Kwanini Russia hataki kuwekeza kwenye Aircraft Carrier kama USA?

Yani uzi umejaa sana ushabiki huu.eti mtu anakuja mbele za watu anakwambia Urusi hana uwezo wa kutengeneza Aircraft carrier.huu si utani huu jamani kwani kwenye Aircraft carrier kuna nini cha ajabu pale.hata Tanzania tukiamua kutengeneza wala hatuwezi kushindwa maana ile sio siraha bali ni uwanja
Wewe nae umeanza vizurii ilaa ukazngua mwishon, Tanzania ipii yenye uwezo wa kutengeneza hayaa madubwashwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hawa watu. Ford class imetumia zaidi ya $13 billion, zaidi ya trilioni 28 za kibongo na hiyo ni meli moja tu. Leo hii mtu anatoka Mabwepande uko anasema Tanzania nchi isiyojua kutengeneza hata bajaj inaweza carrier

Kama China hadi leo wamejenga mbili tu. Tanzania ndio tujenge hata moja kwa uwezo gani.
 
Ndugu kiukweli unaferi ile mbaya.kwa iyo nuclear ice breaker na iyo aircraft carrier ipi ni technolojia rahisi ndugu maana naona kama vile umeizarau Ice breaker.kifupi ni kwamba hakuna kitu amacho marekani atatengeneza alafu urusi hasiweze kutenveneza, icho kitu kwa duniani kiukweli hakuna ndugu.

Kazi kubwa ya iyo Aircraft carrier ni kubeba ndege na kuzirusha wala hakuna kazi nyingine tofauti na iyo ndugu, sasa kwa Urusi yeye hana umuhimu wa kubeba ndege na kuzunguka nayo baharini.msilazimishe kitu kuonekana muhimu wakati kiukweli wala hakina umuhimu kwa mataifa makubwa
Sasa kumbe hata silaha huzijui.
Unalinganisha nuclear icebreaker dhidi ya aircraft carrier?

Unalinganisha trekta la kukwangua barabara dhidi ya kifaru (main battle tank) kisa vyote vina tracks-minyororo.
 
Ipi silaha hapo kati ya izo mbili ndugu?.maana Ice breaker inapasua mabarafu ili meri vita zipite.wakati Aircraft carrier inabeba tu ndege.sasa Aircraft carrier kama haipo ndege zitapaa na kufika sehemu husika bila shida yoyote ile.

Ila kama Ice breaker haipo basi ni lazima usubiri mpaka barafu ziyayuke ndo uendelee na safari yako .sasa hapo kipi ni muhimu zaidi ndugu
 
Hapa naona jamaa umeanza kuzngua sasa...AC ni platform kaka....hii kitu inaambatana na vitu vingi ili ijulkne ivyoo, huwez kusema ile ni shule wakti, hkn walimu, madawati hakn wanafunz vitabu mazngira ya kufunza na kujifunzia ..

Kwa uelewa wangu...AC strike group..ni combination ya vitu vifuatavyoo....

AC main Deck
Destroyers squardron
Submarines
Surface to air launcer (Carrier air wing)65 mpk 70 air craft hapa kuna bombers, helcopiters
Crew of 6k to 7.5k
Cruisers
Frigates
Supply Ship au Logistic ship
Mifumo ya Kiulinz....

Sasa unaposema ni uwanjaa tuu unamaanishaa nini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani uzi umejaa sana ushabiki huu.eti mtu anakuja mbele za watu anakwambia Urusi hana uwezo wa kutengeneza Aircraft carrier.huu si utani huu jamani kwani kwenye Aircraft carrier kuna nini cha ajabu pale.hata Tanzania tukiamua kutengeneza wala hatuwezi kushindwa maana ile sio siraha bali ni uwanja
Eng Songoro hashindw kudizain hiyo kitu mchawi mtaji tu.
 
Ndugu kiukweli unaferi ile mbaya.kwa iyo nuclear ice breaker na iyo aircraft carrier ipi ni technolojia rahisi ndugu maana naona kama vile umeizarau Ice breaker.kifupi ni kwamba hakuna kitu amacho marekani atatengeneza alafu urusi hasiweze kutenveneza, icho kitu kwa duniani kiukweli hakuna ndugu.

Kazi kubwa ya iyo Aircraft carrier ni kubeba ndege na kuzirusha wala hakuna kazi nyingine tofauti na iyo ndugu, sasa kwa Urusi yeye hana umuhimu wa kubeba ndege na kuzunguka nayo baharini.msilazimishe kitu kuonekana muhimu wakati kiukweli wala hakina umuhimu kwa mataifa makubwa
Moja ya upumbavu wako ni kunadhani ni safe kudeploy Aircraft carrier in frozen waters, hizo cargo na tanker ships huwa zina maintain direction moja na hazihitaji ku accelerate ghafla wala hazihitaji maneuver kwenye safari zake.

Aircraft carrier inatakiwa iwe in sustained speed kwenye maji ikiwemo speed ya atleast Knots 20 kwa saa na huwa zina punguza mwendo kama kuna ndege zinataka kutua au kama zipo maeneo salama.

Pia inatakiwa iwe agile, kuwa agile ni pamoja na kuchange direction kwa haraka na kuongeza speed kwa haraka.. Hivi vitu ni difficult na vinatumia muda mwingi kwenye maji yaliyo ganda.

Acha upumbavu Russia yenyewe huwa ina deploy submarines kwenye hayo maeneo ya Arctic fuatilia utakuja kugundua kwanini Russian alikuwa yupo interested kwenye development ya Akura na Oscar class subs na hata baada ya Akura aliopt na Yasen class ambazo ni kama upgraded vision za Akura na hata baada ya Yasen, mwaka 2019 Russia ilireveal mradi wakutest nyambizi mpya za Class ya Laika.

Sababu kubwa ya Russia kuinvest kwenye subs ni kwakuwa ni cheaper option ya kujirinda than Aircraft carriers, pia ni convenient kuwadeployed kwenye frozen water.
Acha uzwazwa kilaza.
Ona hapo kwenye picha kuna K-560 Severodvinsk cruise-missle Yasen class submarine ipo kwenye frozen water katika kituo chake kazi kwenye kikosi cha Zapadnaya Litsa, Murmansk Oblast Northwest District.
%D0%9A-560_%C2%AB%D0%A1%D0%B5%D0%B2%D0%B5%D1%80%D0%BE%D0%B4%D0%B2%D0%B8%D0%BD%D1%81%D0%BA%C2%BB.jpg
 
Urusi kwa sasa hana uwezo wa kutengeneza aircraft carrier. Usije dhani yale ni mavyuma tu wanaunganisha, ona US wana Ford class yao ya kwanza imetumia dola bilioni 13 lakini hadi leo haina weapons systems miaka zaidi ya mitatu tangu ikamilike. Walikuwa na stealth Zumwalt destroyers nazo zilikaa sana hazina effective weapons. Na hii ni nchi yenye aircraft carriers 10 zikiwemo Nimitz kubwa zaidi kuliko kina HMS Queen Elizabeth, Admiral Kuznetsov, Liaoning, Vikramaditya na nyingine.

Military industrial complex ya Soviet Union ilikuwa imegawanywa kwamba meli zinatengenezwa Ukraine. Wao Ukraine mpaka ile 2014 ndio walikuwa wanaiuzia Russia steam engine na gas engine kubwa za kuendeshea meli za kivita. Crimea ilipotwaliwa kulikuwa na order zikakatishwa. Kama Russia ana teknolojia ya meli kubwa za kivita, kwanini alinunua Mistral mbili kutoka Ufaransa. Tena kwenye mkataba kuna maelezo kuwa nyingine order zitatengenezwa Russia na watapewa baadhi ya tech. Kwanini NATO ilikataa mkataba huo?

Shipyards za USC, Sevmash (wazuri sana kwa submarines), Admiralty shipyard, Zvezda ambao ni wakubwa hawana uwezo wa kujenga carrier yenye kuhitaji resources nyingi sana na experience kubwa.

Kuna mtu kalinganisha icebreaker na mapichapicha kibao hapo juu kuonesha uwezo wa kujenga meli kubwa. Huwezi linganisha dude linalotembea tu baharini likipasua barafu dhidi ya meli ya kisasa yenye ulinzi na kushambulia. Yani kwa vile Massey Ferguson na John Deere wanatengeneza trekta basi utataka udhani wanaweza kifaru.
Mkuu kwa hii comment umeniangusha sana ,mm nadhani kitu kinacho ifanya Urusi isiwekeze sana kwenye hayo madude ni pesa tu na si kukosa ujuzi wa kuyatengeneza maana yanatumia gharama kubwa sana kuyaendesha na kuya tunza.
Hata hivyo mwaka 2018 shirika linalo fuatilia masuala ya amani duniani lenye makao yake nchi Swiden lijulikanalo kama SIPRI ,lili toa ripoti ya kwamba Urusi ipo kwenye matengenezo ya aircraft carrier 2 ,ambapo kila aircraft carrier 1 itakuwa na uwezo wa kubeba ndege 75 na pia kurusha ndege 5 kwa wakati mmoja kila baada ya dakika tano na matengenezo yake yatakamilika mwaka 2023.
Kwa hiyo mkuu tatizo sio ujuzi tatizo ni pesa.
 
Moja ya upumbavu wako ni kunadhani ni safe kudeploy Aircraft carrier in frozen waters, hizo cargo na tanker ships huwa zina maintain direction moja na hazihitaji ku accelerate ghafla wala hazihitaji maneuver kwenye safari zake.

Aircraft carrier inatakiwa iwe in sustained speed kwenye maji ikiwemo speed ya atleast Knots 20 kwa saa na huwa zina punguza mwendo kama kuna ndege zinataka kutua au kama zipo maeneo salama.

Pia inatakiwa iwe agile, kuwa agile ni pamoja na kuchange direction kwa haraka na kuongeza speed kwa haraka.. Hivi vitu ni difficult na vinatumia muda mwingi kwenye maji yaliyo ganda.

Acha upumbavu Russia yenyewe huwa ina deploy submarines kwenye hayo maeneo ya Arctic fuatilia utakuja kugundua kwanini Russian alikuwa yupo interested kwenye development ya Akura na Oscar class subs na hata baada ya Akura aliopt na Yasen class ambazo ni kama upgraded vision za Akura na hata baada ya Yasen, mwaka 2019 Russia ilireveal mradi wakutest nyambizi mpya za Class ya Laika.

Sababu kubwa ya Russia kuinvest kwenye subs ni kwakuwa ni cheaper option ya kujirinda than Aircraft carriers, pia ni convenient kuwadeployed kwenye frozen water.
Acha uzwazwa kilaza.
Ona hapo kwenye picha kuna K-560 Severodvinsk cruise-missle Yasen class submarine ipo kwenye frozen water katika kituo chake kazi kwenye kikosi cha Zapadnaya Litsa, Murmansk Oblast Northwest District.View attachment 1677891
Mkuu hapa upo unajadiliana na watu wazima na wasitaarabu kwa hiyo jaribu kutumia lugha ya kistaraabu,hapa tupo kwa ajili ya kujadiliana kujifunza na si kutukanana.
 
Haaa mkuu kweli una utani kwa hiyo Misri iweze kumiliki aircraft carrier alafu Russia ashindwe ?
Yaan Misri yenye GDP ya 450$bilion iweze kumiliki aircraft carrier ila Urusi yenye GDP 1.7$tirion isiweze?
Mkuu jaribu kutumia akili kidogo basi.
Naunga mkono. Misri na hizo Mistral, South Korea anayo Dokdo, Japan anazo Izumo na Hyuga, Turkey anatengeneza ya kwake ambayo alitakiwa atumie na F-35 alizokataliwa. Zote hizi hatuwezi ziita aircraft carrier, labda helicopter carrier.
 
Mkuu kwa hii comment umeniangusha sana ,mm nadhani kitu kinacho ifanya Urusi isiwekeze sana kwenye hayo madude ni pesa tu na si kukosa ujuzi wa kuyatengeneza maana yanatumia gharama kubwa sana kuyaendesha na kuya tunza.
Hata hivyo mwaka 2018 shirika linalo fuatilia masuala ya amani duniani lenye makao yake nchi Swiden lijulikanalo kama SIPRI ,lili toa ripoti ya kwamba Urusi ipo kwenye matengenezo ya aircraft carrier 2 ,ambapo kila aircraft carrier 1 itakuwa na uwezo wa kubeba ndege 75 na pia kurusha ndege 5 kwa wakati mmoja kila baada ya dakika tano na matengenezo yake yatakamilika mwaka 2023.
Kwa hiyo mkuu tatizo sio ujuzi tatizo ni pesa.
Russia hatotoa hizo carrier mbili kabla ya 2023, hata moja haitokuwepo. Ni taarifa zao za makadirio hafifu. Hapo SIPRI si utakuta wamenukuu kauli ya USC na Russian MoD.

Silaha ndogo kama T-14 Armata MBT na Boomerang APC wanazipiga tarehe. Hizo Su-57 kila mwaka wanatoa statement mpya. Russia naamini taarifa zao wakizungumzia submarine au air defense systems uko ndio wako serious sana. Ila kwingine wanadelays za kutisha.
 
Lakini mkuu hilo ni shirika kubwa duniani linalo fuatiria matumizi ya kijeshi duniani iweje utilie mashaka ripoti zake?
 
Mkuu hapa upo unajadiliana na watu wazima na wasitaarabu kwa hiyo jaribu kutumia lugha ya kistaraabu,hapa tupo kwa ajili ya kujadiliana kujifunza na si kutukanana.
my bad, kuna watu wanatia hasira.. Maana hawaelewi wapo kama wehu
 
Naunga mkono. Misri na hizo Mistral, South Korea anayo Dokdo, Japan anazo Izumo na Hyuga, Turkey anatengeneza ya kwake ambayo alitakiwa atumie na F-35 alizokataliwa. Zote hizi hatuwezi ziita aircraft carrier, labda helicopter carrier.
kwamba unataka kusema Helicopter na VSTOR capable F53B Multi role fighter jet sio aircraft?
Na wew utaanza kuwa mtu wa hovyo sasahiv
 
Kama huamini facts utaamini nini, kuna vichwa ni kama mbegu juu ya jiwe ni vingumu kuota uelewa
 
Usilazimishe mtu aamini kile unacho kiamini ww na ndio maana ukaitwa mjadara.
Ww elezea kulingana na uelewa wako na yeye aelezee kulingana na uelewa wake hii ndio maana ya mijadara.
Mtu mzima kutukanatukana hovyo bila sababu za msingi ni utoto.
Na hatuwezi kukuacha upotoshe watu, tutakuelekeza hata kwa lugha chafu
 
Lakini mkuu hilo ni shirika kubwa duniani linalo fuatiria matumizi ya kijeshi duniani iweje utilie mashaka ripoti zake?
Sitilii mashaka taarifa za SIPRI. Nenda kawasome source ya taarifa ni ipi then hiyo source ndiyo siamini taarifa zake. SIPRI wametoa taarifa kulingana na Russian MoD, ambao ndio kila siku wanatoa taarifa za silaha zisizotekelezeka. Suala la Su-57 mara ngapi hawatimizi malengo yao
 
kwamba unataka kusema Helicopter na VSTOR capable F53B Multi role fighter jet sio aircraft?
Na wew utaanza kuwa mtu wa hovyo sasahiv
Kajifunze kutofautisha Aircraft Carrier na Amphibious Assault Ship iwe LHD au LHA.

Zile USS Wasp class tisa na American class moja zote zinaitwa Amphibious Assault Ships. Ukiwauliza US Navy au wataalamu wa Navy duniani watakwambia US ina carriers 11 tu. Kama wewe kila meli inayobeba VTOL aircraft na helicopter unaiita aircraft carrier badi unataka kusema US wana carriers 21 ambavyo sio sahihi.

Hata Spain Juan Carlos I yake na ile version waliyouza kwa Australia hatuziiti aircraft carriers. Ila unaruhusiwa kuita helicopter carrier.

Hiyo F-35B inaweza lazimishwa hata kutua kwenye container ship. Haiitaji kuwa arrested na catapult wala eneo la runway.
 
Sitilii mashaka taarifa za SIPRI. Nenda kawasome source ya taarifa ni ipi then hiyo source ndiyo siamini taarifa zake. SIPRI wametoa taarifa kulingana na Russian MoD, ambao ndio kila siku wanatoa taarifa za silaha zisizotekelezeka. Suala la Su-57 mara ngapi hawatimizi malengo yao
Taarifa nyingi za Urusi kuhusu silaha zimejaa propaganda.
 
Back
Top Bottom