Kwanini Serikali haijengi Techinical College Kanda ya Ziwa badala yake wanarundika vyuo vyote Dodoma?

Ruvuma iko karibu na Dar? Kwa fikra zako nyepesi haistahili kuwa na chuo chochote isipokuwa Mwanza?
Sasa Kama Kuna wasomi wengi huko Kanda ya ziwa unalilia vyuo ili iweje si wapelekewe hao wasionavvyo?
Ruvuma nyanda ya juu kusini jumlisha mbeya the same
 
Hoja yako inakosa mantiki. Kwani unataka chuo ili watu wa Kanda ya ziwa wasisafiri au kwa kuwa kuna hao unaowaita wasomi wengi? Huo usomi mwingi waliupata wapi, ni hapo hapo au wapi? Mbona Tanga, ni mji mkubwa hawana chuo, Tabora, Mtwara( ingawa Mtwara kwa kusini wana chuo Kikuu kimoja na vyuo vidogo vya kati kama TIA, MATC, OUT) nk
Panapo na chuo kuna fursa nyingi za biashara sio tu elimu
 
Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA TECHNICAL COLLEGE

Eneo la Kanda ya Ziwa ndo linalotoa wanafunzi wengi sana kwenye TECHNICAL College kulingana na vijana wa ukanda huo kupendelea masomo ya engineering.

Dodoma tayari ina vyuo vingi sana hivyo Serikali iangalie jinsi ya kusambaza vyuo kama hivi maeneo mengine.

Pia kwa Kanda ya Ziwa hakuna huo cha maana cha Serikali kinacho-deal na mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Ombi langu kwa Serikali naomba sana Technical College Mwanza ipanuliwe ili watu wasome Diploma mbalimbali za engineering na niikumbusheTechnical za aina hii zipo Mbeya, Arusha na Dar es salaam.
VYUO havitosh Dodoma mkuu labda NIT UNIVERSITY itakapo kamilika ndo kidooogo tutafikiria kutosha was vyyo Dodoma
 
Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA TECHNICAL COLLEGE

Eneo la Kanda ya Ziwa ndo linalotoa wanafunzi wengi sana kwenye TECHNICAL College kulingana na vijana wa ukanda huo kupendelea masomo ya engineering.

Dodoma tayari ina vyuo vingi sana hivyo Serikali iangalie jinsi ya kusambaza vyuo kama hivi maeneo mengine.

Pia kwa Kanda ya Ziwa hakuna huo cha maana cha Serikali kinacho-deal na mambo ya Sayansi na Teknolojia.

Ombi langu kwa Serikali naomba sana Technical College Mwanza ipanuliwe ili watu wasome Diploma mbalimbali za engineering na niikumbusheTechnical za aina hii zipo Mbeya, Arusha na Dar es salaam.
Tulianza na Mbuga ya wanyama (Burigi), Kiwanja cha ndege (Chato), na hata mradi wa SGR tumeulekeza huko, tukatelekeza ile ya Kigoma ambako kumechoka zaidi. Kwahiyo, usijali , vyuo vitakuja tu.
 
Ndo akili yako ilivyo kutuma! Nimepokea ila tumia lugha nzuri!
Jua kuwa mnatia hasira (this is beyond kusikitika). Kuna wakati mtu unasikitika mpaka unapata hasira - ndio kilichonitokea. Siombi samahani, sikukutukana - nimeelezea state of your mind!!
 
Unamtukana mzungu wakati una betri yake kwenye moyo
Akajizuia asisafiri kwenda kwenye nchi zao...
Akaitenga Tanzania na washirika wake wa maendeleo...
Akajiimarishia ulinzi mkali...
Akajificha Chato...
Akajiimarishia maendeleo kijijini kwao...
Lakini Wapi!
 
Akajizuia asisafiri kwenda kwenye nchi zao...
Akaitenga Tanzania na washirika wake wa maendeleo...
Akajiimarishia ulinzi mkali...
Akajificha Chato...
Akajiimarishia maendeleo kijijini kwao...
Lakini Wapi!
Mzungu katutangulia hilo halina ubishi alitakiwa kuishi nao kwa akili tu ye hakujua hilo
 
Mleta mada ana hoja lakini Raha ya Elimu uifuate mbali na nyumbani ,kumbukumbu zinaonyesha wasukuma na wahaya ndiyo wamefuata elimu huku Dar es Salaam,wenyeji siyo wengi. mawazo ya kujenga chuo kikuu kila kanda,labda kwa ajili ya kutoa ajira kwa watumishi wa ngazi za chini.
Kiongozi, hiyo dhana ya raha ya elimu iwe mbali, naomba isifike kwa vijiji navyo visiwe na shule za msingi na watoto wafuate shule makao makuu ya Kata.
Just a joke!
 
Sukuma gang mnaisoma namba kwelikweli. Wakati jiwe yupo badala ya kudai chuo mkashangilia alipojenga li eyapoti kijijini kwake. Sasa mkae kwa kutulia
 
Kanda ya Ziwa Magufuli tu ndio alipakumbuka. Hata home boy Nyerere hakupakumbuka.

Ukiangalia mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa nchi hii na miradi ya maendeleo ambayo serikali inapeleka kule havilingani.

Angalia, kwa takwimu za BOT, Kanda ya Ziwa inachangia zaidi ya 35% ya pato la Taifa lakini hakuna chuo kikuu cha serikali kinachoeleweka, hakuna maendeleo, hakuna uwekezaji wowote serikali imefanya.

Magufuli apumzike kwa amani tu.
Kanda ya Ziwa Ni Kama Kuna mkakati wa kuidumaza. Hakuna uanja wa ndege wa kimataifa. Hakuna Hospital kubwa ya serikali, hakuna chuo kikuu Cha serikali, hakuna chochote Cha serikali.
 
Viongozi wote ukitoa hayati magufuli wamejaa chuki dhidi ya kanda ya ziwa.
 
Wewe unafikiri kwann Kalemani kaondolewa?

Serikali haitaki Wasukuma wawe Wataalamu! Ndiyo maana Magufuli alikuwa ana lazimisha MAENDELEO YAENDE KANDA YA ZIWA. Kwa sasa baada ya JPM kuondoka taraatibu Serikali imeanza kurudishareverse ili Wasukuma wabaki palepale.

Sina hakika kama UDSM , UDOM, SOKOINE, IFM au BUSINESS COLLEGE kama wana Branches zao Kanda ya Ziwa( Kwa maana ya Mwanza)

Ukichungulia kwa jicho la tatu unaweza kugundua kuna Ubaguzi wa chinichini kwa Sukumaland.
Kwani Kanda ya ziwa ni wasukuma peke yao? mbona unawaongelea wasukuma tu?

Ila pia mbona KWa Sasa wasukuma wapo wengi na wamepiga shule mzuri tu
 
Kanda ya Ziwa Ni Kama Kuna mkakati wa kuidumaza. Hakuna uanja wa ndege wa kimataifa. Hakuna Hospital kubwa ya serikali, hakuna chuo kikuu Cha serikali, hakuna chochote Cha serikali.
Na huu ndo ukwel ndo maana magufuli aliliona hili akamua kuleta maendelea japo watu kwa chuki zao walipiga vita sana. Kwanini wakenya wanaendelea ni kwasababu ni wazalendo na wanapenda nchi yao ukienda kisumu, nakuru, mombasa adi Nairobi miji yote ina miundo mbinu bora, vyuo vya serikali vimejengwa bila upendele na miradi inapelekwa kwaajili ya wananchi na kwa taifa kwa ujumla.Hukija huku ni useng#@ na chuki tu dhidi ya maeneo fulani, ni bora tujitenge tuwe na nchi mbili kama Sudani.
 
Watu wananiona kama napendelea kanda ya ziwa kwenye maada hii! Ila naangalia population,economic power ya kanda ya ziwa alafu chuo kikuu cha serkali hamna hii haiko sawa!
Achana na hii serikali ya mafala wasiojua potential ipo wapi ndo maana hili linchi litaaki hivi hivi miaka 1000, waendelee kujenga dar na pwani kwa watu wa huko ndo wanastahili kusoma na miundombinu bora.
 
Kusini Mtwara,Lindi na Ruvuma Kuna chuo gani au nao sio Watanzania?
Magharibi pia Kuna chuo kipi?
Ninyi watanzania wa Kanda ya ziwa, Pwani na kaskazini ndio mnajikuta watanzania zaidi ya wenzenu au sio?
Kanda ya ziwa kuna chuo gani cha serikali ata miradi imekuja kipindi cha hayati Magufuli R.I.P.
 
Back
Top Bottom