Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,900
Wakuu poleni na majukumu,
Natumaini kila mmoja anaendelea kuchukua hatua za kujikinga na Corona. Turudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nilikuwa na wasaa wa kupita pale darajani kama mara mbili kuna utofauti unaonekana naipongeza Serikali kwa hilo.
Lengo la ujenzi ni kupunguza msongamano na bila shaka ili tutaliona baada ya kukamilika. Je, kile kituo hakitokuwa kikwazo kulingana na wale abiria watakaoshushwa na kupakiwa na mabasi ya mwendokasi maana, itamuitaji mtu aliye kwenye kwenye chombo cha usafiri kusubiri abiria wavuke wanao ingia na kutoka kwenye kituo pale anapokuwa anataka kupanda au kushuka daraja.
Abiria kutoka pointi A na B
Chukulia mfano pale TAZARA kuwe na mwingiliano wa abiria kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
Karibuni