Akamatwe na serikali ya majizi ya kura?!Maria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .
Hela za CCM? Watu mna akili?Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Daaah pole sana kwa kukosa ubongoWote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.
Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.
Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
Dada pole n majukumu,umeibuka baada ya kusikia kuna teuzi karibuniMaria Sarungi ni victim Kampeni za Mwaka 2015 walikua katika kambi ya Magufuli walikua Maria Sarungi, Evarest Chahali, Semkae hawa baada ya JPM kushinda walitegemea kupata vitengo kwenye serikali lakini mda ulizidi kwenda bila kupata favor yeyote ndo wakaegeuka kuwa wakosoaji wa serikali ya Rais Magufuli ni Wachumia tumbo tuuu. Sema Maria Sarungi ni Muoga bado hajaingia kwenye target ya kuweza kukamatwa she is very cautious! .
Kama alichojibu P. M ni sahihi sasa machafuko yanakujaje? Hivi unaelewa maana ya machafuko au unaropoka tu baada ya kushiba makande?Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Hahahaah majibu yako sasa, alafu ukute na wew uko na familiaHivi kweli kama una akili kichwani unweza ukalazimisha kuelezwa mahali aliko rais,kwani alikwenda kumtafuta pale chamwino akakuta pamefungwa
machafuko kwiooooWaziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Ni sehemu gani ya katiba imeandikwa mwananchi kuhoji alipo Rais? (weka nukuu ya kifungu hicho)Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Acha uoga. Kwani kuna nini?Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Naomba nikuulize kwa ndani huu: Hivi mtoto au kijana akimuuliza Baba take kuwa ulikuwa wapi mpaka asubuhi ndo unarudi ni fedha za mabeberu au za chato ndo zinamsukuma aulize?maria sarungi pesa za mabeberu zitamtokea puani jinai haifi.
Kusema Yuko wapi Mh rais kwao ni kuzushaSasa ni kipi alichozushiwa Rais?
Kusema Yuko wapi Mh raisSasa ni kipi alichozushiwa Rais?