Kwanini Serikali imelifungia gazeti la the Citizen?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,809
13,437
Wanajanvi,

Ni kwanini Serikali imelifungia gazeti la the citizeni?

Je, ni kulipa kisasi cha gazeti tajwa kwa kufichua ile kampuni ya kitapeli ya KENYA?

Je, ni kuripoti juu ya kushuka kwa thaman ya shiling dhidi ya dola? Kama majibu ya maswali hapo juu ni kweli.

Je, Serikali ilitaka gazdti husika liandike nini juu ya maswali hapo juu?

Je, sio kweli kwamba thamani ya shiing imeshuka sababu kubwa ikitajwa kuwa ni kukurupuka kwa mtawala katika ununuzi wa korosho na mbinyo wa kimataifa Je, sio kweli kwamba kampuni ile ya kenya ni ya kitapeli?

Kufungia magazeti ni dawa? Je sio kweli kuwa teknolojia imekuwa sana na vyanzo vya taarifa na maarifa vimekuwa vingi?

KAMA KWELI ANAONHOZA VIZURI KWANINI ANAOGOPA KUKOSOLEWA?
 
Mmmmh fungua fungia hii nayo ni shida, lakini haijaanza na Magufuli kule nyuma mengine yalifutwa kabisaa
 
Gazeti la The Citizen kufungiwa kwangu ni habari mpya lakini kwa awamu hii si jambo la ajabu kutokea! Hata hivyo yote haya yana mwisho!
 
Wanajanvi,

Ni kwanini Serikali imelifungia gazeti la the citizeni?

Je, ni kulipa kisasi cha gazeti tajwa kwa kufichua ile kampuni ya kitapeli ya KENYA?

Je, ni kuripoti juu ya kushuka kwa thaman ya shiling dhidi ya dola? Kama majibu ya maswali hapo juu ni kweli.

Je, Serikali ilitaka gazdti husika liandike nini juu ya maswali hapo juu?

Je, sio kweli kwamba thamani ya shiing imeshuka sababu kubwa ikitajwa kuwa ni kukurupuka kwa mtawala katika ununuzi wa korosho na mbinyo wa kimataifa Je, sio kweli kwamba kampuni ile ya kenya ni ya kitapeli?

Kufungia magazeti ni dawa? Je sio kweli kuwa teknolojia imekuwa sana na vyanzo vya taarifa na maarifa vimekuwa vingi?

KAMA KWELI ANAONHOZA VIZURI KWANINI ANAOGOPA KUKOSOLEWA?
Mimi sikumbuki lini nimesoma gazeti Lakini niko well informed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom