mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,325
- 1,181
Kwahiyo unataka Tanzania tuishi na kuongozwa kama South Korea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha chuki kafanye kazi mimi km Rais nataka watu km Maria sarungi kwanza ni Dira yangu. yeye ili niwalishe wajinga km nyinyi.ni muhimu sana kuliko wewe unasifu tuuu!!Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Nani anataka tuingie kwenye machafuko,anayeuliza au anayeuliziwa? Nyoosha maelezoWaziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
hatamani huyu, huyu ndio wa kukamatwaNdomaana CCM inaonekana kuwa na watu wajinga. Sasa kwakosa gani? Kuhoji alipo Rais?
Kwahi hata wewe hutamani kumuona Rais?
Mzungu ni mzungu tu haki ya nani!!! khaa yaani nimechoka baada ya kugundua hili!!! hii avatar si ni yako wewe Maria sarungi???!! kwa nini unatugonganisah vichwa ili iweje nashangaa watu wamejaa vichwa full kugongwa tu!!Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Waziri Mkuu alishajibu.Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Kwanini wasianze kukukamata wewe kwanza alafu ifuatie yeye?Mzungu ni mzungu tu haki ya nani!!! khaa yaani nimechoka baada ya kugundua hili!!! hii avatar si ni yako wewe Maria sarungi???!! kwa nini unatugonganisah vichwa ili iweje nashangaa watu wamejaa vichwa full kugongwa tu!!
wanaJF mngejua?? msinge thubutu!! kuchangia huyu anawachora...
Wewe jingaman Hakuna PESA ya CCM hapa Tanzania,ni pesa ya Watanzania wote,halafu tutolee ujuha wako hapa,Mungu kamchukua Magufuli kwa sababu ya ukatili wake hamtaki tu kujifunza mbwa nyie,kamkamate wewe jingaWote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Ningekujibu ila tafuta kwanza simu ya maana.Wewe jingaman Hakuna PESA ya CCM hapa Tanzania,ni pesa ya Watanzania wote,halafu tutolee ujuha wako hapa,Mungu kamchukua Magufuli kwa sababu ya ukatili wake hamtaki tu kujifunza mbwa nyie,kamkamate wewe jinga
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kumkamata Sio suluhu, dawa fanyieni KAZI yale mwaona anayaongelea, ndo dawa pekee, ukimkamata watazaliwa 1000 zaidi yakeWote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Thubutuu!!!! kwani unadhani wao hawogopi?? wewe uliona wapi jiwe akiwatumbua watoto wa Vigogo pale BOT? aliogopa!! sasa wewe mdanganye aone moto!!! hawatasahau....!!Kwanini wasianze kukukamata wewe kwanza alafu ifuatie yeye?