Kwanini Serikali haitaki kumuenzi Forojo Ganze aliyeasisi Mwenge na dua yake?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,313
Forojo Ganze a.k.a Master,alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya Uhuru kule Bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha Rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere), zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo.

Forojo Ganze alikuwa ni kiongozi wa Vigwangala na Vingunge vilivyokithiri kwenye elimu ya mambo ya gizani.
Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni.

1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920,2.Ally tarazo(1929),3.Komwe wa Komwe(1918),4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na 5.Forojo Ganze (1902)
 
Hii Nchi INA mabalaa kwasababu damu nyingi ya watu wasio na hatia imemwagwa kwenye makafara ya kisiasa
Sasa hivi wanaambiwa wavute bangi, yaani baada ya miaka mitano nahisi wanaweza ata waka u-level mlima wa Kilimanjaro
 
Bonde la Baraka,
Hebu Ona hii laana.
Isaya
11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Bonde la Baraka,
Hebu Ona hii laana.
Isaya 50
11 Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Forojo Ganze a.k.a Master,alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya Uhuru kule Bagamoyo, walipewa kazi ya kuhakikisha Rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere), zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo.

Forojo Ganze alikuwa ni kiongozi wa Vigwangala na Vingunge vilivyokithiri kwenye elimu ya mambo ya gizani.
Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni.

1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920,2.Ally tarazo(1929),3.Komwe wa Komwe(1918),4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na 5.Forojo Ganze (1902)
Source

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom