Kwanini Serikali iliamua kurudisha kituo cha Ubungo Maji?

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
9,019
21,900
Wakuu poleni na majukumu,

Natumaini kila mmoja anaendelea kuchukua hatua za kujikinga na Corona. Turudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nilikuwa na wasaa wa kupita pale darajani kama mara mbili kuna utofauti unaonekana naipongeza Serikali kwa hilo.

Lengo la ujenzi ni kupunguza msongamano na bila shaka ili tutaliona baada ya kukamilika. Je, kile kituo hakitokuwa kikwazo kulingana na wale abiria watakaoshushwa na kupakiwa na mabasi ya mwendokasi maana, itamuitaji mtu aliye kwenye kwenye chombo cha usafiri kusubiri abiria wavuke wanao ingia na kutoka kwenye kituo pale anapokuwa anataka kupanda au kushuka daraja.

IMG_8518.JPG

Abiria kutoka pointi A na B

IMG_8520.JPG

Chukulia mfano pale TAZARA kuwe na mwingiliano wa abiria kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.

IMG_8521.JPG

Karibuni
 
I see your point. Kivuko cha watembea kwa miguu kitahitajika kuepuka watembea kwa miguu ku-slow traffic hapo karibu na daraja.
Na ikiwa hivyo, dhana nzima ya ujenzi wa daraja hilo itakuwa muflis.
Time will tell.
 
Na kwa sasa foleni imehamia shekilango ukitokea ubungo
 
I see your point. Kivuko cha watembea kwa miguu kitahitajika kuepuka watembea kwa miguu ku-slow traffic hapo karibu na daraja.
Na ikiwa hivyo, dhana nzima ya ujenzi wa daraja hilo itakuwa muflis.
Time will tell.

Maana haiwezekani mtu amalize daraja tena asubiri abiria wavuke kutoka kwenye kituo cha mwendokasi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom