Kwanini Serikali isiruhusu watu na kampuni binafsi wanunue kahawa mkoani Kagera?

Mkuu nilikua nakuheshimu sana. Mfano kwetu kunastawi mpunga tu. Unataka kuniambia kwasababu haturuhusiwi kuuza mpunga nje ya nchi nianze kulima chai?
Mkuu. Usirudie tena kuandika utumbo.
Wewe ndio unaandika utumbo.Mbona wasukumu wengi tu wameachana na pamba na kuhamia mikoa yenye fursa kama morogoro,katavi, pwani nk.Kwa nini ung'ang'anie kitu kisicho na faida kwako ? Huo in upungufu wa akili na nakuamsha achana na hiyo akili, serikali haikupendi kama we unavyidhani Tafuta zao lililo huru.Kama hakuna fursa hama nchi hivi ni kubwa na inafursa nyingi sana.Ysni miaka na miaka mnalalamikua kiyltu kilekile huo ni ujuha.Binafsi nipi tayari kuhamia popote pale hata Ghana kama ni kuzuri, sina mkataba na serikali inifuge kama kuku wake.
 
Back
Top Bottom