meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Nimekutana na mjadala kwa muuza Tangawizi mitaa ya Saigoni pale migomigo kama kawaida wanajadili kuhusu kinachomkuta Ole Sabaya lengai.
Januari 2001 katika viunga vya pemba na unguja inasemekana palitokea patashika kubwa kati ya wafuasi wa CUF ngangari na jeshi la polisi ngunguri.
Patashika hii ilipelekea askari polisi kuchinjwa na baadhi ya wafuasi wa CUF kuuawa na wengine inasemekana walitoswa baharini walipokuwa wanakimbilia mombasa.
Sakata hili lilizua taharuki kubwa sana na vyombo visema mabaya ya Africa ikiwemo BBC,DW na CNN viliripoti sana na hata baadae kupitia BBC HARD TALK ilibidi Mr Clean Hayati Benjamin Mkapa aongee kwa ukali kujitetea.
HOJA YANGU
Kwa namna yoyote ile wapo walioumizwa na sakata hili na wapinzani hasa wakiongozwa na chama kikuu cha upinzani wakati huo Civic United Front chini ya Ibrahim lipumba na hayati maalimu Seif walipiga kelele sana ila ziliishia hewani.
SWALI:
Je ni muda muafaka wa kumuuliza kisheria ndugu Commandoo Salmin Amour na wahusika wengine kama kina Fredrick Sumaye juu ya sakata hili ?
MAJIBU MNAYO SASA KARIBUNI KUJADILI