Kwanini serikali imetoa mikopo kwa wanachuo 25000 tu mwaka huu?

Nov 27, 2016
10
2
Mwaka huu serikali imetoa mkopo kwa wanachuo 25000 wakati mwaka jana waliwapa mkopo wanachuo 48000. je ni kwa sababu gani?

A;Zilikuwa mbwembwe za uchaguzi ili wapate kula.
B;Baada ya mwaka mmoja tu serikali imefilisika.
C;Watanzania wanatakiwa wafanye kazi tu.
D;Wanachuo wamekuwa wagumu kulipa mikopo yao.
E;Watanzania wameshakuwa na utajiri wa kujisomesha wenyewe bila msaada wowote.
F;Ni mpango wa kupunguza wasomi.

Hii ni mitazamo yangu tu nashindwa kupata jibu msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom