Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
acha chuki kafanye kazi mimi km Rais nataka watu km Maria sarungi kwanza ni Dira yangu. yeye ili niwalishe wajinga km nyinyi.ni muhimu sana kuliko wewe unasifu tuuu!!
 
Serikali ya wakamataji...balada ya kujibu hoja easiest way ni kukamata na kunyamazisha...

Haya mwamshemi wa kwenu basi tuone!!
 
Sisi wazalendo tunamwomba paulo makonda asafishe kabisa kidubri chake aka ndogo yake ile sababu wahuni watapita nayo babake kadondoka
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Mzungu ni mzungu tu haki ya nani!!! khaa yaani nimechoka baada ya kugundua hili!!! hii avatar si ni yako wewe Maria sarungi???!! kwa nini unatugonganisah vichwa ili iweje nashangaa watu wamejaa vichwa full kugongwa tu!!

wanaJF mngejua?? msinge thubutu!! kuchangia huyu anawachora...
 
Kwanini wasianze kukukamata wewe kwanza alafu ifuatie yeye?
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Wewe jingaman Hakuna PESA ya CCM hapa Tanzania,ni pesa ya Watanzania wote,halafu tutolee ujuha wako hapa,Mungu kamchukua Magufuli kwa sababu ya ukatili wake hamtaki tu kujifunza mbwa nyie,kamkamate wewe jinga

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kuandika hapo Maria amemtukana vipi Mama Samia.
Juzi Maria Sarungi aliandika Samia ni very,very,clever,hata hajui kwa mini watu wengi wanajitokeza wanataka kumshauri raids Hivyo ndio amemtukana rais?
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Kumkamata Sio suluhu, dawa fanyieni KAZI yale mwaona anayaongelea, ndo dawa pekee, ukimkamata watazaliwa 1000 zaidi yake
 
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.

Kabla ya March 17. 2021 nilikuwa na mawazo ya namna hii.

Lakini nimekuja kugundua kuwa nilikuwa nawaza ujinga kabisa. Nilishaandika thread ya kuwaomba radhi wanaJF kwa mitazamo yangu ya Kiinterahamwe hapo awali.

Hili wazo lako ni mufilisi na sidhani ni sahihi kuwakamata ama kuwanyamazisha. Mwenendo wa utawala ndiyo huzalisha uungwaji mkono au kupingwa.

Waacheni akina Maria Sarungi waendelee kutumia uhuru wa Kikatiba ibara ya 18 inayotoa haki ya Kujieleza na kupata Taarifa.

Bila mawazo pinzani hatusongi mbele
 
Kwanini wasianze kukukamata wewe kwanza alafu ifuatie yeye?
Thubutuu!!!! kwani unadhani wao hawogopi?? wewe uliona wapi jiwe akiwatumbua watoto wa Vigogo pale BOT? aliogopa!! sasa wewe mdanganye aone moto!!! hawatasahau....!!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom