Elections 2010 Kwanini serikali inawavumilia wenye kuhubiri "umwagikaji damu" au inawaogopa?

kwanini jk anashindwa kutaja neno ufisadi kwenye kampeni zake?amekuwa akiongoza kwa maagizo ya dr slaa,sasa anapaswa kuondoka madarakani
 
kwanini jk anashindwa kutaja neno ufisadi kwenye kampeni zake?amekuwa akiongoza kwa maagizo ya dr slaa,sasa anapaswa kuondoka madarakani

Nadhani ana mambo mengine muhimu ya kuwaambia wananchi. Mambo ya ufisadi yameshaongelewa na wapinzani kwa mapana na marefu kwa miaka kadhaa sasa, wananchi wanataka kusikia sera badala ya nyimbo za ufisadi. Wananchi wanataka kusikia faida za kuwa na wabunge wengi wa upinzani katika utungaji wa sheria zinazo athiri maisha yao na maisha ya vizazi vijavyo.

Ajabu kila mgombea upinzani anapopanda jukwaani anaongea juu ya ufisadi na kuacha mambo muhimu. Wakati CCM inashinda katika kutoa mikakati/ahadi (including zisizotekelezeka na za uongo) wapinzani wameshikiria bango la ufisadi na uonevu. Is ufisadi all what opposition can dwell on?

Then, at one point nimesoma kwamba Dr Slaa alikaririwa akisema "KAMA JK MWANAMUME....." hili ni tusi tosha kwa wanawake ambao ni feminist, na pengine linatoa tafsiri ya ubabe. Nina wasiwasi na watunzi wa hotuba za kampeni za Dr Slaa au jazba ya Dr Slaa anapokuwa jukwaani. Kuchagua maneno ni art ambayo kiongozi anatakiwa awe nayo.
 
Yaliyoandikwa hapa kuhusu JK yanafanana na aliyosema Shimbo na sms zinazosambazwa, connect the dots. Kampeni za kutishia watu vita na wizi wa kura ndiyo zindiko la CCM katika siasa zake za kimafia.
 
Mimi naamini kuwa chadema ni chama makini,wataunganisha dots kuanzia tamko la shimbo,sms na tamko hilo la Kikwete halafu watakuja na jibu moja tosha kuwamaliza kabisa.Tena afadhali wamezusha zikiwa zimebaki siku kadhaa,hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Nadhani ana mambo mengine muhimu ya kuwaambia wananchi. Mambo ya ufisadi yameshaongelewa na wapinzani kwa mapana na marefu kwa miaka kadhaa sasa, wananchi wanataka kusikia sera badala ya nyimbo za ufisadi. Wananchi wanataka kusikia faida za kuwa na wabunge wengi wa upinzani katika utungaji wa sheria zinazo athiri maisha yao na maisha ya vizazi vijavyo.

Ajabu kila mgombea upinzani anapopanda jukwaani anaongea juu ya ufisadi na kuacha mambo muhimu. Wakati CCM inashinda katika kutoa mikakati/ahadi (including zisizotekelezeka na za uongo) wapinzani wameshikiria bango la ufisadi na uonevu. Is ufisadi all what opposition can dwell on?

Then, at one point nimesoma kwamba Dr Slaa alikaririwa akisema "KAMA JK MWANAMUME....." hili ni tusi tosha kwa wanawake ambao ni feminist, na pengine linatoa tafsiri ya ubabe. Nina wasiwasi na watunzi wa hotuba za kampeni za Dr Slaa au jazba ya Dr Slaa anapokuwa jukwaani. Kuchagua maneno ni art ambayo kiongozi anatakiwa awe nayo.
Mkuu wangu hutaweza kujaza pakacha linalovuja hata siku moja. Sera haziwezi kufanya kazi (kujenga Taifa)pasipo kuhibiti kwanza Ufisadi.. JK anatakiwa kutueleza hilo kwanza.

Pili, maana halisi ya neno KAMA WEWE NI MWANAUME haina maana zaidi ya kusema kama wewe rijali fanya hivi na vile...na sii kuzungumzia wanawake au jinsia. Wapo wanaume wasiokuwa wanaume kwa kutoweza kusimama kama wanaume ila Ushoga...Na JK yawezekana hawezi kusimama kisha onyesha unyonge wake ambao kwa kiswahili cha mjini tunaita Ushoga..
 
Kama Slaa alishapita Songea basi kuna haja ya kurudi huko na kuwatoa wasiwasi wananchi hawa waliolishwa sumu hii kali na Kikwete. Na ikibidi sasa ratiba ya Kampeni ya Slaa ibadilishwe awe anapita huko alikopita Kikwete ili kuondoa hiyo sumu.

CCM wanatakiwa kujuwa kuwa amani na utulivu tulionao Tanzania ni neema ya MUNGU kwa watu wa Tanzania. Ametupa mioyo ya utulivu na uvumilivu na si wao (CCM) kama wanavyodai. Maana kama watanzania wasingekuwa wavumilivu haya maovu wanaotutendea CCM mfano kuwachekea mafisadi na kuwatetea hadharani na kuuza maliasili za nchi zetu kwa wageni basi wangeweza kubeba mapanga na kusema hatuwataki hawa wawekezaji wanyonyaji.

nafikiri wengi aliowamwagia huo upupu na walewale waliobebwa na malori.

na
 
Another good reason why we shouldn't vote for this guy!!!!!!!!!!! Na hiyo ya chuo kikuu Songea du!!!!!!!!!!! Hivi hii mipango mbona hatujawahi kuisikia popote pale?????? Ina maana JK ndiye pekee ana mkoba wenye habari za maendeleo ya Tanzania???
 
Kama Slaa alishapita Songea basi kuna haja ya kurudi huko na kuwatoa wasiwasi wananchi hawa waliolishwa sumu hii kali na Kikwete. Na ikibidi sasa ratiba ya Kampeni ya Slaa ibadilishwe awe anapita huko alikopita Kikwete ili kuondoa hiyo sumu.

CCM wanatakiwa kujuwa kuwa amani na utulivu tulionao Tanzania ni neema ya MUNGU kwa watu wa Tanzania. Ametupa mioyo ya utulivu na uvumilivu na si wao (CCM) kama wanavyodai. Maana kama watanzania wasingekuwa wavumilivu haya maovu wanaotutendea CCM mfano kuwachekea mafisadi na kuwatetea hadharani na kuuza maliasili za nchi zetu kwa wageni basi wangeweza kubeba mapanga na kusema hatuwataki hawa wawekezaji wanyonyaji.

Msijali haya mambo hayawasumbui sana watu wa songea tazama mkutano ulivyokuwa baridi,wanaelewa na uzuri Dk aliwatangazia Songea juu ya amani kwa dakika kadhaa
 
Damu za Watanzania zinamwagika kila siku kwa huduma DUNI na MBOVU kabisa kwenye zahanati na hospitali zetu. Kila kukicha ujambazi, ajali za barabarani zinafyeka WATANZANIA kwa mamia, watu wengi mlo ni mmoja au hakuna kabisa kwa siku, ukimwi unaosababishwa na UMASIKINI wa Watanzania ndio unaoongoza,.....Tuendelee tu kumwaga damu huku tukiichagua CCM kila baada ya miaka 5.
Ninachokifahamu mimi ni kuwa kwa hali ilivyo hakuna sanduku la kura litaiondoa CCM madarakani. Si mmewaona na kuwasikia akina Lt Gen Shimbo?
 
hii kauli ysake ya umwagaji damu na ile msg inayomzungumzia dr Slaa kuwa anataka kumwaga damu zina uhusiano sana, nadhani hawa ndio walioziandika

I wanted to say this, kuna connection kubwa kati ya ile sms ya uchochezi na maneno aliyoongea hapo Songea, nadhani CHADEMA wana kila sababu ya kuwaambia wananchi uhusiano huu.
 
Jamani Ikulu tamu JK woga umewingia sasa anaona dawa kuwatisha wadanganyika. Na hii strategy inaweza kumsaidia maana wabongo uoga mwingi. Ushindwe JK
 
Nadhani ana mambo mengine muhimu ya kuwaambia wananchi. Mambo ya ufisadi yameshaongelewa na wapinzani kwa mapana na marefu kwa miaka kadhaa sasa, wananchi wanataka kusikia sera badala ya nyimbo za ufisadi. Wananchi wanataka kusikia faida za kuwa na wabunge wengi wa upinzani katika utungaji wa sheria zinazo athiri maisha yao na maisha ya vizazi vijavyo.

Ajabu kila mgombea upinzani anapopanda jukwaani anaongea juu ya ufisadi na kuacha mambo muhimu. Wakati CCM inashinda katika kutoa mikakati/ahadi (including zisizotekelezeka na za uongo) wapinzani wameshikiria bango la ufisadi na uonevu. Is ufisadi all what opposition can dwell on?

Then, at one point nimesoma kwamba Dr Slaa alikaririwa akisema "KAMA JK MWANAMUME....." hili ni tusi tosha kwa wanawake ambao ni feminist, na pengine linatoa tafsiri ya ubabe. Nina wasiwasi na watunzi wa hotuba za kampeni za Dr Slaa au jazba ya Dr Slaa anapokuwa jukwaani. Kuchagua maneno ni art ambayo kiongozi anatakiwa awe nayo.

Mkuu the biggest challenge Tanzania kwa sasa ni Governance issues, hilo ndo la kwanza kabla ya jambo lolote. Hata ukiongelea maji, barabara, meli, kilimo kwanza, kama governance ni mbovu ujue hiyo miradi yote itakuwa ni mitaji ya wezi wa nchi hii ambao ni watawala.

Sasa why Kikwete hataki kuzungumzia ufisadi ni kwa sababu ufisadi ndo unaomuweka madarakani na hiyo miradi anayoitangaza ni kwa ajili ya kunufaisha huo wizi.
 
Kama mnakumbuka katika chaguzi za nyuma CCM wamekuwa wakitumia kutisha wananchi kuwa wapinzani wataleta vita etc. Sasa kwa kuwa mwaka huu hali imekuwa ngumu, na mbaya wao ni CHADEMA na Slaa, inabidi waende mbali zaidi na kuwaambia wananchi hadithi hii... kwa kweli mimi nimefuatilia kampeni sijasikia kiongozi hata mmoja akisema anataka damu imwagike ili aende ikulu, lakini wengi wamekuwa wakisihi CCM kutuvuruga uchaguzi na matokeo kuepusha hali kama hilyo kutokea... sidhani kama hilo ni jambo baya....
Hii ni mbinu tu ya CCM kuwatisha wananchi kwa kupitia mgongo huo, badala ya njia waliyokuwa wakitumia siku za nyuma..... na wameanza na jeshi ili watu waone mnaona vita hiyo jeshi limesema .....
Very stupid Campaign tactics.... Wananchi naomba tuamke tuwaumbue wapuuzi hawa wanaotumia vitisho hivi.....
 
kama kweli kuna watu waliojiandaa kufanya hivyo, huu ni wakati wa 'kutenda' kwa serikali na si kusema kupitia;
  1. majukwaa ya kampeni,
  2. majeshi
vinginevyo ijulikane kwamba wanaandaa mazingira ya kuthibitisha wanachodai kwa kuwa wao (serikali) ndio 'washika mpini'.
 
Natumai kuwa CHADEMA sasa wakija na hoja ndio ya lala salama.Waacheni hawa mafisadi watambe ila siku zao zinahesabika,wana mapinduzi na muda wa kujipanga vizuri.Nakumbuka ile story ya chemical ALI wa iraq akiwa anamdanganya boss wake ,wakati huo sadam kuwa mambo ni mazuri tu mzee,jamaa tumewamaliza,wakiingia baghdad tu wamejitafutia makaburi yao wenyewe etc.Kumbe kuja kuhamaki wamarekani na washirika wao wanakuja tu.Hivyo ndivyo ilivyo kwa Tanzania ya leo.MZEE WANAKUDANGANYA.WANAKUPA HOTUBA ZA UONGO.Shituka ugundue.

UPENDE USIPENDE,UTAKE USITAKE MABADILIKO NI LAZIMA NA DAMU HAIMWAGIKI HATA YA MTANZANIA MMOJA.
 
JK kaongea ahadi zote na kilichobakia ni kuonekana muhongo na watu wameshajua anatoa hoja na ahadi ambazo hazitekelezeki, nadhani na yeye mwenyewe keshaona upepo unavyoelekea, option moja kubwa iliyobakia ni siasa za "Maji taka", anataka kumwogesha Slaa na maji taka wakati yeye mwenyewe ndio anayashiaka hayo maji kwa mikono, ni kitu cha aibu kutamka Slaa atamwaga damu, mtu ambaye ana jeshi llote wala polisi atamwagaje damu
SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
Jamani nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yake na mtoto wa kikwete(miraji) the only option iliyobaki kwa CCM nikutumia propaganda ya umwagaji damu ambayo wameifanyia utafiti na kuona kuwa inaweza kuwanusuru kubakia madarakani. Kijana huyo alinidokeza kuwa mpango huo utakuwa na faida kubwa mbili kwao.

  • Utarahisisha au kuharalisha wizi wa kura, kwa maana kwamba hata wapinzani wakigundua na kugoma, vyombo vya usalama vitatumia kigezo cha wanaotaka kumwaga damu hivyo wananchi wataamini kweli wapinzani walikusudia kumwaga damu.

  • Wananchi wengi wataogopa kupiga kura na watakaopiga watapigia CCM kwa maana ni chama kisichotaka kumwaga Damu.
Mpango huu huko well coordinated.
My take
Tupeleke ujumbe kwa ndugu zetu walioko hasa vijijini na kuwaeleza mpango huu mbaya wa CCM.
Naamini CHADEMA mnamashushu wenu tafadhari watumieni ili kuzima mpango huu mbaya kabisa wa CCM

Siyo kupeleka ujumbe peke yake bali tuwapigie simu na kuwaeleza kiunaga ubga, jana mimi nilitumiwa sms na mtu wa kijijini na mtu huyu ameshapotoshwa na anaamini kuwa Slaa ni mgomvi. Sehemu nyingi ndio wanavyoaminishwa hivyo.
 
KIKWETE ana kifafa cha ubongo huwezi kuhubiri amani wakati wewe ndio unaeneza imani za umwagaji damu kwa wananchi hivi CHADEMA kweli hawana hata fedha ambayo wanaweza kutumia kuelezea wananchi mbinu za kikwete kwamba ni mroho wa madaraka aliyetayari kuuwa au kutumia mbinu zote za ghiriba wakatumia mifano alivyo tumia ujanja kumuua Sumaye kisiasa,kwa kutumia takwimu za kumpendelea,baadaye magazeti ya Habari corparation halafu visasi alivyovifanywa kwa akina mwandosya kutokuwapa wizaya Dr Salim walivyomchafua,alivyo mdharau Raisi Mkapa kwa kumtungia uongo mwingi wa kumharibia jina lake na hivi sasa anavyoaminisha watu kwamba Dr Slaa ataingia kwa damu manake nini,damu imwagike kutoka wapi wakati yeye ndio amri jeshi mkuu
Chadema wasipolidhibiti hili wananchi wengi wataamini manake anawaaminisha watu kwamba wao watakimbia nchi wakati yeye na familia yake ndio wa kwanza watakao yeya kutokana na jinsi walivyojilimbikizia mali wanavyo amini kwamba nchi ni ya kwao,
CHADENA tafadhali waelezeni wanchi kwa uwazi kabisa hila hizi za kikwete nunueni hata kipindi kwa saa moja mukaeleza ukweli natumeni kwenye redio zote za mikoani na hapa Dar musidharau ujumbe huu ni mbaya sana
Namchukia sana KIKWETE kwa ghiriba zake za kutaka kubaki madarakani kwa namna yeyote
 
Back
Top Bottom