Kwanini Russia hataki kuwekeza kwenye Aircraft Carrier kama USA?

Nime kuuliza swali rahisi sana mkuu.
Je siku hizi aircraft carrier ina tengenezwa 750$milion?
Misri haijawahi kumiliki aircraft carrier na atachukua miaka mingi kumiliki.
Eti Urusi hana pesa za kumiliki aircraft carrier? Kwa hiyo hizo anazo zitengeneza sasa hivi ww ndio uliwapatia hiyo hela?
hizo hapo juu ni nini mbona hautaki kujibu?
 
Du! ebu rudi tena shule ndugu maana naona unaongea vitu usivyovijua kabisa.kwanza unajua utofauti ma mile za mraba na mile? Maana nisije nikawa naumiza kichwa kumbe hata unachokiongea ukijui.yani unataka kuniambia kuwa mile 9000 za mraba ni sawa na mile 95.
Wewe ni kilaza fungua kikokotoo kwenye Itel yako tafuta square root ya 9000, kama ni nzima itakuonesha 94.8683298051, maana yake ni eneo lenye ulefu na mapana ya 94.9 na ulefu wa 94.9, umeangushia hesabu nini?
 
Huyu mshikaji ana chekesha sana mkuu eti misri anamiliki aircraft carrier dah.
Labda wenda ana tania.
Ni Mistra class HELICOPTER CARRIER NA SIO AIRCRAFT CARRIER...HATA IRAN NAE AMETENGENEZA HELICOPTER CARRIER ZAKE..
 
Na inaoneakana hamjui, Kiufupi Air craft carrier ni Meli ambayo imeundwa specific kuwa kama platform ya kurusha ama kutua kwa ndege na Helikopta, Aircraf carrier zinakuwa na uwezo wa kujaza mafuata ndege na kuload silaha.
kuna aina nyingi za Aircraft carrier inategemea matumizi mengine iliyo undwa nayo, kwa ukubwa kuna Supercarrier hizi ndio nyie mnazo ziwazia.
lakini kwa matumizi kuna Amphibious assault ship, Anti-submarine warfare carrier, Balloon carrier and balloon tenders, Escort carrier, Fleet carrier, Flight deck cruiser, Helicopter carrier, Light aircraft carrier, Sea Control Ship, Seaplane tender and seaplane carriers pia kuna Aircraft cruiser.
Misri inamiliki aina ya Aircraft carrier za Amphibious assault ship ambazo ni ENS Anwar El Sadat na ENS Gamal Abdel Nasser, hizi ni aircraft carrier ambazo zinaendana na wakati na kusudi lake ni kutua helikopta ama ndege za kisasa zenye uwezo wa vertical landing na take off.
Jaribuni kutafiti kisha ndio mzue haja zenu zisizo na mashiko.
 
Hakuna aircraft carrier aina ya Amphibious assault ship.usitake kulazimisha vitu mkuu.ni vitu viwili tofauti kabisa.kama ujui ni vizuri kujifunza kuliko kulazimisha vitu.

Ingia katika mataifa yanayomiliki aircraft carrier kama iyo Misri utaikuta basi njoo unikate kichwa
 
Wew haujui na unanipotezea muda nenda kabishane na vilaza wenzio achana huu uzi 🤧🤧🤧
 
Hakuna aircraft carrier aina ya Amphibious assault ship.usitake kulazimisha vitu mkuu.ni vitu viwili tofauti kabisa.kama ujui ni vizuri kujifunza kuliko kulazimisha vitu.

Ingia katika mataifa yanayomiliki aircraft carrier kama iyo Misri utaikuta basi njoo unikate kichwa
1610550761487.png

Kweli wewe ni kilaza, hii hapa ni USS Iwo jima ni Aircraft carrier ya aina ya Amphibious assault ship. Wewe unaionaje ni Aircraft carrier au ni boat ya Zenji? Kilaza ni kilaza tu
 
Tatizo mpaka uende kugoogle ndio unarudi hapa kwaio hizo juu ni korodani au ni nini? Aircraft carrier ni General kuna functional names kenge acha kuhangaika na wikipedia
 
Sasa nenda huko unapogoogle andika list ya aircraft carrier owned by USA, wataziweka kwenye makundi ya aina zake, nenda kwenye kundi la Amphibious Assault Ship, angalia hapo kama hauta ikuta USS Iwo Jima
 
Back
Top Bottom