Kwanini Serikali isiagize Farasi tukawapandikiza katika Mbuga zetu, na wengine tukawafuga wakatusaidia katika shughuli zetu za Uchumi

Farasi wanafaa maeneo yanye baridi sana.

Ukiwaleta uku ulimwengu wa Tatu, gharama za kuwatunza utawatelekeza mwenyewe.
Sio kweli farasi wanaweza kuishi maeneo ya joto
Sema tu tanzania hatuna mazoea ya kuwafuga
Ni hivyo tu sio utamaduni wetu Kumtumia farasi
 
Kujibu hlo swal vizur Ni lazma uulizwe pia kwa Nini Africa tusiagize mbegu ya tiger au Dia (swala) wa ulaya au kangaroo il hiyo mbegu tuwe nayo??
 
Back
Top Bottom