Kwanini Russia hataki kuwekeza kwenye Aircraft Carrier kama USA?

Sasa nenda huko unapogoogle andika list ya aircraft carrier owned by USA, wataziweka kwenye makundi ya aina zake, nenda kwenye kundi la Amphibious Assault Ship, angalia hapo kama hauta ikuta USS Iwo Jima
Ila mkuu kubali ukatae una Ujuaji wa kijinga.
Maana unabisha kwa kitu ambacho kiko wazi.
 
Unajua wew ndio unaoneka mjinga, me na kupa fact wewe unabishia ujinga... Ila umejifunza kitu leo mwangau na ujinga umekutoka kwa namna flani hivi
 
Ila mkuu kubali ukatae una Ujuaji wa kijinga.
Maana unabisha kwa kitu ambacho kiko wazi.
Na hapo juu Egypt imewekwa ya kwanza kabisa kwenye mfumo wa alphabet wewe kilaza sana
IMG_20210113_194718.jpg
 
Na hapo juu Egypt imewekwa ya kwanza kabisa kwenye mfumo wa alphabet wewe kilaza sana View attachment 1676699
Mbona kama tunapoteza muda kwa vitu vya kijinga sana mkuu.kuna tofauti kubwa tu ya Aircraft carrier na helicopter carrier.
Misri ina helicopter carrier 2 walizonunua kutoka kwa wafaransa.
Aircraft carrier ni uwanja wa ndege ndugu.unaweza ukabeba F-16 na kizirusha angani, ila kwenye helicopter carrier uwezi fanya ivyo ndugu.
 
Kipindi cha cold war, wakati USA anainvest kwenye kumodernise Nuclear Warheads zake yeye Russia aliamua kuproduce Nuclear Warheads nyingi zaidi. Ina maana US akawa anazo chache advanced lakinj Mrusi akawa na nyingi za kawaida!, bado haingeweza kufanya nani ashindwe sababu ilikuwa hakuna mshindi anayebakia.
Mwaka huu tu Wachambuzi wa masuala ya Ulinzi US wakafanya Simulation kuangalia jinsi gani hii vita itaamulika bado wanaona Mrusi akiingia vitani anaenda imaliza Ulaya nzima kabla hajaenda US hiyo yote akitokea Moscow!.
Aircraft Carrier sio uwanja mzuri kuutumia kwa nchi kama Russia na China labda kwa North Korea na sisi nchi za tatu huku. Kule zitazamishwa na nyumbani patapigwa tu.
Kumbukeni Russia hajasaini First Strike Policy, kwake kutumia Nuclear ni kugusa tu!.
Bro unamaanishaa US akiingiaa vitan na RUSSIA atatumia hizi AC tuu au itakuwa mojawapo ya maeneo au sehem ya Silaha....,Kwamba aya madubwasha yalioko majini yazuie Washington kupigwa...?? Au Russia yy kuzamisha aya madubwasha ndo iwe ameweza kumpiga US na wala Moscow haitapigwaa...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume
Watu wengi sana wamekuwa wanajiuliza hilo swali na kuona kwamba kitendo cha kuto kiwa na hizo aircraft carrier ni kosa kubwa mno kwa Urusi.

Billi Clinton, Rais wa Zamani wa USA aliwahi kusema kwamba Endapo kutatokea Vita kubwa cha kwanza USA watakacho jiuliza ni je ziko wapi aircraft carrier?

Ziko salama huko ziliko?

Maana yake ni kwamba aircraft carrier za USA si salama kabisa kwa Major War na nni hatari tupu na ukisoma hata Wachambuzi wa kivita wanasema kwa vita kubwa kabisa inabisi USA afiche aircraft carrier zake.

Kwa nini?
1. aircraft carrier moja inaweza kuwa na askari na wafanyakazi wapatoa 15,000/ hii ni hatari mno kwa shambulio moja tu inakuwa ni hasara ya karine kwa Usa.

2. Kwa sasa nchi kama China na Russia tiyari wana Makombola ya kuweza kuzamisha Meli hizi za USA hii ndo huwa kila mala inaibua mijadala hata kwenye Bunge la Marekani.

3. Hasara kubwa itakayo patikana endapo Meli hii itazama. Kumbuka ni Meli ghari sana sasa inazamishwa na Ndege kama 30 au 7p hivi plus wanajeshe kama 15,000.

Uki google kuna Mijadala sana kwenye Bunge na hata Congress ya Marekani kuhusu aircraft carrier kama bado zinahitajika au la.

Urusi kuona hivyo ndo maana yeye nawekeza kwenye Meli za kawaida na Nyambizi pamoja na Makombola mengine.

Aircraft carrier ni kwa Vita na nchi ndogondogo hizi ambazo hazina techinolojia ya kutosha kuweza kuzamisha hizo meli.

Ila huwezi peleka aircraft carrier kwenye Full war na Nchi kama China au Urusi.

Kwenye Fullu War hizo aircraft carrier zita fichwa kabisa make kwanza ndo zitakuwa Target namba 1 make mpigo mmoja impact ni kubwa sana.

HIVYO Urusi haoni haja ya kuwa na aircraft carrier kwa sababu hajiandai kupigana na nchi ndogo bali kubwa na nchi kubwa hizo aircraft carrier hawezi zipeleka mbele kamwe.

Urusi ana jiandaa na Silaha za masafa marefu anaipiga New York akiwa Moscow.
Umejiuliza na umejibu vipi Una sonona nini??
 
Hii ni deck ya USS Iwo jima ni Aircraft carrier Amphibious Assault Ship, acha ulimbukeni kama haujui vitu nyamaza
images%20(4).jpg
 
Back
Top Bottom