa likiwakabili
H
Sasa fikiria mtu anayeijua dini ya Kiislamu jinsi ambavyo angepokea picha hizo.
Kuhusu pango alilokuwa akijificha ..lina maana ya undani zaidi.
Kama vile kila Muislamu anavyojua , Mtume Muhammad alitafuta hifadhi katika pango baada ya kuwatoroka waliokuwa wakimtafuta Mecca. Kwa Waislamu pango ni eneo takatifu .

Na Bin laden alitumia maficho yake huko Tora Bora kama Hajj yake akitumia pango hilo kama propaganda.
Kama msomi mmoja wa Kiislamu alivyosema: Bin Laden hakuwa mjinga , alikuwa mtu wa mkakati. Alijua jinsi ya kutumia Quran kuwashawishi wale ambao baadaye wangekuja kuwa mashahid katika shambulio la Septemba 11.
Wachanganuzi pia walidanganywa kwamba bin Laden alikuwa akitoa taraifa zake kupitia mashairi.

Kwa wazungu wenye tabaka la katikati alionekana kama Mullah aliyepitwa na wakati kwa kuishi katika pango.
Hatahivyo kwa Waislamu ushairi una maana tofauti kwani ni njia nzuri ya kuwasilisha ujumbe na kundi kama vile Taliban limekuwa ikitumia mbinu hiyo kuwasilisha ujumbe wake.

Hatahivyo kitengo hicho cha Marekani kilikuwa kikichunguza matamshi ya Bin laden kikitumia ulinganishaji.
Bin laden alijua jinsi ya kuitumia Koran kuwachochea wale ambao wanegkuwa mshahidi katika shambulio hilo la Sepetmba 11

Kufikia mwaka 2000 ufuasi wa Bin laden ulikuwa umefikia watu 20,000 wengi wao wakiwa na elimu ya taasisi na kupendelea uhandisi.

Yazid Sufaat ambaye alikuwa mtafiti mkuu wa kundi la Al Qaeda alikuwa na shahada katika somo la kemistry . Na wengi walikuwa tayari kuuawa kwa dini yao.

Wakati huohuo , afisa mwandamizi Paul Pillar hakufikiria kwamba kuna uwezekano wa shambulio kubwa la kigaidi kufanyika.

Na dosari jingine la CIA ilikuwa kuchelewa kwake kuamini kwamba Bin laden ataanzisha mgogoro na Marekani.
Kwa nini nianze vita ambavyo sitashinda?
wakati marekani ilipogundua hatari inayotokana na Bin Laden walikuwa wamechelewa.

Wachanganuzi hawakuelewa kwamba watu wanopigana vita vya Jihad , ushindi haufai kuhakikishwa duniani bali peponi.
Ukweli ni kwamba Mpango huo wa Al-Qaeda uliitwa ''Harusi kuu''.
Na ni itikadi ya watu wanaojitoa muhanga , kwamba siku ya kifo cha muuaji pia ni siku ya harusi yake, wakati anapokelewa na mabikira mbinguni.

CIA ingeongeza ufadhili wake kulichunguza kundi la Al- Qaeda. Ningejaribu kuingia ndani ya kundi hilo. Lakini katika shirika hilo la kijasusi hawakuona sababu muhimu ya kufanya hivyo kwa haraka.
Hawakuongeza ufadhili kwa sababu hawakuona tishio.

Ukosefu wa Waislamu katika shirika hilo la CIA ni mojawapo ya mifano ya jinsi ukosefu wa watu wa jamii tofauti ulivyodhoofisha kitengo hicho cha ujasusi kinachoongoza duniani, na inatoa wazo la jinsi watu kutoka jamii tofauti wangeweza kutoa suluhu ya tishio kama hilo la al-Qaeda.

Lakini tatizo sio CIA pekee kwa kuwa unapotazama mabaraza ya mawaziri, kampuni za mawakili, uongozi wa kijeshi, na maafisa waandamizi pamoja na maafisa watendaji katika makampuni ya kiteknolijia pia tatizo hilo linapatikana.
Waajiri huwapendelea watu wanofanana nao hivyobasi tunashindwa kuona hatari kwa sababu hatujui dosari zetu.
Hatahivyo Shirika la Ujasusi la CIA limechukua hatua muhimu la kuorodhesha watu kutoka maneo tofauti miongoni mwa wafanyakazi wake tangu shambulio hilo la Septemba 11 kufanyika.Lakini tatizo hilo linaendelea kulikabilia shirika hilo na ripoti ya ndani kwa ndani ya mwaka 2015 ilitoa ukosoaji mkubwa.
Katika kundi la wafanyakazi kutoka sehemu tofauti kila mmojawao angekuwa na mchango tofauti kuhusu tishio hilo

source:Kwa nini CIA haikugundua shambulio la Septemba 11
hiii ktu ilikuwa ni inside job.
 
Mbona mi nimeelewa inakuwaje hamjaelewa wakuu? Kwa kifupi Uzi unatanabaisha kwamba weakness katika ajira za CIA uliojaa ubaguzi hasa WA kidini na rangi,( shirika halikua na wakatoliki wa kutosha, waislam, wayahudi)
Hivyo basi kupata taarifa za shambulio hili ilikuwa Jambo gumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom