Kwanini Serikali inalazimisha wananchi wake waiseme vibaya na waichukie?

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,467
3,381
Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu

Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo?

Kwanini anafanya serikali yote ichukiwe kwa ajili yake peke yake?

Je, watu wazuri na makini wa kuisimamia hiyo wizara wameisha kwenye hii nchi??

Waziri Makamba January utaruhusuje mchakato ndani ya wizara yako uagizaji wa nguzo za umeme nje na ili hali tunaviwanda vingi vizuri vinavyozalisha nguzo za umeme hapa nchini na vilivyodhibitishwa na shirika la viwango nchini TBS?

Ni kwanini tuichukie serikari kwa lazima ya mtu mmoja?

Na ukweli ukisemwa sana mwishoni huwa kero kwa wahusika na kuanza kuteka watu kisa umesemwa ukweli!!

Mungu anawaona!!
 
Ushavuta posho ya kalemani au sio
Haki ya Nani hili taifa ni la watu wa hovyo sana ukiwepo na wewe!

Inawezekanaje Tanesco waagize nguzo nje na wakati viwanda vya kuzalisha vipo na nguzo zake zinatumika hata sasa kama sio ufisada wa mafisadi unaofanyika sasa? Halafu wewe unatetea,

Jinga kabisa!
 
Kwahiyo Makamba ndio kaamua mwenyewe kuagiza hizo nguzo nje? Kama akili yako inakutuma kuamini kuwa Makamba yeye binafsi ndio kaamua, basi uko kwenye usingizi mzito.
 
Aseme sasa ili aondoke kwa kadhia hii!! La sivyo sisi tunajua ni yeye
 
Nyie pigeni kelele, derm ashachukua iyo tenda kitambo anapiga pesa
 
Haiwezekani Serikali ilazimishe wananchi wake waanze kulumbana nayo kwa kuisema vibaya na kuichukia kwa sababu ya mtu mmoja tuu

Huyo Waziri wa Nishati anafanya nini hapo?

Kwanini anafanya serikali yote ichukiwe kwa ajili yake peke yake?

Je, watu wazuri na makini wa kuisimamia hiyo wizara wameisha kwenye hii nchi??

Waziri Makamba January utaruhusuje mchakato ndani ya wizara yako uagizaji wa nguzo za umeme nje na ili hali tunaviwanda vingi vizuri vinavyozalisha nguzo za umeme hapa nchini na vilivyodhibitishwa na shirika la viwango nchini TBS?

Ni kwanini tuichukie serikari kwa lazima ya mtu mmoja?

Na ukweli ukisemwa sana mwishoni huwa kero kwa wahusika na kuanza kuteka watu kisa umesemwa ukweli!!

Mungu anawaona!!
Sisi tunaipenda labda kama wewe una shida binafsi na makamba.
 
Back
Top Bottom