Kwanini serikali haipigi marufuku sherehe za Simba day saa za kazi?!

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!

Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
 
Simba Ndiyo Tanzania Ni Timu Kubwa Sana Barani Africa. Huwezi Kuzuia Jambo Lolote
Mtani Kanywe Maji Baridi Chimpumu Ikae Sawa Tumboni.
Yanga Bariidii Haina Mvuto
Nahitaji majibu ya Mambosasa!
 
Kwanini serikali haijapiga marufuku maadhimisho ya uhuru na muungano kwenye siku za kazi?
 
Ni wivu tu
IMG_20190804_181941.jpeg
 
Marufuku zile ni wivu wa kisiasa, kwani za kazi za ofisi za serikali ni kwa wachache, wengi wana mipangilio tofauti na hata hicho unachozuia nayo ni kazi. Mikutano ya kitini inakusanya watu wengi lakini mbona haizuiwi?
 
Burudani ya Simba ndio inakutoa kazini... kumbe hata mechi za ligi zipigwe wknd tu?
 
Back
Top Bottom